Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

Afu msiwe mnamhusisha Mungu na mambo yenu ya kipuuzi hayo
Mfanye kwa akili zenu adu mje kusingiZia shetani au mipango ya Mungu
Mungu wetu ni pendo hawezi kukusababishia mabaya ili baadae uanze kulalama
 
Pole kwa changamoto, lakini nadhani tatizo si kuoa mwanamke mwenye mtoto, tatizo ni WEWE, umeshindwa kujiongeza tangu mwanzo wakati 'red flags' zilishaanza kuonekana. Kuna wanawake wenye watoto wameolewa na wana adabu, hekima na upendo wa kweli, shida sio kwamba mama ana mtoto, shida ni kwamba mwanamke mwenyewe ulioa haendani na wewe na hakuwa mkweli tangu mwanzo, ulichofuata wewe ni 'uzuri wa sura' au labda ule 'uarabu' lakini hakuna mwanamke hapo. Lakini Hujiulizi kwanini alikuficha kuhusu mtoto wake tangu awali??? Na baadaye nawe ukaingia kwenye 18 yake.
 
Bro nimejifunza kuwa ktk mahusiano na mwanamke mwenye mtoto. Yaneshanikuta hapa sina hamu.
Waheshimiwa habari za mida,

Mimi ni IT specialist kwenye shirika moja lisilo la kiserikali mshahara wangu ni wa kati si mkubwa sana wala si mdogo sana. Lakini pia mimi ni lecturer part time nafundisha jioni wafanyakazi katika chuo kimoja hapa DSM, Nimeoa na nina watoto wawili, huyu mke wangu ni chotara wa Kiarabu.

Wakati tumeanza kudate hakuniambia kama ana mtoto na kwa kweli alivyo mzuri sikutilia shaka kama ana mtoto maana hata nyonyo zake zilikua zimesimama kama mtoto anaebalehe.Baadae mapenzi yaliponoga ndipo akaniambia kuwa ana mtoto alie darasa la kwanza yupo kwa mama mzazi yaani bibi wa mtoto.

Kwa kuwa nilikua tayari nimezama kwenye mahaba mazito ikabidi nikubali tu maana by that time nilishatangaza ndoa ilikua ni point of no return. Ila mchumba alinihakikishia kuwa mtoto wake hatakua kikwazo kwenye ndoa yetu na kwamba huduma zote za malezi ikiwa ni pamoja na shule, malazi, maradhi na mengineyo yatakua chini ya baba wa mtoto.

Huo ndio ukawa mkataba wetu na kwamba mtoto ataishi kwa bibi na baadae atahamia kwa baba mzazi ambae ni Mwarabu mwenzie. Akabadli dini kuja ukristo tukafunga ndoa haikua shida maana mama ake pia ni mkristo baba ndio muislam na aliwatelekeza siku nyingi.

Miezi sita baada ya ndoa akamleta mtoto kwetu kuishi permanent kinyume na mkataba wetu, anyway nikawa na roho ya utu nikasema haina shida kuepusha shari. Mtoto wake alipofika darasa la nne wakampeleka boarding sisi hapo tuna watoto wawili mapacha wa miaka minne kasoro nadhani mimi ndie nililipa ada ya boarding.

Siku moja katikati ya wiki nilibeba mahitaji kadhaa nikampelekea yule mtoto shuleni, niliomba wakaniruhusu kuingia pale Surprisingly Matron akaniambia huyo mtoto mbona ana vitu vya kutosha. Mama yake na baba yake walikua hapa juzi siku tano hivi zimepita. Akaniuliza kwani wewe ni nani wa mtoto nikamweleza, akashangaa akaniambia mbona walikua wamekaa na mtoto kama ni familia inayoishi pamoja.

Akanipa kama umbea flani hivi nilishangaa kwa kuwa mke wangu hakuniambia kama alienda kwa mtoto na mzazi mwenzie alikuwepo. Visiting day moja nikaenda na watoto wangu kumuona mwenzao, mke wangu aliondoka mapema akatangulia tulipofika pale tukakuta jamaa nae yupo wamekaa na mtoto na wife.

