Najuta kufundisha lugha ya Kiingereza

Najuta kufundisha lugha ya Kiingereza

Pole sana na matatizo Mwalimu....labda ni tatizo la ki mfumo zaidi....kutokana na mfumo wetu ulivyo walimu wengi pamoja na wewe mleta mada ni wale ambao hawakufanya vizuri..
/failures...combi zimekataa div 4 nk...Matokeo yake ndiyo kama hayo unayoyaona huko mashuleni ...samahani kama nimerusha kombora lkulu...
naisoma hii comment mara nyingi siamini, ni mbwa gani inaweza kuja na ufikiri huu ,eti combi hazkubalance ,yaan haviendani lofa ww na hii mada.
 
Huyu mleta huu uzi, bila shaka ni m-haya. Thread imekaa kujivuna zaidi kuliko mantiki ya thread yenyewe. Binafsi sijakuelewa unataka nini hasa. Kwamba tujue unajua kiingereza, au walimu hawajui kiingereza, au lugha ipi itumike kwenye mawaailiano kwa hayo uliyo eleza.
 
Sisi wa zamani tulifundishwa brighter grama book one to book three.mtoto wa darasa la tatu in old good days could speak in a spoken form of standard english.miaka ya sabini ikaja tujifunze lugha yetu kibanga ampiga mkoloni.with global village that is'nt education.huwa nawashangaa wanaoshadadia kiswahili kwenye hii dunia ya sasa.
 
Birds of feather flock together! I have, for a heck of long time, been in a stiff interaction with mediocre teachers like you. They are actually good complainers but generally with no, what I call modality. They often complain of others than helping them to reach a goal of target, they are indeed boreful! What I say is: how far do these complainers stand as a symbol for the accused? The complainers in this context are the people like you, and the accussed are those people, perhaps your co-workers and the headmaster altogether.

The school headmaster has never stood before students to host English announcements, as you say. Teachers in the same department you work for are also incompetent in this bussiness language, all you have said and of course no one can even doubt for this. The only thought you have in your head is your CV to be spoilt, I do not know in which sense. The only one who can spoil your CV is yourself Mr teacher. There are two types of people in this very imperfect world: the people who think that are saints, but are sinners and those who think they are sinners, but are saints. Which group Mr Teacher do you think you fit to belong to?

Binafsi nilitarajia kuwa unataka ushauri hapa kwenye jamvi la great thinkers ili wakusaidie ni njia gani uitumie ili kuendeleza msingi mzuri kwa watoto na kwa walimu pia, na si kuja hapa kuwadhalilisha wenzako kwa kujiona wewe ndiye bora zaidi wakati tu uandishi wako ni ordinary style ambao unaashiria moja kwa moja kuwa hata wewe hii lugha ni shida kwako, it is true that, mwehu huwa ana tabia ya kuwaona watu wote wehu isipokuwa yeye.

Lakini pia hukuishia hapo, ukavitupia lawama vyuo kwamba ni kwa nini vinazalisha walimu wasio na uwezo wa kuongea kiingereza, swali hapa ni, wewe ulisoma wapi, HAVARD, au? Sijaona ustaarabu ulioutumia kuja kuwatangaza walimu wenzako hadi mkuu wako eti hajui kiingereza wakati wewe mwenyewe uwezo wako ni hafifu ambao umeathiri hata uwezo wako wa kufikiria, poor you!

I met a teacher of your sort complaining tiredlessly that, his fellow teachers are not familiar with English languge that him. I asked him a very simple question jokingly two days later. Swali lilikuwa ni hivi, "...mwalimu, hivi kuna tense aina ngapi?...". Do you know the answer this teacher gave me? He said there are three types of tense: present tense, past tense and future tense. I hope even you Mr Teacher can give me the same answer na kama nakuonea niambie!!. What I did then was to listen his speech everytime he opened his mouth to speak and I indeed acted as a language puritan. The results I found were that, even this teacher was not good in this sailed language, he spoke a kind of English full of dualities, for instance, instead of saying, "...students wanted to attend a parade...", the man preffered, "...students they prefered to attend the parade...". I then turned and wept upon myself that, kumbe hata mshikaji naye alikuwa mburula mzuri kwenye lugha aliyodai anaijua kama wewe unavyodai. KIUKWELI HUJANIFURAHISHA NA MADAI YAKO YA AJABU KABISA.

Find a modus operand instead of complaining bhana, kuwa muungwana.
Mkuu umeeleweka sana kwa walio kuelewa, including huyo anae jiona anajua grammar, bila kusema nini asaidiwe kwa changamoto aliyo ieleza kwenye thread yake zaidi ni kuponda wenzie na kujiona yeye ni bora zaidi.
Hopeless kabisa huyo Mr. Teacher.
 
Ukifundsha kwa kiingeleza mfulizo, unakuta wanafunz wanatoa macho tu, yaan hawajaelewa kitu. Inakubid ufafanue tena kwa kswahil il kuweka mambo sawa. Kuna wanafunz wanaongea kilugha tu yaan kswahil 2 kwao n shda. Halaf upge ung'eng'e 2 clac c majanga haya
 
Habari wadau wa elimu!

Mimi ni mwalimu ambaye ninafundisha lugha hii muhimu ya biashara,utawala na diplomasia ktk mojawapo ya shule ya sekondari nchini.
Kwanini nimekuja na bandiko hili, ukweli ni kuwa pamoja na ualimu kuwa kazi yenye maslahi hafifu bado ni kazi muhimu kwa mno; Mimi ni Mkuu wa idara ya somo hili hapa yanayonikuta mpaka najuta ni haya.

Walimu wezangu under my department are very poor in speaking ,hebu fikiria Mwalimu hawezi maliza dakika tatu akiwa anazungumza kiingereza halafu tunahimiza watoto wazungumze English from morning to departure time, to be honest this is a joke. Halafu Mkuu wa idara unasimama unasisitiza wanafunzi wazungumze English kwa motisha na mikwara kibao.

Toka nimeajiriwa sijawahi kumsikia Mkuu wa shule akiwahutubia wanafunzi kwa lugha hii which means naye inamtatiza.. Ukienda madarasa ni ukalimani ndo unaendelea , sasa najiuliza how will I fulfill the desired out comes Kama sio kunichafulia CV . Na nyinyi colleges and universities mnawezaje kumqualify mtu asiyeweza kuongea lugha Fulani akawe Mwalimu wa lugha hiyo.? Ushauri: Tufundishe kwa lugha yetu ya kiswahili na English iwe optional subject kuliko haya maigizo yanayoendelea huku kwenye field.

NB; I have brought this with constructive conscience.
Nawasilisha.
Nina kupongeza. Ni muhimu kama Taifa tukatafuta namna ya kurekebisha hali. Naamini siyo kwamba wanafunzi na hata hao waalimu na sisi wengine kuwa bongo zetu zimeathirika kuto mudu lugha hii, bali ni upungufu wa kimfumo au kimiundo mbinu au kimkakati wa kujifunza na kufundusha kutoka ngazi za chini kabisa.

Mtoto hapa Tanzania akiwa shule ya msingi atafundishwa kiingereza darasani labda dakika 40 lakini akitoka nje ya darasa na hata nyumbani ni Kiswahili tu. Vivyo hivyo ngazi ya sekondari. Nina maana fursa za mazoezi (practice) ni finyu sana.
Hata waliopitia vyuo vikuu na kuajiriwa kila mtu ajiulize katika mwezi au mwaka ni mara ngapi ameongea au kusikia au kusikiliza kiingereza, kwa hakika kwa wengi ni mara chache sana.

Kule darasani waalimu hawahakikishi kuwa kila mwanafunzi ana jibu au kuongea kwa kiingereza, inawezekana kabisa mtu akamaliza miaka minne ya sekondari haja lazimika kujieleza kwa kiingereza hata siku moja na hii ndiyo shida. Lugha yoyote bila mazoezi ni shida.
Baadhi ya shule zina utaratibu wa morning speech na debate za lazima lakini nyingi hazina kwa hiyo siyo ajabu watanzania wengi tuna shida ya hii lugha.

Hata hivyo kuna wimbi la watu wanakejeli na kusema hii ni lugha ya kikoloni tuenzi lugha zetu na kwamba mbona nchi kama China, Japan n.k hawajali sana lugha zisizo za kwao na kwamba kuna huduma za ukalimani. Hilo siyo kweli, kwa kufupi ni sawa na kusema hatuhitaji sana kuwa na ndege au treni au meli kwasababu tuna magari au tunaweza kukodi tusivyo navyo.

Kama mfumo mzuri unaweza kuandaliwa na kusimamiwa kwanini isiwe kila raia anajua lugha yake na za kigeni moja au mbili badala ya kutegemea wakalimani? Ipo kazi ya kufanya.
 
Kienglish kigumu ona hiki kichekesho hapa:

Mwalimu wa kingereza alikuwa anafundisha watoto wa darasa la pili akaandika neno KISS ME akawaambie wasome kwa sauti wale watoto wakasoma KISIMIIIIII
 
Mtaalamu [HASHTAG]#Naminipo[/HASHTAG], nakubaliana na ulichoeleza ,tufanyeje?Mimi nafikiri tuamue kutumia lugha ya kiswahili
 
Ukifundsha kwa kiingeleza mfulizo, unakuta wanafunz wanatoa macho tu, yaan hawajaelewa kitu. Inakubid ufafanue tena kwa kswahil il kuweka mambo sawa. Kuna wanafunz wanaongea kilugha tu yaan kswahil 2 kwao n shda. Halaf upge ung'eng'e 2 clac c majanga haya
ili ujue amekuelewa unapimaje,kwa mtihani ?au unafanyaje kumbuka kiingereza ni lugha.tuanzie hapo. Maana kimya au kukodoa mie siamini kama ni ishara ya kutoelewa
 
