Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

Pole Sana MKUU, ingawa tatizo linaonekana lipo kwa mwanamke.
By the way, huyu mwarabu ni kwamba Hana uwezo wa kumsomesha? Sikutegemea huyo mwanamke ang'ake kiasi hicho, kwa kumwambia kwamba hutomsomesha.
Uamuzi uliofanya ni sahihi kabisa, akiamua kuondoka mwache aende
 
big mistake kuoa singo maza,

hapo unagongewa na mume mwenza kama kawa kama dawa
 
Waheshimiwa habari za mida,

Mimi ni IT specialist kwenye shirika moja lisilo la kiserikali mshahara wangu ni wa kati si mkubwa sana wala si mdogo sana. Lakini pia mimi ni lecturer part time nafundisha jioni wafanyakazi katika chuo kimoja hapa DSM, Nimeoa na nina watoto wawili, huyu mke wangu ni chotara wa Kiarabu.

Wakati tumeanza kudate hakuniambia kama ana mtoto na kwa kweli alivyo mzuri sikutilia shaka kama ana mtoto maana hata nyonyo zake zilikua zimesimama kama mtoto anaebalehe.Baadae mapenzi yaliponoga ndipo akaniambia kuwa ana mtoto alie darasa la kwanza yupo kwa mama mzazi yaani bibi wa mtoto.

Kwa kuwa nilikua tayari nimezama kwenye mahaba mazito ikabidi nikubali tu maana by that time nilishatangaza ndoa ilikua ni point of no return. Ila mchumba alinihakikishia kuwa mtoto wake hatakua kikwazo kwenye ndoa yetu na kwamba huduma zote za malezi ikiwa ni pamoja na shule, malazi, maradhi na mengineyo yatakua chini ya baba wa mtoto.

Huo ndio ukawa mkataba wetu na kwamba mtoto ataishi kwa bibi na baadae atahamia kwa baba mzazi ambae ni Mwarabu mwenzie. Akabadli dini kuja ukristo tukafunga ndoa haikua shida maana mama ake pia ni mkristo baba ndio muislam na aliwatelekeza siku nyingi.

Miezi sita baada ya ndoa akamleta mtoto kwetu kuishi permanent kinyume na mkataba wetu, anyway nikawa na roho ya utu nikasema haina shida kuepusha shari. Mtoto wake alipofika darasa la nne wakampeleka boarding sisi hapo tuna watoto wawili mapacha wa miaka minne kasoro nadhani mimi ndie nililipa ada ya boarding.

Siku moja katikati ya wiki nilibeba mahitaji kadhaa nikampelekea yule mtoto shuleni, niliomba wakaniruhusu kuingia pale Surprisingly Matron akaniambia huyo mtoto mbona ana vitu vya kutosha. Mama yake na baba yake walikua hapa juzi siku tano hivi zimepita. Akaniuliza kwani wewe ni nani wa mtoto nikamweleza, akashangaa akaniambia mbona walikua wamekaa na mtoto kama ni familia inayoishi pamoja.

Akanipa kama umbea flani hivi nilishangaa kwa kuwa mke wangu hakuniambia kama alienda kwa mtoto na mzazi mwenzie alikuwepo. Visiting day moja nikaenda na watoto wangu kumuona mwenzao, mke wangu aliondoka mapema akatangulia tulipofika pale tukakuta jamaa nae yupo wamekaa na mtoto na wife.

Mshikaji akaaga bila kunisalimia akaondoka zake nilishindwa kumwelewa, nikazuga tukaendelea na mengine hatimae yule mtoto akamaliza la saba. Mama yake akamtafutia shule nzuri sana yenye matokeo mazuri kila mwaka kimbembe kikaja kwenye ada, mimi nikamwambia mwisho wangu ilikua ni la saba.

Sasa walipe wenyewe maana watoto wangu pia wameanza shule ya Mapadre Lieberman ada wote wawili ni million sita kwa mwaka bado nina mdogo wangu wa kike anasoma chuo nalipa mimi ingawa ana mkopo asilimia ishirini. Bado gharama za uendeshaji familia za kila siku, hivyo nikamwambia sitaweza kulipa, ni vema babaake ajipange kulipa.

