Mahusiano yana kanuni zake kulingana na jinsi wahusika walivyokubaliana, mtu mmoja wapo akivunja kanuni hiyo siyo changamoto ya kufanya uvumilie eti kisa ni changamoto bali ni uhalifu unaostahili adhabu. Kukumbatia uhalifu kwa kuupaka rangi ya changamoto ni udhaifu……I will cry neither for a woman nor because of a woman.HAUKO TAYARI KUVUMILIA UDHAIFU WAKO MWENYEWE. KUTOKUWA TAYARI KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA MAISHA YA MAHUSIANO NI UDHAIFU BINAFSI NA SI WA UPANDE WA PILI.
Tafuta pumziko la moyo lingineTupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Acha uchochezi.
Yaani ni shida...NA WANGU ASHUKURU TU KWA ALLAH...MIMI NAMUOGOPA ALLAH NA NAMCHA ALLAH...LAITI...NINGEPITA NA RAFIKI YAKE MMOJA HIVI...HUYO HUYO NINGEPITA NAE...ALAFU ASINIULIZE...alafu angeleta fyokofyoko...ni nyumbani kwenu...kama kumekushinda...Hayo mambo ndiyo yanawatumbukiza watu kwenye michepuko kama siyo kuwa na mitala.
Mwenza huwa siyo sura, fedha wala nini !!. Mwenza ni akili na moyo safi. Anakokufikisha huyo kila moja atashika njia yake. Bado kidogo tu
Ukitaka kumkomesha mwanamke mletee mwanamke mwenzie...michepuko inaletaga balance kwenye ndoa
Achana nae lea mtoto wako tu yeye piga chini kuoa haimaanishi kua umejipeleka gerezani
Hata kinyonga hubadilika kutokana na mazingira aliyopo. Kuna mazingira umeyatengeneza wewe yamepelekea awe hivyo.
Umetupa mabaya yake, , ya kwako hujatupa.
Unatulazimisha tujadili u kanda maalum wake, nahisi kabila lake Mkurya.
Tangu kabla hujaoa hukujua kuwa ni Mkurya? Mbona wakura watu poa sana wenye adabu na heshima zote?
Unasema uko Makambako 7unajifunika shuka, je haya ni majira ya kujifunika shuka Makambako, ?
Nadhani uko kwenye Makambako ya bongo muvi
Katafute mazezeta siku ya jumamosi kwenye maombi aliyoandaa BASHITE ndio uwape hiyo story yako.





konkiDawa yake huyu anza kufanya vitu vinavyokupa furaha wew ata kama kamchepuko kuwa nacho kwa siri sana usimfuatilie wala usimpe zawad zaid ya matumizi ya kawaida aone hujali tena wala usimuombe kamchezo laaalek akili itamkaa sawa ataanza kukuuliza wew tatizo ninHayo mambo ndiyo yanawatumbukiza watu kwenye michepuko kama siyo kuwa na mitala.
Mwenza huwa siyo sura, fedha wala nini !!. Mwenza ni akili na moyo safi. Anakokufikisha huyo kila moja atashika njia yake. Bado kidogo tu
lazma awe mdogo kama piritonUkitaka kumkomesha mwanamke mletee mwanamke mwenzie...
🤣. Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Kwema, mambo yamekaa sawa?Wakuu kwema?
JF kuna mambo.
Eti mke anakuletea matukio.
Ingekua mimi angekua ananiona nikija kubadili nguo asubuhi.
Kama ndani ya wiki hajabadilika. Nabadili mwingine.
Watu wanabadilisha timu kutoka upenzi na Simba kuja Yanga. Wewe mwanamke anakuringia????
Mwanamke???? Siamini