Mshikaji akaaga bila kunisalimia akaondoka zake nilishindwa kumwelewa, nikazuga tukaendelea na mengine hatimae yule mtoto akamaliza la saba. Mama yake akamtafutia shule nzuri sana yenye matokeo mazuri kila mwaka kimbembe kikaja kwenye ada, mimi nikamwambia mwisho wangu ilikua ni la saba.

Sasa walipe wenyewe maana watoto wangu pia wameanza shule ya Mapadre Lieberman ada wote wawili ni million sita kwa mwaka bado nina mdogo wangu wa kike anasoma chuo nalipa mimi ingawa ana mkopo asilimia ishirini. Bado gharama za uendeshaji familia za kila siku, hivyo nikamwambia sitaweza kulipa, ni vema babaake ajipange kulipa.

Wakuu kwa kauli yangu hiyo ulizuka mgogoro mkubwa, Huduma zote muhimu nilisitishiwa pamoja na za chumbani akaondoka akarudi kwao kwa mwezi mzima baada ya kusuluhishwa akarudi mimi nikashikilia msimamo kuwa silipi ada.

Hivi karibuni wakati hayupo nimeingia kwenye mapenzi na mdada jirani yangu amepanga upande anaishi na ndugu, wife amerudi sina hamu nae tena. Huyu mdada jirani nimekua nikimpa lift asubuhi kwa muda mrefu sasa na ndipo tukaelewana na anajua matatizo yetu, alikua akitusaidia sana nyumbani wakati wife ameondoka.

Nimedhamiria kumuacha wife mazima nimeshachoka, juzi baba amekuja akaniambia nilikushangaa ulipojifanya mjuaji kuoa mwanamke mwenye mtoto tukakuzuia ukalazimisha sasa umeyaona.

Wakuu nipo njia panda, ushauri tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oa single mother akiwa sifa zifuatazo
1: baba wa mtoto kafariki
2: uyo single mother sura hana yani ni kama jamaa alitia mimba kupunguza ngenye zake ila hata weee ukiangalia unaona mmmh hapa hapana hasumbuliwi huyu huyo oa na umjari hatakusumbua na atakusikiliza ( hii sio nzuri sana kwasababu unatumia madhaifu yake ya kimaumbile)
3: huyo mtoto kafariki yani hakuna kinachowaunganisha tena na baba wa marehemu mtoto

Lasivyo aisee lazma atachakatwa tu na baba wa mtoto yaani hiyo ni 22/7
 
Pole sana mkuu kwa majanga,

Hapo obviously ni kuwa jamaa mwenye mtoto anakugongea wife wako..maana kama wana uwezo wa kwenda pamoja shule kwa mtoto ina maana wanakwenda na sehemu nyingine pasi na wewe kujua..mtoto kwao ndo kiunganishi

Halafu mkuu, ujue hizi races nyingine tunaishi nao lakini ubaguzi wao haujaisha 100%...hawa waarabu na wadosi wakikutana wao kwa wao something is apt to happen..so kama we ni mdengereko pure na umeoa half-caste wa kiarabu na amezaa na muarabu mwenzake basi ndugu andika maumivu

Halafu cheki walivyo na dharau..yaani aliondoka bila kukusalimia pale skuli wakati we ndo unamsomeshea mtoto..unajua alikuwa anakupa ujumbe gani?..."you just spoilt my romantic reunion with mzazi mwenzangu, you silly SOB!!!" ndicho alichokisema moyoni
Kwa kweli kwa jeuri hio ya baba mzazi
Heri baba mlezi akatae kulipa ada
Visiting anaenda ila kulipia shughuli.,sio sawa
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
mkuu achana na huyo mwanamke jamaake bado anamtomba kwa mgongo wako , yan we ulipe gharama jamaa ale bure ? sio kweli mkuu...YAN KIMBIA
 
mkuu achana na huyo mwanamke jamaake bado anamtomba kwa mgongo wako , yan we ulipe gharama jamaa ale bure ? sio kweli mkuu...YAN KIMBIA
Wasukuma na Vitu white ni Kama Mbwa na chatu! Mbwa lazima awe mpole na ajipeleke mwenyewe kwa Chatu japo kua anajua kabisa anaenda kuliwa!!
 
Back
Top Bottom