Ni kweli kabisa sina perfection kama binadamu ila haya majukumu yangu naya umudu, Mimi nikisisima nikaongea kingereza kama haunioni unaweza hisi kunamwekezaji kutoka ughaibuni amekutembeleeni. Asante mungu nimesomea shule hohehahe lakini waliopitia private hawaniachi mbali aisee
Nobody will prove you wrong except those who are not in this field. I'm teaching math but all English teachers including the head of department himself can't speak and even write as the way I do despite a little knowledge I have in this language you're talking about.

They sometimes come to me asking about this language, now you can imagine what kind of people we have in the competent generation. There is much more to speak but let me end up here, hoping you got it.
 
Tatizo kubwa nililoliona kwako Mwalimu na wengine wengi mliokuwa mnachangia kwa Kingereza cha kulazimisha, ni kuwa mnafikiri cha kukiandika kwa Kiswahili halafu mnaki "translate" kwa Kingereza.

Kosa kubwa. Mnatakiwa mfikiri kwa Kingereza.
 
najua kuwa umeishi majuu,lkn hii haikufanyi kuwa mwana taaluma wa lugha hii. Ni kushauri tu kuwa nenda kasome theoritical perspectives in second language learning.Hilo ulilolisema limejadiliwa kwa mapana , halafu soma theories of meaning. Halafu njoo upya . ili tujadili kama linguists
 
= theoretical

Anza kujadili tu linguist boy. Kingereza bado hujakijuwa sawasawa.
 
Nobody will prove you wrong except those who are not in this field. I'm teaching math but all English teachers including the head of department himself can't speak and even write as the way I do despite a little knowledge I have in this language you're talking about.

They sometimes come to me asking about this language, now you can imagine what kind of people we have in the competent generation. There is much more to speak but let me end up here, hoping you got it.
The problem is real, if the termed teachers of the English language ain't competent enough,what should we do as Tanzanians?
 
Nimefurahishwa sana na bandiko lako mwalimu na ukweli uliouandika.Ila kingereza chako bado sio kizuri sana,jitahidi ku-improve.

Ni kweli kwamba kinachoendelea katika shule zetu na vyuo ni usanii.Waalimu wengi wanafanya maigizo tu kwa sababu hawana sifa kabisa.Wengi wamepata nafasi hizo kwa upendeleo au kwa sababu system yetu ya elimu ni dhaifu.Tuna taarifa kwamba waalimu wanafika mahali hata wanawadanganya wanafunzi wao katika mambo mengi.Hii ni mbaya zaidi kwa walimu wakuu na wakuu wa vyuo kwa kuwa wao ndio wanaopaswa kusimamia taaluma katika maeneo yao.

Pole sana,najua kazi ni ngumu.
Habari wadau wa elimu!

Mimi ni mwalimu ambaye ninafundisha lugha hii muhimu ya biashara,utawala na diplomasia ktk mojawapo ya shule ya sekondari nchini.
Kwanini nimekuja na bandiko hili, ukweli ni kuwa pamoja na ualimu kuwa kazi yenye maslahi hafifu bado ni kazi muhimu kwa mno; Mimi ni Mkuu wa idara ya somo hili hapa yanayonikuta mpaka najuta ni haya.

Walimu wezangu under my department are very poor in speaking ,hebu fikiria Mwalimu hawezi maliza dakika tatu akiwa anazungumza kiingereza halafu tunahimiza watoto wazungumze English from morning to departure time, to be honest this is a joke. Halafu Mkuu wa idara unasimama unasisitiza wanafunzi wazungumze English kwa motisha na mikwara kibao.

Toka nimeajiriwa sijawahi kumsikia Mkuu wa shule akiwahutubia wanafunzi kwa lugha hii which means naye inamtatiza.. Ukienda madarasa ni ukalimani ndo unaendelea , sasa najiuliza how will I fulfill the desired out comes Kama sio kunichafulia CV . Na nyinyi colleges and universities mnawezaje kumqualify mtu asiyeweza kuongea lugha Fulani akawe Mwalimu wa lugha hiyo.? Ushauri: Tufundishe kwa lugha yetu ya kiswahili na English iwe optional subject kuliko haya maigizo yanayoendelea huku kwenye field.

NB; I have brought this with constructive conscience.
Nawasilisha.
 
Anajua wengi wetu hapa JF Kimombo kinatupiga chenga.Hata hivyo hicho kidogo alichoandika kinaonyesha anajua kiaasi chake,ingawa anahitaji ku-improve zaidi.
Sasa nawewe si ungeandika kwa hiyo english ili wanaojua wakupime kama kweli unajua?
 
Back
Top Bottom