Najuta kufundisha lugha ya Kiingereza

Najuta kufundisha lugha ya Kiingereza

Your comment is pathetic in its reality, you real suffer the insanity of over generalization., how far have you decided to link the English speaking issue with divisions set especially of mine. Do you thinking divisions relate with speaking?
Eti Li mwalimu hili limeandika....do you thinking divisions relate with english speaking??
Kisha linaendelea kubisha eti ni limwalimu la kiingereza ....soma comments za hilo bandiko lako la kipuuzi kisha liwe fundisho siku nyingine usirudie tena kubandika upuuzi wako.....
 
Dig unto your dignity and utter your matternersity brother. Tanzania ya kingereza inawezekana. Uthubutu muhimu. Natania.
 
Head of department I am curious to know if you can present your query on your respective language as you said....
The matter of fact is challenges are everywhere ..Be different to let them change,your the one who can change them the way that you wish them to appear. .
 
Ni kweli kabisa sina perfection kama binadamu ila haya majukumu yangu naya umudu, Mimi nikisisima nikaongea kingereza kama haunioni unaweza hisi kunamwekezaji kutoka ughaibuni amekutembeleeni. Asante mungu nimesomea shule hohehahe lakini waliopitia private hawaniachi mbali aisee
Naomba nikutafutie wanafunzi mkuu uko mkoa gani?
 
Head of department I am curious to know if you can present your query on your respective language as you said....
The matter of fact is challenges are everywhere ..Be different to let them change,your the one who can change them the way that you wish them to appear. .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kazi ipo, acha mwalimu ajikatie tamaa
 
Ni kweli kabisa sina perfection kama binadamu ila haya majukumu yangu naya umudu, Mimi nikisisima nikaongea kingereza kama haunioni unaweza hisi kunamwekezaji kutoka ughaibuni amekutembeleeni. Asante mungu nimesomea shule hohehahe lakini waliopitia private hawaniachi mbali aisee
Wekeza na English hapo shuleni kwako.
 
Habari wadau wa elimu!

Mimi ni mwalimu ambaye ninafundisha lugha hii muhimu ya biashara,utawala na diplomasia ktk mojawapo ya shule ya sekondari nchini.
Kwanini nimekuja na bandiko hili, ukweli ni kuwa pamoja na ualimu kuwa kazi yenye maslahi hafifu bado ni kazi muhimu kwa mno; Mimi ni Mkuu wa idara ya somo hili hapa yanayonikuta mpaka najuta ni haya.

Walimu wezangu under my department are very poor in speaking ,hebu fikiria Mwalimu hawezi maliza dakika tatu akiwa anazungumza kiingereza halafu tunahimiza watoto wazungumze English from morning to departure time, to be honest this is a joke. Halafu Mkuu wa idara unasimama unasisitiza wanafunzi wazungumze English kwa motisha na mikwara kibao.

Toka nimeajiriwa sijawahi kumsikia Mkuu wa shule akiwahutubia wanafunzi kwa lugha hii which means naye inamtatiza.. Ukienda madarasa ni ukalimani ndo unaendelea , sasa najiuliza how will I fulfill the desired out comes Kama sio kunichafulia CV . Na nyinyi colleges and universities mnawezaje kumqualify mtu asiyeweza kuongea lugha Fulani akawe Mwalimu wa lugha hiyo.? Ushauri: Tufundishe kwa lugha yetu ya kiswahili na English iwe optional subject kuliko haya maigizo yanayoendelea huku kwenye field.

NB; I have brought this with constructive conscience.
Nawasilisha.
Sasa wewe fikiria tu, Mkuu pale Ikulu anang'ang'ania kiswahili wanapokuja wageni, itakuja hao walimu wako?
 
Usijute, la msingi fanya yale uliyofundishwa kwenye methodology yako. Mlenge mlengwa apate kitu toka kwako, usiwatake wenzako walazimike kupeleka yao kwa walengwa wako. Walengwa wako watakuelewa tu na hawatakusahau katika maisha yao yote. Wenzako mtasahuliana tu mtakapoachana.
Nimeishi maisha kama yako sehemu kadhaa lakini kwa kuwa lengo lilinakuwa kuwalenga wanafunzi na sio walimu wenzangu, basi mwenzio huwa nawafanya vibogoyo wanaota meno !!!.
 
Head of department I am curious to know if you can present your query on your respective language as you said....
The matter of fact is challenges are everywhere ..Be different to let them change,your the one who can change them the way that you wish them to appear. .
Thank you
 
Eti Li mwalimu hili limeandika....do you thinking divisions relate with english speaking??
Kisha linaendelea kubisha eti ni limwalimu la kiingereza ....soma comments za hilo bandiko lako la kipuuzi kisha liwe fundisho siku nyingine usirudie tena kubandika upuuzi wako.....
OK, I appreciate the correction ,on the grammatical error identified ,especially the word "°thinking", =think√,
And I know the reason
 
You should have expected the unexpected. Walimu wengi wanasingizia kuwa watoto hawatawaelewa wakiwafundisha kwa kiingereza. The big question is, WHEN WILL THESE STUDENTS BE ABLE TO UNDERSTAND INSTRUCTIONS GIVEN IN ENGLISH IF THEY ARE NOT GIVEN THE OPPORTUNITY OF PRACTISING IT?
Hata mimi ninakumbana na tatizo hilo hilo.
Nilikuwa mkuu wa idara ya Kimombo... ni shiiida.
Kuhusu mkuu wa shule hajiwezi, huwa naogopa hata kumsalimia kwa kiingereza asije akaumbuka.
Walimu wenzangu wa kiingereza nao chali.
Kwa sasa niko ofisi ya taaluma. huko ndo majanga zaidi. Utagombana na wangapi?
Nilichoamua ni kuishi kwa principles zangu.
Mwanafunzi akija kwangu lazima ajipange kuzungumza kiingereza.
Wengi wao huwa wananikwepa na kwenda kwa walimu wengine.
[emoji87]
 
Back
Top Bottom