Wakuu kwa kauli yangu hiyo ulizuka mgogoro mkubwa, Huduma zote muhimu nilisitishiwa pamoja na za chumbani akaondoka akarudi kwao kwa mwezi mzima baada ya kusuluhishwa akarudi mimi nikashikilia msimamo kuwa silipi ada.

Hivi karibuni wakati hayupo nimeingia kwenye mapenzi na mdada jirani yangu amepanga upande anaishi na ndugu, wife amerudi sina hamu nae tena. Huyu mdada jirani nimekua nikimpa lift asubuhi kwa muda mrefu sasa na ndipo tukaelewana na anajua matatizo yetu, alikua akitusaidia sana nyumbani wakati wife ameondoka.

Nimedhamiria kumuacha wife mazima nimeshachoka, juzi baba amekuja akaniambia nilikushangaa ulipojifanya mjuaji kuoa mwanamke mwenye mtoto tukakuzuia ukalazimisha sasa umeyaona.

Wakuu nipo njia panda, ushauri tafadhali
kukushauri uvunje ndoa ni uamuzi ambao si mzuri lakini kwa dalili za huyo mweznio bado yupo na mwarabu mwenzie kwa kuwa si muwazi inaonekana kuna mengi unafichwa sasa kwa maslahi ya future ya wanao na usalama wako bora umuache kila mtu awe huru ni ngumu sana kuishi na mwanamke asie na msimamo na anayefanya mambo kwa siri huyo hata akiambiwa na huyo mtu wake akudhuru anaweza fanya hivyo kwa hiyo fanya uamuzu mgumu wa kukuumiza kwa muda mfupi kuliko kuendelea kuumizwa siku zote maisha yenyewe temporary haya stress zinazoepukika tuziepuka mapema
 
Wasukuma na Vitu white ni Kama Mbwa na chatu! Mbwa lazima awe mpole na ajipeleke mwenyewe kwa Chatu japo kua anajua kabisa anaenda kuliwa!!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Waheshimiwa habari za mida,

Mimi ni IT specialist kwenye shirika moja lisilo la kiserikali mshahara wangu ni wa kati si mkubwa sana wala si mdogo sana. Lakini pia mimi ni lecturer part time nafundisha jioni wafanyakazi katika chuo kimoja hapa DSM, Nimeoa na nina watoto wawili, huyu mke wangu ni chotara wa Kiarabu.

Wakati tumeanza kudate hakuniambia kama ana mtoto na kwa kweli alivyo mzuri sikutilia shaka kama ana mtoto maana hata nyonyo zake zilikua zimesimama kama mtoto anaebalehe.Baadae mapenzi yaliponoga ndipo akaniambia kuwa ana mtoto alie darasa la kwanza yupo kwa mama mzazi yaani bibi wa mtoto.

Kwa kuwa nilikua tayari nimezama kwenye mahaba mazito ikabidi nikubali tu maana by that time nilishatangaza ndoa ilikua ni point of no return. Ila mchumba alinihakikishia kuwa mtoto wake hatakua kikwazo kwenye ndoa yetu na kwamba huduma zote za malezi ikiwa ni pamoja na shule, malazi, maradhi na mengineyo yatakua chini ya baba wa mtoto.

Huo ndio ukawa mkataba wetu na kwamba mtoto ataishi kwa bibi na baadae atahamia kwa baba mzazi ambae ni Mwarabu mwenzie. Akabadli dini kuja ukristo tukafunga ndoa haikua shida maana mama ake pia ni mkristo baba ndio muislam na aliwatelekeza siku nyingi.

Miezi sita baada ya ndoa akamleta mtoto kwetu kuishi permanent kinyume na mkataba wetu, anyway nikawa na roho ya utu nikasema haina shida kuepusha shari. Mtoto wake alipofika darasa la nne wakampeleka boarding sisi hapo tuna watoto wawili mapacha wa miaka minne kasoro nadhani mimi ndie nililipa ada ya boarding.

