Najuta kufundisha lugha ya Kiingereza

Najuta kufundisha lugha ya Kiingereza

Ni kweli kabisa sina perfection kama binadamu ila haya majukumu yangu naya umudu, Mimi nikisisima nikaongea kingereza kama haunioni unaweza hisi kunamwekezaji kutoka ughaibuni amekutembeleeni. Asante mungu nimesomea shule hohehahe lakini waliopitia private hawaniachi mbali aisee
It is better to ask participation from other teacher rather than complain in social network
 
Nmelipokea pendekezo lako, kumbuka kuwa sikuandika ili kutafuta sifa ila kuhighlight nini kinaendelea ktk shule zetu. Lakini pia hili nmekuwa nikishauri hata kwenye vikao lkn naishia kuonekana kama najivuna.
Mkuu unageandila kiingereza bado wangetoa kasoro tu unaijua jf naamini....we unefanya poa kuandika swahili.....binafsi naona janga mi naona ubahatike kupata private nzuri yenye english oriented........nimesomanna mukulia kwenye english primarybso naona changamoto wanazopata wale wa swahili medium ni nchi ifunue swahilibzotebziwe english maana by default kiswahili tunakijua tu.....
 
If you are a teacher, you're supposed to be competent in the subject you are teaching.

You have demonstrated here your inability to construct a simple English sentence correctly.

The students in your school have been short-changed by your incompetence.

I'm flabbergasted that you're Head of English department.
 
do you think, speaking English fluently is the issue of errors avoidance.? errors and mistakes ktk lugha yoyote kitu cha kawaida kabisa. Kuhusu hiyo "is" iliyo omitiwa,do you think is not into my lexicon wakati present umbo hili orthographically. kama umosoma lugha jikumbushe psycholinguistics. utajua tu. halafu tofautisha speaking skills and writing skills.

There is no excuse under the sun for an English teacher not to speak, read and write English correctly.

There is a reason why you are called a "Teacher".

You are not even a regular/new teacher learning the ropes of the trade but the "Head of English Department".

I'm curious as hell to know the criteria used in your institution to promote teachers.
 
Mbona hata hakuna sababu ya msingi inayokufanya ujute kufundisha hicho kingereza.
Kama mwalimu unapaswa kuwa creative and flexible hili kuendana na wanafunzi na walimu wenzio na sio kujutia.
 
This thread, should have been brought in kimombo, i m wondering if you negate and pretend in public you speak better than others. That you must be stupid
asante ,in psychology ,this is called character reflection.
 
Mbona hata hakuna sababu ya msingi inayokufanya ujute kufundisha hicho kingereza.
Kama mwalimu unapaswa kuwa creative and flexible hili kuendana na wanafunzi na walimu wenzio na sio kujutia.
what creativity and flexibility that you are wishing me to be, I didn't go to that school to find my matches among students and their teachers but to teach English not to use Swahili in teaching English.
 
what creativity and flexibility that you are wishing me to be, I didn't go to that school to find my matches among students and their teachers but to teach English not to use Swahili in teaching English.
Then how can you teach your students without being flexible and creative[emoji15]
Have you forgotten than creativity and flexibility are among the factors of an effective teacher[emoji165]
You have to be creative and flexible in order to meet the goal of learning
 
You should expressed.....
You should express / you should have expressed
navache
let these friends speak what they want. they were challenging me on why I had not written my post in english on contrary ,are the ones into errors. amakwel aliwazalo mjinga ndo linalomtokea
 
Back
Top Bottom