ushauri mzuri huwa hauna expiry date, nimejitwalia ushauri wa bure hapaHiki kimbembe si mchezo!Wewe umelemaa mpaka mkeo anakupanda kichwani mkuu??Na kwanini umlipie wewe ada huyo mtoto wa kufikia wakati babaake mzazi yupo??
Ingelikuwa baba mzazi hayupo kwenye picha ningeelewa lakini mtu anajileta anapotaka halafu mwanawe ashindwe kumuhudumia huyo mke wako ni mwanamke hovyo nae hajielewi kabisa anacheza faul kotekote bana!!Na ww kwasababu umegombana na mkeo usihalalishe uzinzi wako huijui miiko ya ndoa yako??
Nadhani huyo mwanamke keshakujua anaweza kukupelekesha atakavyo na ndo maana anakufanya hivo inabidi mkae na umuwekee mipaka imara kama baba mtoto anataka kutoa huduma ipitie kwako,na mkeo mpige marufuku kupanga miadi na ex wake bila uwepo wako ni lazima akushurikishe kwenye kila kitu.Na kama hawezi hayo abebe virago na asirudi this time!!
Furushi?Umelibeba furushi hilo. Mapenzi upofu lakini lazima ujiwekee vigezo kabla ya kuanza kutafuta mwenza.
kuwa makini mkuu,,.hata huyo jirani aweza kuwa na mtooWaheshimiwa habari za mida,
Mimi ni IT specialist kwenye shirika moja lisilo la kiserikali mshahara wangu ni wa kati si mkubwa sana wala si mdogo sana. Lakini pia mimi ni lecturer part time nafundisha jioni wafanyakazi katika chuo kimoja hapa DSM, Nimeoa na nina watoto wawili, huyu mke wangu ni chotara wa Kiarabu.
Wakati tumeanza kudate hakuniambia kama ana mtoto na kwa kweli alivyo mzuri sikutilia shaka kama ana mtoto maana hata nyonyo zake zilikua zimesimama kama mtoto anaebalehe.Baadae mapenzi yaliponoga ndipo akaniambia kuwa ana mtoto alie darasa la kwanza yupo kwa mama mzazi yaani bibi wa mtoto.
Kwa kuwa nilikua tayari nimezama kwenye mahaba mazito ikabidi nikubali tu maana by that time nilishatangaza ndoa ilikua ni point of no return. Ila mchumba alinihakikishia kuwa mtoto wake hatakua kikwazo kwenye ndoa yetu na kwamba huduma zote za malezi ikiwa ni pamoja na shule, malazi, maradhi na mengineyo yatakua chini ya baba wa mtoto.
Huo ndio ukawa mkataba wetu na kwamba mtoto ataishi kwa bibi na baadae atahamia kwa baba mzazi ambae ni Mwarabu mwenzie. Akabadli dini kuja ukristo tukafunga ndoa haikua shida maana mama ake pia ni mkristo baba ndio muislam na aliwatelekeza siku nyingi.
Miezi sita baada ya ndoa akamleta mtoto kwetu kuishi permanent kinyume na mkataba wetu, anyway nikawa na roho ya utu nikasema haina shida kuepusha shari. Mtoto wake alipofika darasa la nne wakampeleka boarding sisi hapo tuna watoto wawili mapacha wa miaka minne kasoro nadhani mimi ndie nililipa ada ya boarding.
Siku moja katikati ya wiki nilibeba mahitaji kadhaa nikampelekea yule mtoto shuleni, niliomba wakaniruhusu kuingia pale Surprisingly Matron akaniambia huyo mtoto mbona ana vitu vya kutosha. Mama yake na baba yake walikua hapa juzi siku tano hivi zimepita. Akaniuliza kwani wewe ni nani wa mtoto nikamweleza, akashangaa akaniambia mbona walikua wamekaa na mtoto kama ni familia inayoishi pamoja.
Akanipa kama umbea flani hivi nilishangaa kwa kuwa mke wangu hakuniambia kama alienda kwa mtoto na mzazi mwenzie alikuwepo. Visiting day moja nikaenda na watoto wangu kumuona mwenzao, mke wangu aliondoka mapema akatangulia tulipofika pale tukakuta jamaa nae yupo wamekaa na mtoto na wife.
Mshikaji akaaga bila kunisalimia akaondoka zake nilishindwa kumwelewa, nikazuga tukaendelea na mengine hatimae yule mtoto akamaliza la saba. Mama yake akamtafutia shule nzuri sana yenye matokeo mazuri kila mwaka kimbembe kikaja kwenye ada, mimi nikamwambia mwisho wangu ilikua ni la saba.
