Najuta kuonja na kuipenda

Najuta kuonja na kuipenda

Heshimuni imani za watu basi...binafsi mimi sio Muislamu lakini nani ajuaye nia ya mleta mada?
Kama mna la kumsaidia basi jaribuni kujenga hoja zenu katika mlengo wa kitabibu na sio kiimani.
 
From Yusuf to Joseph, ngoja tutaanza kuwa tunawaomba vyeti vya ubatizo. Haiwezekani mnasababisha bei kupanda maksudically.
Kuna nikikatiza pale Temeke sterio, nikamsikia mfanya biashara mmoja muislamu akisema.... Wakritu wakipandishiwa bei ile nyama yao wala hawalalamiki, lakini waislamu bei kupanda kidogo tu buchani, hadi shehe mkuu atalalamika...
 
Baada ya kusikia kitimoto ni mtam nilijaribu kumuonja na sasa nimekuwa nakitafuta mwenyewe. Ila nikifika sehem za mauzo nabadili jina. Je anamadhara yeyoye kiafya!?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Mdudu ni noma wewe, asikudanganye mtu hiyo kitu haina madhara , na kwa kuthibitisha hilo wewe jiulize mbona unausaka sana tena kwa udi na uvumba, kwani ingekuwa chair fire ina madhara wewe ungeukimbia fasta na wala sio kuusaka mpaka unadiriki kubadili badili majina yako kama kinyonga :A S 2152: , MDUDU hoyeeeeeeee:deadhorse::deadhorse::deadhorse:

kwani nyie mnamuongelea huyu!!!!!!

Pig 02.jpg

Pig 01.jpg

Au mna maanisha huyu!!!!!!

clip_image001.jpg


MIZAMBWA
INANUMA SANA!!!
 
Mdudu ni noma wewe, asikudanganye mtu hiyo kitu haina madhara , na kwa kuthibitisha hilo wewe jiulize mbona unausaka sana tena kwa udi na uvumba, kwani ingekuwa chair fire ina madhara wewe ungeukimbia fasta na wala sio kuusaka mpaka unadiriki kubadili badili majina yako kama kinyonga :A S 2152: , MDUDU hoyeeeeeeee:deadhorse::deadhorse::deadhorse:
Hoyeee, hebu mwambie ulomi atengeneze rosti na ndizi nne, alafu mhudum alete ndovu tatu afungue baridi afungue zote
 
Mkikitaja sana mtanipa hamasa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Baada ya kusikia kitimoto ni mtam nilijaribu kumuonja na sasa nimekuwa nakitafuta mwenyewe. Ila nikifika sehem za mauzo nabadili jina. Je anamadhara yeyoye kiafya!?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums


siku zote kitu kilichokatazwa ukikijaribu tu lazima uwe addicted njacho kwan kinakaa kwenye subconscious mind...

bangi, taigooo NK
 
Kimekatazwa wapi!?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom