Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

Kaeni muelewane kuhusu kuwalea hao watoto. Kama baba wa mtoto ana uwezo kaza msimamo asomeshe damu yake na kama uwezo wake ni mdogo msaidie kumsomeshea huyo mtoto mungu atakulipa mbele ya safari. Duniani tunapita tyuu brother huwez jua huyo mtoto baadae pia anaweza kuwasaidia watoto wako wa damu.

Wewe sasa unamshauri vibaya mwenzio,mpaka muda huu bado una-imani eti huyo mtoto atakuja msahdia ex-father in next life,unawajua waarabu ama unawasikia?,viumbe hawa ni watu wa ajabu sana wakikuona wewe ngozi nyeusi ata uoe ukoo wao wote kama mweusi kwao ni choko-tu.
Na huyo mtoto wa mwarabu na chotara wake kama wa kiume na wale wa mdengereko wa kike anaweza wafumua marinda wootee.Hivyo maisha ya tenda wema na kuishi kwa kutegemea ahadi kama za kikwete tupa kule.Ndomana 50cent anasema get rich or die tryn kivyako kwa ajili ya familia yako.Mwanamke huyo jamaa apige chini, hapo amejiletea bomu na litamfumukia haspolitoa ndani kwake fasta.
 
Mkuu BAK, wewe unaichukuliaje hii?, anajilaumu kuoa mwanamke mwenye mtoto, je yeye akimuoa anayempaga lift naye hawezi kujuta kuolewa na mtu mwenye mtoto

cc: paulsen.paulsen

Story inaeleza kwamba baada ya chotara kuondoka jamaa akawa ana kula kwa huyo jirani yake-kikulacho kinguoni mwako.
Huyo ni jarani na matatizo ya bwana mliwa wife anayajua na home anakuja kupika,kuosha vyombo,kufua na kupigwa gegedo still na lift hasubuhi dada anapewa,so hayo anayajua yote na kesha yakubali no jipya hapo.
Hahahaha-Unacheza na lift ya vist wewe?
 
Last edited by a moderator:
Waheshimiwa habari za mida,

Mimi ni IT specialist kwenye shirika moja lisilo la kiserikali mshahara wangu ni wa kati si mkubwa sana wala si mdogo sana. Lakini pia mimi ni lecturer part time nafundisha jioni wafanyakazi katika chuo kimoja hapa DSM, Nimeoa na nina watoto wawili, huyu mke wangu ni chotara wa Kiarabu.

Wakati tumeanza kudate hakuniambia kama ana mtoto na kwa kweli alivyo mzuri sikutilia shaka kama ana mtoto maana hata nyonyo zake zilikua zimesimama kama mtoto anaebalehe.Baadae mapenzi yaliponoga ndipo akaniambia kuwa ana mtoto alie darasa la kwanza yupo kwa mama mzazi yaani bibi wa mtoto.

Kwa kuwa nilikua tayari nimezama kwenye mahaba mazito ikabidi nikubali tu maana by that time nilishatangaza ndoa ilikua ni point of no return. Ila mchumba alinihakikishia kuwa mtoto wake hatakua kikwazo kwenye ndoa yetu na kwamba huduma zote za malezi ikiwa ni pamoja na shule, malazi, maradhi na mengineyo yatakua chini ya baba wa mtoto.

Huo ndio ukawa mkataba wetu na kwamba mtoto ataishi kwa bibi na baadae atahamia kwa baba mzazi ambae ni Mwarabu mwenzie. Akabadli dini kuja ukristo tukafunga ndoa haikua shida maana mama ake pia ni mkristo baba ndio muislam na aliwatelekeza siku nyingi.

Miezi sita baada ya ndoa akamleta mtoto kwetu kuishi permanent kinyume na mkataba wetu, anyway nikawa na roho ya utu nikasema haina shida kuepusha shari. Mtoto wake alipofika darasa la nne wakampeleka boarding sisi hapo tuna watoto wawili mapacha wa miaka minne kasoro nadhani mimi ndie nililipa ada ya boarding.

