Najuta kufundisha lugha ya Kiingereza

Najuta kufundisha lugha ya Kiingereza

Habari wadau wa elimu!
Mimi ni mwalimu ambaye ninafundisha lugha hii muhimu ya biashara,utawala na diplomasia ktk mojawapo ya shule ya sekondari nchini.
Kwanini nimekuja na bandiko hili, ukweli ni kuwa pamoja na ualimu kuwa kazi yenye maslahi hafifu bado ni kazi muhimu kwa mno; Mimi ni Mkuu wa idara ya somo hili hapa yanayonikuta mpaka najuta ni haya ; Walimu wezangu under my department are very poor in speaking ,hebu fikiria Mwl.hawezi maliza dakika tatu akiwa anazungumza kiingereza halafu tunahimiza watoto wazungumze English from morning to departure time,to be honest this a joke. Halafu Mkuu wa idara unasimama unasisitiza wanafunzi wazungumze English kwa motisha na mikwara kibao.
Toka nimeajiriwa sijawahi kumsikia Mkuu wa shule akiwahutubia wanafunzi kwa lugha hii which means naye inamtatiza.. ukienda madarasa ni ukarimani ndo unaendelea , sasa najiuliza how will I fulfill the desired out comes Kama sio kunichafulia CV . Na nyinyi colleges and universities mnawezaje kumqualify mtu asiyeweza kuongea lugha Fulani akawe Mwl.wa lugha hiyo.? Ushauri: Tufundishe kwa lugha yetu ya kiswahili na English iwe optional subject kuliko haya maigizo yanayoendelea huku kwenye field.
NB; I have brought this with constructive conscience.
Nawasilisha.
Also I am a tr, teaching maths, my advice to you, live by principals.
 
Mi bado nasisitiza kutumia lugha hii ingawa nina mambo mengine pia.
Hata watoto wanajua kuwa nje au ndani ya darasa siongei nao kiswahili, labda mtoto awe na shida ya kiafya inayohitaji msaada haraka.
Wanafunzi wameshanizoa kiasi kwamba hata nikiwa na walimu wenzangu, salamu hutenganishwa. Napewa ya kiigereza, wenzangu ya kiswahili.
Mkuu umenifurahisha sana kwa kuto changanya Kiswahili Na Kiingereza
Au KiswaNglish.Watu wengi walio towa maoni ni KiswaNglish tu sijui maana yake nini.
Kwa maoni yangu watu wanao changanya Lugha wana kuwa hawana ufasaha Na lugha zote.
 
Mimi nimekuwa mpole.
Wewe kaza buti
Poa mku
Mkuu umenifurahisha sana kwa kuto changanya Kiswahili Na Kiingereza
Au KiswaNglish.Watu wengi walio towa maoni ni KiswaNglish tu sijui maana yake nini.
Kwa maoni yangu watu wanao changanya Lugha wana kuwa hawana ufasaha Na lugha zote.
Asante mkuu. Ni mwalimu wa Kiswahili na Kiingereza
 
Habari wadau wa elimu!
Mimi ni mwalimu ambaye ninafundisha lugha hii muhimu ya biashara,utawala na diplomasia ktk mojawapo ya shule ya sekondari nchini.
Kwanini nimekuja na bandiko hili, ukweli ni kuwa pamoja na ualimu kuwa kazi yenye maslahi hafifu bado ni kazi muhimu kwa mno; Mimi ni Mkuu wa idara ya somo hili hapa yanayonikuta mpaka najuta ni haya ; Walimu wezangu under my department are very poor in speaking ,hebu fikiria Mwl.hawezi maliza dakika tatu akiwa anazungumza kiingereza halafu tunahimiza watoto wazungumze English from morning to departure time,to be honest this a joke. Halafu Mkuu wa idara unasimama unasisitiza wanafunzi wazungumze English kwa motisha na mikwara kibao.
Toka nimeajiriwa sijawahi kumsikia Mkuu wa shule akiwahutubia wanafunzi kwa lugha hii which means naye inamtatiza.. ukienda madarasa ni ukarimani ndo unaendelea , sasa najiuliza how will I fulfill the desired out comes Kama sio kunichafulia CV . Na nyinyi colleges and universities mnawezaje kumqualify mtu asiyeweza kuongea lugha Fulani akawe Mwl.wa lugha hiyo.? Ushauri: Tufundishe kwa lugha yetu ya kiswahili na English iwe optional subject kuliko haya maigizo yanayoendelea huku kwenye field.
NB; I have brought this with constructive conscience.
Nawasilisha.
Correction:
Out come = Outcome.
 
English muhimu sana. Nimesoma primary, sekondari nzuri tu olevel, advance nzuri tu and then chuo, sehemu zote hizo sikuwahi ona mwalimu yeyote anahimiza na kuzungumza kiingereza seriously. Na baadhi ya walimu walituambia kiingereza hakina maana yeyote cha msingi ni kufaulu. Tokea hapo niliachana kabisa na kiingereza, nilichozingatia mimi ni kufaulu tu. Nimeanza kazi 2011private du chamoto nakiona, sasa nipo busy najifunza kiingereza, lakini bado shida. Watu wanalamba ajira nzuri, wanapata promotion kwa kujua kiingereza vizuri.
 
ha ha ha unataka sentensi ; you have donkey thinking. umelizika? .jamani mnisamehe naanza kuhisi kuchefukwa.
Nadhani wanaokutaka uandike kiingereza wana hoja ya msingi. Mimi naona kwa kuwa wewe ni mwalimu wa lugha, basi fuata misingi ya lugha.