Siku moja katikati ya wiki nilibeba mahitaji kadhaa nikampelekea yule mtoto shuleni, niliomba wakaniruhusu kuingia pale Surprisingly Matron akaniambia huyo mtoto mbona ana vitu vya kutosha. Mama yake na baba yake walikua hapa juzi siku tano hivi zimepita. Akaniuliza kwani wewe ni nani wa mtoto nikamweleza, akashangaa akaniambia mbona walikua wamekaa na mtoto kama ni familia inayoishi pamoja.

Akanipa kama umbea flani hivi nilishangaa kwa kuwa mke wangu hakuniambia kama alienda kwa mtoto na mzazi mwenzie alikuwepo. Visiting day moja nikaenda na watoto wangu kumuona mwenzao, mke wangu aliondoka mapema akatangulia tulipofika pale tukakuta jamaa nae yupo wamekaa na mtoto na wife.

Mshikaji akaaga bila kunisalimia akaondoka zake nilishindwa kumwelewa, nikazuga tukaendelea na mengine hatimae yule mtoto akamaliza la saba. Mama yake akamtafutia shule nzuri sana yenye matokeo mazuri kila mwaka kimbembe kikaja kwenye ada, mimi nikamwambia mwisho wangu ilikua ni la saba.

Sasa walipe wenyewe maana watoto wangu pia wameanza shule ya Mapadre Lieberman ada wote wawili ni million sita kwa mwaka bado nina mdogo wangu wa kike anasoma chuo nalipa mimi ingawa ana mkopo asilimia ishirini. Bado gharama za uendeshaji familia za kila siku, hivyo nikamwambia sitaweza kulipa, ni vema babaake ajipange kulipa.

Wakuu kwa kauli yangu hiyo ulizuka mgogoro mkubwa, Huduma zote muhimu nilisitishiwa pamoja na za chumbani akaondoka akarudi kwao kwa mwezi mzima baada ya kusuluhishwa akarudi mimi nikashikilia msimamo kuwa silipi ada.

Hivi karibuni wakati hayupo nimeingia kwenye mapenzi na mdada jirani yangu amepanga upande anaishi na ndugu, wife amerudi sina hamu nae tena. Huyu mdada jirani nimekua nikimpa lift asubuhi kwa muda mrefu sasa na ndipo tukaelewana na anajua matatizo yetu, alikua akitusaidia sana nyumbani wakati wife ameondoka.

Nimedhamiria kumuacha wife mazima nimeshachoka, juzi baba amekuja akaniambia nilikushangaa ulipojifanya mjuaji kuoa mwanamke mwenye mtoto tukakuzuia ukalazimisha sasa umeyaona.

Wakuu nipo njia panda, ushauri tafadhali
ukioa mwanamke mwenye mtoto ndo matokeo yake hayoo
 
Pole Sana MKUU, ingawa tatizo linaonekana lipo kwa mwanamke.
By the way, huyu mwarabu ni kwamba Hana uwezo wa kumsomesha? Sikutegemea huyo mwanamke ang'ake kiasi hicho, kwa kumwambia kwamba hutomsomesha.
Uamuzi uliofanya ni sahihi kabisa, akiamua kuondoka mwache aende
Inachekesha.. Yaani kimtu kinakuja kung'aa sharubu na mama wa mtoto kama mtu na mume shuleni kumbe hakina uwezo wa kununua hata wembe wa kunyoa vuz... * yani kuna watu ustaarabu kwao ni muujiza. Hata akiwa mwarabu.

Alafu wanakuficha wangekuficha wakiwa na uwezo wa kusimamia toto lao wanakuficha mambo yote wanakutana huko wanakokutana wakivimba na toto lao huku hela ya kununua colgate au wembe hawana. [emoji2][emoji2][emoji2]

Kinywa chako kinatakiwa kiwe na staha na soni kuita mtu wa namna hiyo mke. Wewe ni mtu mzima baada ya statement hii ninahakika wajua la kufanya.
 
