Najuta kufundisha lugha ya Kiingereza

Najuta kufundisha lugha ya Kiingereza

what a reason for your BLOKENI
do you know features of broken English? To me ,always language is broken purposely, due to socio-cultural contexts and differential need,which make speakers break the standards of the language. I made an error unwillingly, spare me please with the correction given.
 
Favor accepted
 
Habari wadau wa elimu!

Mimi ni mwalimu ambaye ninafundisha lugha hii muhimu ya biashara,utawala na diplomasia ktk mojawapo ya shule ya sekondari nchini.
Kwanini nimekuja na bandiko hili, ukweli ni kuwa pamoja na ualimu kuwa kazi yenye maslahi hafifu bado ni kazi muhimu kwa mno; Mimi ni Mkuu wa idara ya somo hili hapa yanayonikuta mpaka najuta ni haya.

Walimu wezangu under my department are very poor in speaking ,hebu fikiria Mwalimu hawezi maliza dakika tatu akiwa anazungumza kiingereza halafu tunahimiza watoto wazungumze English from morning to departure time, to be honest this is a joke. Halafu Mkuu wa idara unasimama unasisitiza wanafunzi wazungumze English kwa motisha na mikwara kibao.

Toka nimeajiriwa sijawahi kumsikia Mkuu wa shule akiwahutubia wanafunzi kwa lugha hii which means naye inamtatiza.. Ukienda madarasa ni ukalimani ndo unaendelea , sasa najiuliza how will I fulfill the desired out comes Kama sio kunichafulia CV . Na nyinyi colleges and universities mnawezaje kumqualify mtu asiyeweza kuongea lugha Fulani akawe Mwalimu wa lugha hiyo.? Ushauri: Tufundishe kwa lugha yetu ya kiswahili na English iwe optional subject kuliko haya maigizo yanayoendelea huku kwenye field.

NB; I have brought this with constructive conscience.
Nawasilisha.
kilicho nichekesha zaidi,ktk uzi huu kuanzia mleta mada hadi wachangiaji hakuna hata moja aliyeongea lugha ya malkia iliyonyoka mwanzo hadi mwisho,hata wanaomkosoa mleta mada wao pia ni mchangayo
 
kilicho nichekesha zaidi,ktk uzi huu kuanzia mleta mada hadi wachangiaji hakuna hata moja aliyeongea lugha ya malkia iliyonyoka mwanzo hadi mwisho,hata wanaomkosoa mleta mada wao pia ni mchangayo
ndo turudi kwenye lugha yetu
 
Kama kiswahili mngekuwa mnakitetea hivi,naamini tungewazidi Wachina,kwa maendeleo na kuchochea ubunifu unaotokana na maarifa yatokanayo na vitabu tulivyotafsiri kwa lugha yetu.
 
Back
Top Bottom