Sasa walipe wenyewe maana watoto wangu pia wameanza shule ya Mapadre Lieberman ada wote wawili ni million sita kwa mwaka bado nina mdogo wangu wa kike anasoma chuo nalipa mimi ingawa ana mkopo asilimia ishirini. Bado gharama za uendeshaji familia za kila siku, hivyo nikamwambia sitaweza kulipa, ni vema babaake ajipange kulipa.
Wakuu kwa kauli yangu hiyo ulizuka mgogoro mkubwa, Huduma zote muhimu nilisitishiwa pamoja na za chumbani akaondoka akarudi kwao kwa mwezi mzima baada ya kusuluhishwa akarudi mimi nikashikilia msimamo kuwa silipi ada.
Hivi karibuni wakati hayupo nimeingia kwenye mapenzi na mdada jirani yangu amepanga upande anaishi na ndugu, wife amerudi sina hamu nae tena. Huyu mdada jirani nimekua nikimpa lift asubuhi kwa muda mrefu sasa na ndipo tukaelewana na anajua matatizo yetu, alikua akitusaidia sana nyumbani wakati wife ameondoka.
Nimedhamiria kumuacha wife mazima nimeshachoka, juzi baba amekuja akaniambia nilikushangaa ulipojifanya mjuaji kuoa mwanamke mwenye mtoto tukakuzuia ukalazimisha sasa umeyaona.
Wakuu nipo njia panda, ushauri tafadhali
Wazazi wa kiswahili noma sana ungeoa mwanamke asiyezaa wangekuambia anajaza choo,hawana jema wazazi wetu wa kiswahili!Waheshimiwa habari za mida,

Mjomba ushauri wa ninii tena...ushatuambia unamwacha mazima..simamia hapo..Maisha ni muhimu kuliko huyo ngedere..tena mazi mwenzake anagonga deileeeee....Waheshimiwa habari za mida,

Uko sahihi mkuuushauri mzuri huwa hauna expiry date, nimejitwalia ushauri wa bure hapa
Yaaniii..mi ngachoka kapsaaHao wenye watoto wamezalishwa na wanaume ambao wanataka kuoa wasio na watoto.
Kweli Mungu si mwanadamu vinginevyo sijui ingekuwaje
Kazi kweliYaaniii..mi ngachoka kapsaa
Hahahahah hii nimeilewa aisee ama kweli una hasiraMwenye mtoto sioi hata kwa bunduki au mamilioni labda huyo mtoto awe hana baba.. Maana ngono na baba wa huyo wa mtoto na mwanamke hazitakwisha... Istoshe ASALI NI TAMU ILAINAPO KUWA NA MATOTO YA NYUKI DAH UVUMILIVU... Unahtajika mana hutochoka kuchomwa na miba ya matoto ya nyuki mana hata mtoto wa nyuki ni mtoto.. Na ndo maana madingi mengi ya kufikia yanakulaga hao watoto kama ni wakike baadae ingawa sio poa KABISA! Ila mi sioi mwenye mtoto hata ka bunduki asee! NYAMA ALE NANI UNILETEE MIMCHUZI MIMI KHAA HATA CJARIBU. Kuna kidem kinasoma IFM KINA MTOTO ET NIKIOE NAKICHAA MIMI! Hata kilivo nambia tu kinamtoto nimebadirisha na namba za cm na kuhama nilipokua nakaa maana ctaki hata kucikia shenz! Mliwe huko uje huku nimalizie hakuna ----- hapa MWAMBA MLETA THREAD TUPA kule hiko kiarabu koko na toto lake shenzi Oa huyo kama hana mtoto. Maana hata kama ukitaka unyumba kwa huyo KOKO UTAPATA TU MANA KIUNGANISHI NA WEWE UNANCHO KWA ATAKAYE OA. Ukipuuzia ushauri huu UNALO UCJE LALAMA TENA HAPA JF MAANA MIDEMU Mizuri karibia yote imezalishwa au imetoa mimba kama vp anaebisha akbndamane ninahasira sana na mnao tega hovyo af mzae huko et uje nikuoe nyoo (exclusion kwa wajane) unabisha andamana anzia hapo ulipo mpaka magogoni kasemelee au mpaka tamwa na Tawla cjui huko huko eeh nenda alah shenzi yenu. Nami nilikuamuhanga wa hyo kaka ila tuupa kule koko hlo.