Pole sana ndugu! haya matatizo kwa %100 husababishwa na wanawake haswa wanao zaa kabla ya kuolewa,maana pia huwa husema ukweli baadae sana, na pia kwasisi wanaume huwa tuna makosa,kwani hupenda kuahidi kulea watoto wawatu ilmradi tu ufanikiwe kuwa na huyo mwanamke wakati kiasilia ni ngumu kwa %50. mara nyingi wanapopata ujauzito familia zao pamoja na marafiki, majirani ndio hujitokeza kuwa washauri wao wakuu na wakosoaji wa kuu, na hasa anayehukumiwa kwa wakati ule ni mwanaume aliyempatia ujauzito. nilisha wahi kushuhudia mdada ana PHD ya KENTY UNIVERSITY UK amezaa na rafiki yangu na walikuwa na mpango mzuri tu wa kuishi pamoja na walikuwa wanaheshimiana sana! sasa baada ya kujifungua sarakasi zilianza pale washauri wakuu walipoanza kumkosoa baba wa mtoto kisa ni form four! hatimaye wameachana tena kwa kashfa! ila uhakika penzi haliwezi kufa kwa baba wa mtoto japo hasira zipo na ugomvi ulikuwepo! sasa anapokutana na mtu mwingine huwa anadhani amepata ufumbuzi wa tatizo la moyo wake hususani kimapenzi! tatizo linapotokea au mkikwaruzana kidogo humkumbuka baba wa mtoto wake aka mzazi mwenzie na hofu ya kukuheshimu inatoweka maana si anauhakika kuna mahali anapenda na anapendwa nyie mlikutana tu wakati wa maafa!! na ukumbuke baba wa mtoto lazima atakuwa na sauti kuliko wewe kwa kipindi kirefu labda itokee alimbaka huyo binti na kumpatia ujauzito, lakini kama walianza kwa kuelewana na hadi kufikia kuzaa ujue kuna msingi mzuri kati yao.
Ushauri wangu kwatu sisi vijana! tupende kuwa na subira ili tuyaanze maisha na we wa ujana wetu! kuishi au kuoa na kuolewa na mume/mke aliyekwisha zaa na mwingine nikujivurugia system ya kufurahia mapenzi ndani ya ndoa.
Daaaa
 
Wewe sasa unamshauri vibaya mwenzio,mpaka muda huu bado una-imani eti huyo mtoto atakuja msahdia ex-father in next life,unawajua waarabu ama unawasikia?,viumbe hawa ni watu wa ajabu sana wakikuona wewe ngozi nyeusi ata uoe ukoo wao wote kama mweusi kwao ni choko-tu.
Na huyo mtoto wa mwarabu na chotara wake kama wa kiume na wale wa mdengereko wa kike anaweza wafumua marinda wootee.Hivyo maisha ya tenda wema na kuishi kwa kutegemea ahadi kama za kikwete tupa kule.Ndomana 50cent anasema get rich or die tryn kivyako kwa ajili ya familia yako.Mwanamke huyo jamaa apige chini, hapo amejiletea bomu na litamfumukia haspolitoa ndani kwake fasta.
Waarabu wa bongo watakueshimu labda uwe na pesa kuliko wao.
 
Afu na nyie si mmezaa...?
Utatuambia humu...baada ya miaka michache...utakapoanza kumchoka huyo unayempa lift...utaanza kuchiti na huyu huyu mkeo...usifanye mchezo na link ya watoto...

Yani mtaanza kuongelea watoto mwisho mnakumbushia...hiyo itakuwa ni mzunguko kama si mzungukano

Kuna jamaa fulani aliachana na mkewe ...tena mke alikuwa anachiti balaa ...siku mumewe karudi home ghafla yeye amelala nje ...anarudi asubuhi anaambiwa baba alirudi...safari ilikuwa cancelled...alipaki na kutimua bila kusubiri talaka (mme alikuwa pilot)

Huwezi amini huyu mume alioa...lakini alikuwa anaendelea kwenda kulala kwa mkewe..tena inasemekana alikuwa analipia mpaka kodi ya nyumba ya ex-wife...(mume ameshakufa...last time I checked huyu ex alikuwa hai...ila mwathirika)
Ebuana yani ex wife wake ni hiv +
 
Damu ni nzito kuliko maji aisee. Mwanamke akishazaa yule motto atakuwa kiunganishi kati ya mwanaume na mwanamke hata kama wameachana ipo siku watakutana na kukumbushia Enzi zao tu.