Siku moja katikati ya wiki nilibeba mahitaji kadhaa nikampelekea yule mtoto shuleni, niliomba wakaniruhusu kuingia pale Surprisingly Matron akaniambia huyo mtoto mbona ana vitu vya kutosha. Mama yake na baba yake walikua hapa juzi siku tano hivi zimepita. Akaniuliza kwani wewe ni nani wa mtoto nikamweleza, akashangaa akaniambia mbona walikua wamekaa na mtoto kama ni familia inayoishi pamoja.

Akanipa kama umbea flani hivi nilishangaa kwa kuwa mke wangu hakuniambia kama alienda kwa mtoto na mzazi mwenzie alikuwepo. Visiting day moja nikaenda na watoto wangu kumuona mwenzao, mke wangu aliondoka mapema akatangulia tulipofika pale tukakuta jamaa nae yupo wamekaa na mtoto na wife.

Mshikaji akaaga bila kunisalimia akaondoka zake nilishindwa kumwelewa, nikazuga tukaendelea na mengine hatimae yule mtoto akamaliza la saba. Mama yake akamtafutia shule nzuri sana yenye matokeo mazuri kila mwaka kimbembe kikaja kwenye ada, mimi nikamwambia mwisho wangu ilikua ni la saba.

Sasa walipe wenyewe maana watoto wangu pia wameanza shule ya Mapadre Lieberman ada wote wawili ni million sita kwa mwaka bado nina mdogo wangu wa kike anasoma chuo nalipa mimi ingawa ana mkopo asilimia ishirini. Bado gharama za uendeshaji familia za kila siku, hivyo nikamwambia sitaweza kulipa, ni vema babaake ajipange kulipa.

Wakuu kwa kauli yangu hiyo ulizuka mgogoro mkubwa, Huduma zote muhimu nilisitishiwa pamoja na za chumbani akaondoka akarudi kwao kwa mwezi mzima baada ya kusuluhishwa akarudi mimi nikashikilia msimamo kuwa silipi ada.

Hivi karibuni wakati hayupo nimeingia kwenye mapenzi na mdada jirani yangu amepanga upande anaishi na ndugu, wife amerudi sina hamu nae tena. Huyu mdada jirani nimekua nikimpa lift asubuhi kwa muda mrefu sasa na ndipo tukaelewana na anajua matatizo yetu, alikua akitusaidia sana nyumbani wakati wife ameondoka.

Nimedhamiria kumuacha wife mazima nimeshachoka, juzi baba amekuja akaniambia nilikushangaa ulipojifanya mjuaji kuoa mwanamke mwenye mtoto tukakuzuia ukalazimisha sasa umeyaona.

Wakuu nipo njia panda, ushauri tafadhali

Pole kwa maswahibu yaliokukuta,pmj na yote kuchepuka co suluhisho bd unaongeza matatizo kumbuka ukimsogeza ndani na una watt wako atawalea kwa upendo? Tulia utapata jibu la ndoa yako achana na huyo unaemuona mzur leo na yy akiolewa atakuwa na kasoro zake
 
kumbeee....!!!
1.we ni IT specialist
2.we ni lecturer
3.una gari
4.mkeo ni chotara wa kiarabu
4.wanao wanasoma shule ya milioni sita
amaaa....!!! nashukuru kufaham
 
Ogopa sana mwanamke msiri!! Anae fanya vitu vyake kimya kimya!!!!! Muogope sana anaweza hata kukuua au kukuletea balaa.. mimi nilikua na demu wangu 1 ambae tume kaa muda kidogo... Kila niki taka kufanya kitu nakua muwazi kwake na mwambia nataka kufanya hiki na hiki..hii yote niku muonyesha kua nam thamini na nina thamini mawazo yake na ushauri... Balaa linakuja sasa pale yeye anapo fanya mambo yake kimya kimya.. mpaka nifanye uchunguzi ndio nakuja kugundua kumbe alifanya hiki na mbona haku niambia... Hicho kitu kili nifanya nitoe imani nae na hata mm kuwa makini kwenye mambo yangu... "" mimi narudia tena mwanamke msiri mimi namuogopa vibaya bora niwe na kicheche nijue moja kwamba huyu ni mamaa wa pilika mjini hapa """"
 
Ha ha ha ..eti my children and your children are beating our children...JF kuna watu mna maneno...

