NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma

Mkuu ndoa yetu ni ya kikatoliki,
Sexy tunaendelea fresh hajawahi kuninyima,
Ila ni ule ushirikiano wa kimaendelea ya familia ndo haonyeshi kabisa. Majukumu mengine kama mke anafanya fresh.
Ni ushirikiano hana kabisa na mimi, hata kunishauri kama mwanzo hakuna.
Mfate mama yako akushauri tena kama ulivyomuomba mwanzo
 
Matatizo ni mawili tu hapo.

1. Kumtegemea mke katika kipato
2. Kuwa vuguvugu na kukosa akili ya mahusiano. (Walokole huwa na hili tatizo)

Suluhisho ni moja tu.
1. Kuwa mwanaume mwenye uwezo wa kujisimamia kifedha na kimsimamo.

Kila la heri.
Ewaaaa
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Afadhal wewe mtoto uko nae.wengine watoto wako mbali na bado mikazo kama kawa....mtoto wako ndo ndugu yako.punguza masononeko ufe kabla ya wakat.
 
Kaka kinachoniuma ni ule ushirikiano wa mwanzo ambao ulikuwa unaleta matunda kwenye familia , yani mafanikio makubwa , tulikuwa na ndoato kubwa Safi sana, Amini bro tulinunua kiwanja ili baadae tushishe mjengo mmoja.
Hayo yote yamekatika kaka,
Kupambana najitahidi sana mimi binafsi coz mimi ndio Baba wa famialia.
Ila kokosa ushirikiano hata wa mawazo kutoka kwa mke inaniuma sana.
Maana niliona mwanzoni mawazo yake na ushirikiano wake ulivyokuwa na mafanikio.
Bro
Mkuu ndoa yetu ni ya kikatoliki,
Sexy tunaendelea fresh hajawahi kuninyima,
Ila ni ule ushirikiano wa kimaendelea ya familia ndo haonyeshi kabisa. Majukumu mengine kama mke anafanya fresh.
Ni ushirikiano hana kabisa na mimi, hata kunishauri kama mwanzo hakuna.
Anglia mwanao bro wanawake siyo wa kuwaamini maisha,
 
Sema na wew ulizingua parefu sana, hapo ulipofika ni kutegemea huruma za mkeo tu,

Kwa mnaochepuka, ukizaa hakikisha mke hajui, masuala ya mtoto kuzoeana na wenzake wew acha atakuja kujuana wakiwa wakubwa kama hawataki kuzoeana bas hio shida yao,
 
Back
Top Bottom