Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,513
- 113,643
Muungano wetu adhimu ni very unique, uko very very special na haufanani na muungano mwingine wowote duniani.Ni sawa na sakata la madai ya China juu ya Taiwan? Sasa hapa China itakuwa ni CCM, maana sisi kama waTanganyika hatupendi Zanzibar kukaliwa kimabavu!
P