Ila kweli mume au mke mwenye watoto ni mtihani kwenye ndoa....

Watoto ni kiungo kikubwa sana kwa wazazi...

Mimi mama na baba yangu wameachana lakini wanapigiana simu kama kawa...yani my dad yuko more free na mama yangu kuliko mkewe mpya kwa sababu pia mkewe mpya hana shule kabisa...

Na sisi watoto tunafurahi tunapowaona kuwa bado ni friends...ingawa tunajua hawawezi rudiana kabisa...

Walichukiana siku za mwanzo tuuu...baadae naona mama huwa anaenda kuwasalimia baba na mkewe...na mkewe sijaona akichukia...(labda moyoni ila haoneshi)...usicheze na mke au mume wa ujana wako
 
Afu na nyie si mmezaa...?
Utatuambia humu...baada ya miaka michache...utakapoanza kumchoka huyo unayempa lift...utaanza kuchiti na huyu huyu mkeo...usifanye mchezo na link ya watoto...

Yani mtaanza kuongelea watoto mwisho mnakumbushia...hiyo itakuwa ni mzunguko kama si mzungukano

Kuna jamaa fulani aliachana na mkewe ...tena mke alikuwa anachiti balaa ...siku mumewe karudi home ghafla yeye amelala nje ...anarudi asubuhi anaambiwa baba alirudi...safari ilikuwa cancelled...alipaki na kutimua bila kusubiri talaka (mme alikuwa pilot)

Huwezi amini huyu mume alioa...lakini alikuwa anaendelea kwenda kulala kwa mkewe..tena inasemekana alikuwa analipia mpaka kodi ya nyumba ya ex-wife...(mume ameshakufa...last time I checked huyu ex alikuwa hai...ila mwathirika)
 
Watanzania wanafiki sana
Mshasema Mwarabu hafai kabisa then bado mnamuongea Jirani vibaya je vipi huyo alieonesha usaliti wazi wazi?
 
Afu na nyie si mmezaa...?
Utatuambia humu...baada ya miaka michache...utakapoanza kumchoka huyo unayempa lift...utaanza kuchiti na huyu huyu mkeo...usifanye mchezo na link ya watoto...

Yani mtaanza kuongelea watoto mwisho mnakumbushia...hiyo itakuwa ni mzunguko kama si mzungukano

Kuna jamaa fulani aliachana na mkewe ...tena mke alikuwa anachiti balaa ...siku mumewe karudi home ghafla yeye amelala nje ...anarudi asubuhi anaambiwa baba alirudi...safari ilikuwa cancelled...alipaki na kutimua bila kusubiri talaka (mme alikuwa pilot)

Huwezi amini huyu mume alioa...lakini alikuwa anaendelea kwenda kulala kwa mkewe..tena inasemekana alikuwa analipia mpaka kodi ya nyumba ya ex-wife...(mume ameshakufa...last time I checked huyu ex alikuwa hai...ila mwathirika)

Kwa hiyo mtoa Uzi afanyeje?
Umeshasema Mwarabu hafai umetoa na mifano kwamba watu wakizaa hawaachani hapo hapo jamaa kaamua Ku move on na Jirani bado unaponda as if unamjua jiran kuwa ni mtu mbaya
Wabongo nimeinua mikono
 
Acha povu wewe...mimi waharabu nimewajulia wapi mpaka niseme hawafai...?

Wewe mwarabu nini???mbona una panic?
 
Hahaha na hapo ndiyo mawifi mnaonekanaga wakorofi, unakuwa na braza boya kama huyu anapelekwa pelekwa akifumbuliwa macho haelewi.

Tabu tupu, akiambiwa hao bado wapenzi ndiyo maana baba mzazi ataki kulea kashaambiwa nitalibana jinga langu lilipe, kaka haoni hasikii kakomaa tu kuzini sio tatizo tatizo ada.