Nyie wote mliooa wanawake wenye watoto na wanaume wengine imekula kwenu. Kubalini kusaidiwa mara moja moja kwa sababu huwezi kujua walianzia wapi mpaka wakazaa mtoto.
Sio kweli apana nakataa usizani Kila mwanamke hajutambui wapo wanaojitambua usizani Kila mtu anapasha viporo na x wake ayo ni mawaziyako finyu wapowatu wanaojitambua hawafanyi uo upuuzi never
 
Screenshot_20230429-151448.jpg

Mwaka jana niliazisha uhusiano na binti fulani, ambaye kwa kweli nilimpenda na kuvutiwa naye sana. Aliniambia ana mtoto mmoja wa kiume, 6 yrs. Kwa asili mimi sio mtu wa kuhukumu watu kwa kufuata tu hisia za wengine, imani au dhana. Mf muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa single mother ni mke wa mtu, lakini binafsi mama yangu mzazi alikuwa single mother, na wameishi na mzee wangu hadi kuzeeshana na ndoa yenye amani sana, so nikajipa imani, kutokana na imani yangu kuwa, watu huwa ni waovu/wema wao wenyewe wala sio kutokana na kundi lao, nikasema acha niingie kwenye mahusiano. Na nilikuwa na plan ndefu sana na yule mwanamke. Mzee wangu nilimshirikisha, jibu lake likawa; kuwa makini na wanawake waliozaa na wanaume wao bado wako hai, wanawake aina ya mama yako ni wachache sana, pia hii generation yenu ni tofauti na yetu. Basi, nikaamua kujilipua.

Miezi miwili ya mwanzo ilikuwa mizuri sana. Kwangu mimi mapenzi ni imani, imani huleta uhuru na amani kwenye mapenzi na kunifanya nifanye chochote kwa mwanamke wangu. Baada ya muda nikaanza ona mapicha picha mengi sana. Mzazi mwenzake ikawa ni kero na kikwazo. Na mambo mengi mwanamke anayakingia kifua.

Last straw:
Mwanamke akaniambia wako kwenye kikao cha kutengenishwa na mzazi mwenzie kwa dada yake (Shemeji yangu), shemeji kumpigia akasema ni kweli, kuwa na amani shemeji, nataka niwaondolee kikwazo. Nikawa na maswali mengi haya make sense. Basu, hiyo ilikuwa ni mida ya saa 10. Kufika saa 1 nampigia simu kuwa niko sehemu fulani, ukitoka nikute tupate msosi wa jioni pamoja. Akasema poa. Mida ya saa 2 hadi saa 4 nampigia simpati. Kwa kweli, nilipata mawazo na uchungu sana. Basi, nikaenda piga mtungi, hadi saa 8 nikarudi lala. Mwanamke anakuja nitafuta saa 5 asubuhi kuwa baada ya kikao, wakaenda kula na kupata kinywaji, sasa akalewa sana. Sikumjibu msg. Maana nilikuwa nina hasira. Basi mida jioni nikampigia simu ikaita, bila majibu. Usiku haipatikani. Kwa wiki nzima ikawa simu ikipigwa mida haipatikani, mida inapatikana. Mkionana ni kwa tabu. Ili ndio wiki ngumu zaidi niliyowahi ipitia kwenye mapenzi. Baada ya hapo mwanamke akawa panctual na mimi.