Ungeandika Kiswahili pekee bila kuchanganya ingekua bora kuliko kuchanganya, ila ungeandika kiingereza pekee ungekua umeitendea haki hoja yako.

Swali la nyongeza kwako mwalimu: kwa nini waalimu wa kiingereza mnapenda kutumia lugha ngumu? Mnadhani kuandika kwa misamiati migumu ndo ujuvi au umahiri wa lugha?
 
DREAMBOY usikate tamaa hapa JF
Kuna watu hasi wachache ambao kazi Yao ni kelele tu.
Mimi binafsi nakushukuru Kwa kulitumikia taifa Na uzalendo.
Kwa sababu ya watu Kama wewe naweza kuringa sanaaaaa tu.
DREAM MAN UBARIKIWE.
 
English muhimu sana. Nimesoma primary, sekondari nzuri tu olevel, advance nzuri tu and then chuo, sehemu zote hizo sikuwahi ona mwalimu yeyote anahimiza na kuzungumza kiingereza seriously. Na baadhi ya walimu walituambia kiingereza hakina maana yeyote cha msingi ni kufaulu. Tokea hapo niliachana kabisa na kiingereza, nilichozingatia mimi ni kufaulu tu. Nimeanza kazi 2011private du chamoto nakiona, sasa nipo busy najifunza kiingereza, lakini bado shida. Watu wanalamba ajira nzuri, wanapata promotion kwa kujua kiingereza vizuri.
Daaaah.... hayo maneno yako yana ukweli sanaa
 
Walimu wangu wa kidato cha 4 na 5&6 walikuwa hawataki hata kusikia neno la kiswahili iwe ndani au nje ya darasa. Nawashukuru sana wa;imu hao kwa juhudi zao zilizonifanya nifikie hapa nilipo.
Haimaanishi kuwa nakijua ila naweza kuomba maji kwa kiingereza.
Wangezembea/kutatishwa tamaa sijui ningekuwaje?
 
Zikija kesi kama hizi, utagundua kwamba hakuna haja ya kuwalaumu wanafunzi wanapofeli, na hatuwezi kutatua kwa kuangalia wanafunzi pekee, na ukiangalia zaidi katika kuajiri walimu hakuna hata intervew inayofanyika, hili nalo ni tatizo kubwa. Solution sio kutotumia englisha katika kufundisha, tukitumia kiswahili tutazalisha viongozi wa aina gani? Solution ni kupanga mikakati imara na semina mbali mbali zitolewe kwa walimu wetu ili kuweza kufanikisha shughuli hii ya kuwafunza watoto lugha ngeni
 
Nadhani wanaokutaka uandike kiingereza wana hoja ya msingi. Mimi naona kwa kuwa wewe ni mwalimu wa lugha, basi fuata misingi ya lugha.

Ungeandika Kiswahili pekee bila kuchanganya ingekua bora kuliko kuchanganya, ila ungeandika kiingereza pekee ungekua umeitendea haki hoja yako.

Swali la nyongeza kwako mwalimu: kwa nini waalimu wa kiingereza mnapenda kutumia lugha ngumu? Mnadhani kuandika kwa misamiati migumu ndo ujuvi au umahiri wa lugha?

Nyekundu: matokeo ya umahiri wa lugha zaidi ya moja
Bluu: Sio walimu wote wanaofanya hivyo. Lkn hutegemea pia mada, kusudi, hadhira na mahali inapotumika lugha hiyo.
 
  • Thanks
Reactions: RR
Duh! Pole mwalimu. I can feel your defeat. Kumbuka the problem you are facing is a structural problem. There is nothing you can do to change the course. If you cant fight them, join them...
If you can't stand the heat in the kitchen, use the door..... hahaha
 
You too have similar problem sir. This is due to your statement..you seem like you have come here to reveal your ignorance on the language stated..if you are real fluent in this language why don't you use it here showing your ability?
wachangiaji wangekuwa wachache, halafu yy nia yake ilikuwa kuleta ujumbe kwa jumuiya, haikuwa kuonyesha kwamba anajua kiingereza
 
Nyekundu: matokeo ya umahiri wa lugha zaidi ya moja
Bluu: Sio walimu wote wanaofanya hivyo. Lkn hutegemea pia mada, kusudi, hadhira na mahali inapotumika lugha hiyo.

Asante, ila kifaa ninachotumia hakioneshi rangi ulizotaja.
Ni kweli sio wote wanaotumia misamiati migumu bila sababu za msingi.
 
DREAMBOY usikate tamaa hapa JF
Kuna watu hasi wachache ambao kazi Yao ni kelele tu.
Mimi binafsi nakushukuru Kwa kulitumikia taifa Na uzalendo.
Kwa sababu ya watu Kama wewe naweza kuringa sanaaaaa tu.
DREAM MAN UBARIKIWE.
umeongea ya maana
 
Pole 'dreamboy' umeandika sawa sawa na mawazo yangu, na mimi vivyo hivyo nafundisha kiingereza (sekondari) hapa tz lakini kinachonikera zaidi ni kuona hata baadhi ya mitihani ya 'mock' ama 'zonal exams' inatungwa na watu wasio na weledi wa kiingereza na unakuta kuna makosa kibao ya kisarufi na majibu yamekosewa kwenye 'marking scheme'. Lakini naomba kuwauliza walimu wenzangu, vipi huko mliko bado mnaletewa 'teacher guide book'?
 
Sawa nataka kuanzia leo humu jamii forum wanaojua vizuri kuongea na kusoma vizuri kiingereza basi na wajulikane tu.
 
This thread, should have been brought in kimombo, i m wondering if you negate and pretend in public you speak better than others. That you must be stupid
 
Back
Top Bottom