Nina uhakika utakua below 25
Nina uhakika hukusoma
Nina uhakika hujaoa

Nime conclude hivyo kutokana na nature ya comments zako
Maana unakimbili kutukana badala ya Ku argue kisomi kwa hoja
Mtu mwenye mke hawezi kusema Maneno haya maana kila ndoa ina shida zake tofauti ni sura ya matatizo
Wapo watu wameshika wake/waume zao red handed guest na wakasamehe na huku vijiweni vijiweni wanajifanya miamba Wa kushauri wenzao waache wake zao kwa uzinzi

Humu ndani waliooa utawaona tu kwanza comment zao ni gentle, hawatukani hata kidogo,
Wana ustahmiliv ktk kushauri na hawana personal attacks

Na amazing fact ni kwamba robo tatu ya washauri humu ndani hawajaoa ila ndo washauri Wa matatizo ya ndoa hapa MMU mfano mmoja ni huyu matumbo
 
Waheshimiwa habari za mida,

Mimi ni IT specialist kwenye shirika moja lisilo la kiserikali mshahara wangu ni wa kati si mkubwa sana wala si mdogo sana. Lakini pia mimi ni lecturer part time nafundisha jioni wafanyakazi katika chuo kimoja hapa DSM, Nimeoa na nina watoto wawili, huyu mke wangu ni chotara wa Kiarabu.

Wakati tumeanza kudate hakuniambia kama ana mtoto na kwa kweli alivyo mzuri sikutilia shaka kama ana mtoto maana hata nyonyo zake zilikua zimesimama kama mtoto anaebalehe.Baadae mapenzi yaliponoga ndipo akaniambia kuwa ana mtoto alie darasa la kwanza yupo kwa mama mzazi yaani bibi wa mtoto.

Kwa kuwa nilikua tayari nimezama kwenye mahaba mazito ikabidi nikubali tu maana by that time nilishatangaza ndoa ilikua ni point of no return. Ila mchumba alinihakikishia kuwa mtoto wake hatakua kikwazo kwenye ndoa yetu na kwamba huduma zote za malezi ikiwa ni pamoja na shule, malazi, maradhi na mengineyo yatakua chini ya baba wa mtoto.

Huo ndio ukawa mkataba wetu na kwamba mtoto ataishi kwa bibi na baadae atahamia kwa baba mzazi ambae ni Mwarabu mwenzie. Akabadli dini kuja ukristo tukafunga ndoa haikua shida maana mama ake pia ni mkristo baba ndio muislam na aliwatelekeza siku nyingi.

Miezi sita baada ya ndoa akamleta mtoto kwetu kuishi permanent kinyume na mkataba wetu, anyway nikawa na roho ya utu nikasema haina shida kuepusha shari. Mtoto wake alipofika darasa la nne wakampeleka boarding sisi hapo tuna watoto wawili mapacha wa miaka minne kasoro nadhani mimi ndie nililipa ada ya boarding.

Siku moja katikati ya wiki nilibeba mahitaji kadhaa nikampelekea yule mtoto shuleni, niliomba wakaniruhusu kuingia pale Surprisingly Matron akaniambia huyo mtoto mbona ana vitu vya kutosha. Mama yake na baba yake walikua hapa juzi siku tano hivi zimepita. Akaniuliza kwani wewe ni nani wa mtoto nikamweleza, akashangaa akaniambia mbona walikua wamekaa na mtoto kama ni familia inayoishi pamoja.

Akanipa kama umbea flani hivi nilishangaa kwa kuwa mke wangu hakuniambia kama alienda kwa mtoto na mzazi mwenzie alikuwepo. Visiting day moja nikaenda na watoto wangu kumuona mwenzao, mke wangu aliondoka mapema akatangulia tulipofika pale tukakuta jamaa nae yupo wamekaa na mtoto na wife.

Mshikaji akaaga bila kunisalimia akaondoka zake nilishindwa kumwelewa, nikazuga tukaendelea na mengine hatimae yule mtoto akamaliza la saba. Mama yake akamtafutia shule nzuri sana yenye matokeo mazuri kila mwaka kimbembe kikaja kwenye ada, mimi nikamwambia mwisho wangu ilikua ni la saba.