Nikafanya upelelezi wangu, nikagundua mzazi mwenzie alikuwepo mjini. Taa nyekundu, ikasema huyu tutakuwa Polyandry. Kilichokuja niumiza zaidi, niligundua kuna hela aliniomba ili aweze kucover gap kazini, kumbe alikuwa amemkopea huyo jamaa yake. Nikaona, bora niumie sasa kumuacha ila sio kuishi maisha ya kipuuzi.. Eva alinifanya niamini mwanamke aliyezaa, sio wa kuoa.

Siku hizi ni mchepuko tu. Nikiwa na hamu zangu namtafuta, basi.
 
View attachment 2603749
Mwaka jana niliazisha uhusiano na binti fulani, ambaye kwa kweli nilimpenda na kuvutiwa naye sana. Aliniambia ana mtoto mmoja wa kiume, 6 yrs. Kwa asili mimi sio mtu wa kuhukumu watu kwa kufuata tu hisia za wengine, imani au dhana. Mf muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa single mother ni mke wa mtu, lakini binafsi mama yangu mzazi alikuwa single mother, na wameishi na mzee wangu hadi kuzeeshana na ndoa yenye amani sana, so nikajipa imani, kutokana na imani yangu kuwa, watu huwa ni waovu/wema wao wenyewe wala sio kutokana na kundi lao, nikasema acha niingie kwenye mahusiano. Na nilikuwa na plan ndefu sana na yule mwanamke. Mzee wangu nilimshirikisha, jibu lake likawa; kuwa makini na wanawake waliozaa na wanaume wao bado wako hai, wanawake aina ya mama yako ni wachache sana, pia hii generation yenu ni tofauti na yetu. Basi, nikaamua kujilipua.

Miezi miwili ya mwanzo ilikuwa mizuri sana. Kwangu mimi mapenzi ni imani, imani huleta uhuru na amani kwenye mapenzi na kunifanya nifanye chochote kwa mwanamke wangu. Baada ya muda nikaanza ona mapicha picha mengi sana. Mzazi mwenzake ikawa ni kero na kikwazo. Na mambo mengi mwanamke anayakingia kifua.

Last straw:
Mwanamke akaniambia wako kwenye kikao cha kutengenishwa na mzazi mwenzie kwa dada yake (Shemeji yangu), shemeji kumpigia akasema ni kweli, kuwa na amani shemeji, nataka niwaondolee kikwazo. Nikawa na maswali mengi haya make sense. Basu, hiyo ilikuwa ni mida ya saa 10. Kufika saa 1 nampigia simu kuwa niko sehemu fulani, ukitoka nikute tupate msosi wa jioni pamoja. Akasema poa. Mida ya saa 2 hadi saa 4 nampigia simpati. Kwa kweli, nilipata mawazo na uchungu sana. Basi, nikaenda piga mtungi, hadi saa 8 nikarudi lala. Mwanamke anakuja nitafuta saa 5 asubuhi kuwa baada ya kikao, wakaenda kulala na kupata kinywaji, sasa akalewa sana. Sikumjibu msg. Maana nilikuwa nina hasira. Basi mida jioni nikampigia simu ikaita, bila majibu. Usiku haipatikani. Kwa wiki nzima ikawa simu ikipigwa mida haipatikani, mida inapatikana. Mkionana ni kwa tabu. Ili ndio wiki ngumu zaidi niliyowahi ipitia kwenye mapenzi. Baada ya hapo mwanamke akawa panctual na mimi.

Ielezee mkuu mliachanaje na amewezaje kuwa mchepuko.
 
Je ikitokea ukamzarisha atabak kuwa mchepuko au second wife??
 
Mafala hawaishagi kwahyo kisa chotara ukajiingiza 😂😂😂😂 zumbukuku la mapenzi eti kutangaza ndoa ni pointi ofu no ritani😂😂😂 oya kiufupi ww haukutakiwa kuwa mwanaume. Kwa akili zako ulitarajia baba wa mtoto atakua mbali na aliezaa nae kwenye swala la mtoto wao? Unaharibu future ya wanao kwa tamaa za ngono tu leo wanaenda kupata baba mwingine ww na upopoma wako unaona umefanya la maana kweli. Wajinga ndio waliwao
 
Back
Top Bottom