Sasa walipe wenyewe maana watoto wangu pia wameanza shule ya Mapadre Lieberman ada wote wawili ni million sita kwa mwaka bado nina mdogo wangu wa kike anasoma chuo nalipa mimi ingawa ana mkopo asilimia ishirini. Bado gharama za uendeshaji familia za kila siku, hivyo nikamwambia sitaweza kulipa, ni vema babaake ajipange kulipa.

Wakuu kwa kauli yangu hiyo ulizuka mgogoro mkubwa, Huduma zote muhimu nilisitishiwa pamoja na za chumbani akaondoka akarudi kwao kwa mwezi mzima baada ya kusuluhishwa akarudi mimi nikashikilia msimamo kuwa silipi ada.

Hivi karibuni wakati hayupo nimeingia kwenye mapenzi na mdada jirani yangu amepanga upande anaishi na ndugu, wife amerudi sina hamu nae tena. Huyu mdada jirani nimekua nikimpa lift asubuhi kwa muda mrefu sasa na ndipo tukaelewana na anajua matatizo yetu, alikua akitusaidia sana nyumbani wakati wife ameondoka.

Nimedhamiria kumuacha wife mazima nimeshachoka, juzi baba amekuja akaniambia nilikushangaa ulipojifanya mjuaji kuoa mwanamke mwenye mtoto tukakuzuia ukalazimisha sasa umeyaona.

Wakuu nipo njia panda, ushauri tafadhali

Pole sana mkuu,dah maisha ya ndoa noma.kwanza ujue bado Ana uhusiano na huyo bwanaake wa zamani,ila wewe una Moyo,Mimi pale nilipopeleka zawadi nikaambiwa wailikuwepo wazazi wake,ilikuwa ndiyo mwisho kulipa Ada,mwisho hapo hakuna tena ndoa,piga chini tafuta mwangalizi wa madogo,ila usioe tena,
 
Nina uhakika utakua below 25
Nina uhakika hukusoma
Nina uhakika hujaoa

Nime conclude hivyo kutokana na nature ya comments zako
Maana unakimbili kutukana badala ya Ku argue kisomi kwa hoja
Mtu mwenye mke hawezi kusema Maneno haya maana kila ndoa ina shida zake tofauti ni sura ya matatizo
Wapo watu wameshika wake/waume zao red handed guest na wakasamehe na huku vijiweni vijiweni wanajifanya miamba Wa kushauri wenzao waache wake zao kwa uzinzi

Humu ndani waliooa utawaona tu kwanza comment zao ni gentle, hawatukani hata kidogo,
Wana ustahmiliv ktk kushauri na hawana personal attacks

Na amazing fact ni kwamba robo tatu ya washauri humu ndani hawajaoa ila ndo washauri Wa matatizo ya ndoa hapa MMU mfano mmoja ni huyu matumbo

Haujakosea kabisa, Mimi ni below 25, mimi sikubahatika kwenda shule shule ilinishinda kabisaaaa, Mimi sijaoa na sitegemei kuoa leo sababu ya kutooa ni kama haya yaliyomkuta huyu boya, pia mimi naamini katika watoto family yangu na ndugu zangu ni wanangu sio mke.

Kitu kingine dadangu naomba tu unizoee,mimi nna tatizo la kupenda kusema ukweli siwezagi kuongea ili anayeniskiza afurahie na nimekulia uswahilini haswa hivyo ata lugha yangu inaweza kuwa ni tatizo na kibaya zaidi siwezi kuigiza u gentle wakati mimi ni mtoto wa paka naomba tu unizoee ndio dunia ilivyo auwezi kukutana na watu wa aina yako lazima ukute watu tofauti usiowapenda kama mimi.

Kuna watu umu walikuwa wananichukia kupita maelezo ikawa wakiniona mpaka roho zinashtuka kama wameona jini ila baadae taratibu wakanizoea maisha yanaendelea. So ata usiponikubali wachache wanaonikubali wananitosha ndio pamoja na ujinga wangu nnapata likes za kutosha.

Najua pengine nilichocomment kimegusa hali halisi ya maisha yako ila inabidi ujifunze unapokuwa single mother ukapata mtu akakustili akakuweka ndani mpaka mwanao akakutunzia usije ukaanza kumdharau ukaanza kumpanda kichwani ukiona mwanaume kakuoa demu mwenye mtoto ujue kakupa thamani kubwa sana. Otherwise siku akifanya maamuzi hatorudi nyuma na ndio utakuwa mwisho wa kumfanya mjinga, hapo ss urudi kwa ex wako unaejifanya wampenda sana au urudi home ukamsaidie mama kukaanga vitumbua na toto lako linalolelewa na baba wa kambo huku baba yake yupo mzima wa afya mtoto anatunziwa na mbunye bado unampelekea.

Dawa ni kupiga chini tu!
 
****************
matumboooooooo at work
 
Naomba nikushauri kama ifuatavyo mdogo wangu nikiamini wewe ni baba mzuri na wala huna ubaguzi na tatizo la malezi kwa mtoto wa mkeo isipokuwa tu hali ya kiuchumi haikuruhusu:
1.Pata uhakika watoto hao mapacha ni wako.
2.Usimuache mkeo sababu ya ugomvi wa ada ya mtoto wake,akiwa kama mama atakuwa tayari kufanya chochote kwa ajili ya mtoto wake,na inaelekea sababu pekee uliyompa mkeo ni kuwa huna kipato cha kutosha..wakati wanao unawalipia mil 6,hii ni ngumu sana kuelewa kwa binadamu wengi.
3.Jaribu kutafuta ukweli wa kwa nini anakulazimisha wewe kulipa ada,jaribu kuMuweka chini mkeo peke yenu wawili tu,muulize kwa nini anataka wewe ndo ulipe ada na sio baba wa mtoto,hiyo itakupa picha kamili,muulize pia ni kwa nini alikuwa anaenda na baba mtoto kumuona mtoto bila kukupa taarifa?sijaona popote uliposema uliwahi kumuuliza,trust me..hakunaga kufa na tai shingoni hilo ni jambo linakutafuna na ndilo linakufanya usitamani kusikia upande wa pili kuna nini.ukiyapata haya naamini yatakusaidia kuwa neutral and more reasonable katika maamuzi utakayoyachukua baada ya hapo.
4.Sioni sababu ya kuchunguza kama mkeo huko nyuma alikuwa na uhusiano na mzazi mwenzie..sababu na wewe unamahusiano ya nje..hilo tup kule maana limekuwa neutralised.
5.Achana na hiyo nyumba ndogo,na kaa ukijua umefanya makosa makubwa sana kumruhusu afahamu mambo yako ya familia,ila sikulaumu sana kwa hili sababu mfa maji huwa haachi kutapa tapa.huu mchepuko unamchango mkubwa sana katika kuivuruga ndoa yako,e.g mpaka sasa huna hamu kabisa na mkeo sababu unae mwingine anaekutimizia haja zako.
6.Mwisho kabisa,ni ukweli uliowazi kesho hatuijui itakujaje Nakupongeza sana kwa kumlea huyo mtoto..fanya maamuzi sahihi,wakati mwingine fikiria kumlea huyo mtoto wa mkeo kama wako,kwa maana utafanya chochote kwa ajili yake,sio dhambi na pengine dunia nzima itakushangaa lakini huwezi jua nani atakufaa kesho,na kwa utaratibu huu wa kumuendekeza mchepuko soon tu watoto wako watakuwa kama mtoto wa mkeo,baba yao wa kambo atalazimishwa awalipie ada.Tafakari kisha chukua hatua...kila la kheri.
 
Mwanamke wangu wa kwanza nilidumu naye kwenye mahusiano miaka miwili wakati nataka kujitosa kufunga nae ndoa akafunguka kuwa ana mtoto yuko kwa baba yake....nikaachana nae maana ningeingiza majuto kwenye maisha yangu.hakuna kitu naogopa maishani kama kuoa mwanamke aliye na mtoto/watoto au kuwa na mtoto wa nje ya ndoa ni mateso
 
Waheshimiwa habari za mida,

Mimi ni IT specialist kwenye shirika moja lisilo la kiserikali mshahara wangu ni wa kati si mkubwa sana wala si mdogo sana. Lakini pia mimi ni lecturer part time nafundisha jioni wafanyakazi katika chuo kimoja hapa DSM, Nimeoa na nina watoto wawili, huyu mke wangu ni chotara wa Kiarabu.

Wakati tumeanza kudate hakuniambia kama ana mtoto na kwa kweli alivyo mzuri sikutilia shaka kama ana mtoto maana hata nyonyo zake zilikua zimesimama kama mtoto anaebalehe.Baadae mapenzi yaliponoga ndipo akaniambia kuwa ana mtoto alie darasa la kwanza yupo kwa mama mzazi yaani bibi wa mtoto.

Kwa kuwa nilikua tayari nimezama kwenye mahaba mazito ikabidi nikubali tu maana by that time nilishatangaza ndoa ilikua ni point of no return. Ila mchumba alinihakikishia kuwa mtoto wake hatakua kikwazo kwenye ndoa yetu na kwamba huduma zote za malezi ikiwa ni pamoja na shule, malazi, maradhi na mengineyo yatakua chini ya baba wa mtoto.

Huo ndio ukawa mkataba wetu na kwamba mtoto ataishi kwa bibi na baadae atahamia kwa baba mzazi ambae ni Mwarabu mwenzie. Akabadli dini kuja ukristo tukafunga ndoa haikua shida maana mama ake pia ni mkristo baba ndio muislam na aliwatelekeza siku nyingi.

Miezi sita baada ya ndoa akamleta mtoto kwetu kuishi permanent kinyume na mkataba wetu, anyway nikawa na roho ya utu nikasema haina shida kuepusha shari. Mtoto wake alipofika darasa la nne wakampeleka boarding sisi hapo tuna watoto wawili mapacha wa miaka minne kasoro nadhani mimi ndie nililipa ada ya boarding.

Siku moja katikati ya wiki nilibeba mahitaji kadhaa nikampelekea yule mtoto shuleni, niliomba wakaniruhusu kuingia pale Surprisingly Matron akaniambia huyo mtoto mbona ana vitu vya kutosha. Mama yake na baba yake walikua hapa juzi siku tano hivi zimepita. Akaniuliza kwani wewe ni nani wa mtoto nikamweleza, akashangaa akaniambia mbona walikua wamekaa na mtoto kama ni familia inayoishi pamoja.

Akanipa kama umbea flani hivi nilishangaa kwa kuwa mke wangu hakuniambia kama alienda kwa mtoto na mzazi mwenzie alikuwepo. Visiting day moja nikaenda na watoto wangu kumuona mwenzao, mke wangu aliondoka mapema akatangulia tulipofika pale tukakuta jamaa nae yupo wamekaa na mtoto na wife.

Mshikaji akaaga bila kunisalimia akaondoka zake nilishindwa kumwelewa, nikazuga tukaendelea na mengine hatimae yule mtoto akamaliza la saba. Mama yake akamtafutia shule nzuri sana yenye matokeo mazuri kila mwaka kimbembe kikaja kwenye ada, mimi nikamwambia mwisho wangu ilikua ni la saba.

Sasa walipe wenyewe maana watoto wangu pia wameanza shule ya Mapadre Lieberman ada wote wawili ni million sita kwa mwaka bado nina mdogo wangu wa kike anasoma chuo nalipa mimi ingawa ana mkopo asilimia ishirini. Bado gharama za uendeshaji familia za kila siku, hivyo nikamwambia sitaweza kulipa, ni vema babaake ajipange kulipa.

Wakuu kwa kauli yangu hiyo ulizuka mgogoro mkubwa, Huduma zote muhimu nilisitishiwa pamoja na za chumbani akaondoka akarudi kwao kwa mwezi mzima baada ya kusuluhishwa akarudi mimi nikashikilia msimamo kuwa silipi ada.

Hivi karibuni wakati hayupo nimeingia kwenye mapenzi na mdada jirani yangu amepanga upande anaishi na ndugu, wife amerudi sina hamu nae tena. Huyu mdada jirani nimekua nikimpa lift asubuhi kwa muda mrefu sasa na ndipo tukaelewana na anajua matatizo yetu, alikua akitusaidia sana nyumbani wakati wife ameondoka.

Nimedhamiria kumuacha wife mazima nimeshachoka, juzi baba amekuja akaniambia nilikushangaa ulipojifanya mjuaji kuoa mwanamke mwenye mtoto tukakuzuia ukalazimisha sasa umeyaona.

Wakuu nipo njia panda, ushauri tafadhali
Mkuu punguza STRESS !! wampeleke mtoto huyo kwenye Jumuuiya yao huko watamlipia ada za shule na matunzo pia!! Funga kazi usonge na maisha....!!!
 
Naomba nikushauri kama ifuatavyo mdogo wangu nikiamini wewe ni baba mzuri na wala huna ubaguzi na tatizo la malezi kwa mtoto wa mkeo isipokuwa tu hali ya kiuchumi haikuruhusu:
1.Pata uhakika watoto hao mapacha ni wako.
2.Usimuache mkeo sababu ya ugomvi wa ada ya mtoto wake,akiwa kama mama atakuwa tayari kufanya chochote kwa ajili ya mtoto wake,na inaelekea sababu pekee uliyompa mkeo ni kuwa huna kipato cha kutosha..wakati wanao unawalipia mil 6,hii ni ngumu sana kuelewa kwa binadamu wengi.
3.Jaribu kutafuta ukweli wa kwa nini anakulazimisha wewe kulipa ada,jaribu kuMuweka chini mkeo peke yenu wawili tu,muulize kwa nini anataka wewe ndo ulipe ada na sio baba wa mtoto,hiyo itakupa picha kamili,muulize pia ni kwa nini alikuwa anaenda na baba mtoto kumuona mtoto bila kukupa taarifa?sijaona popote uliposema uliwahi kumuuliza,trust me..hakunaga kufa na tai shingoni hilo ni jambo linakutafuna na ndilo linakufanya usitamani kusikia upande wa pili kuna nini.ukiyapata haya naamini yatakusaidia kuwa neutral and more reasonable katika maamuzi utakayoyachukua baada ya hapo.
4.Sioni sababu ya kuchunguza kama mkeo huko nyuma alikuwa na uhusiano na mzazi mwenzie..sababu na wewe unamahusiano ya nje..hilo tup kule maana limekuwa neutralised.
5.Achana na hiyo nyumba ndogo,na kaa ukijua umefanya makosa makubwa sana kumruhusu afahamu mambo yako ya familia,ila sikulaumu sana kwa hili sababu mfa maji huwa haachi kutapa tapa.huu mchepuko unamchango mkubwa sana katika kuivuruga ndoa yako,e.g mpaka sasa huna hamu kabisa na mkeo sababu unae mwingine anaekutimizia haja zako.
6.Mwisho kabisa,ni ukweli uliowazi kesho hatuijui itakujaje Nakupongeza sana kwa kumlea huyo mtoto..fanya maamuzi sahihi,wakati mwingine fikiria kumlea huyo mtoto wa mkeo kama wako,kwa maana utafanya chochote kwa ajili yake,sio dhambi na pengine dunia nzima itakushangaa lakini huwezi jua nani atakufaa kesho,na kwa utaratibu huu wa kumuendekeza mchepuko soon tu watoto wako watakuwa kama mtoto wa mkeo,baba yao wa kambo atalazimishwa awalipie ada.Tafakari kisha chukua hatua...kila la kheri.

Hujasoma vizuri Maelezo ya huyu mtoa mada, ameeleza kwenye uzi wake pia ameeleza wakati akiwajibu watu mbalimbali humu ndani

Kasema hivi
Suala la mkewe kukutana mzazi mwenzie Shuleni kwa sasa halipo lilitokea wakati mtoto akiwa darasa la nne, sasa hivi mtoto yupo form one
Mwanamke alishawekwa chini na wazee akaacha mawasiliano yote na mzazi mwenzie
Hivyo mnamshauri kitu ambacho alishakimaliza na si tatizo tena
Tatizo pekee lililobaki ni la ada ya mtoto ameeleza wazi kuwa baba Wa mtoto anapiga chenga kulipa ada kama ilivyo kwa watu wengi akizalisha mwanamke na mwanamke akaolewa basi yeye anajitoa kwenye matumizi
Ada na matunzo ndo mgogoro pekee uliopo na sio usaliti
 
Back
Top Bottom