Najua nchi pekee duniani ambayo huchaguliwa Rais wa nchi na nchi nyengine ni Zanzibar

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,432
3,010
Najua nchi pekee duniani ambayo huchaguliwa Rais wa nchi na nchi nyengine ni Zanzibar

Yaani kwanza tuje kwenye chama, CCM huteua mgombea wao wa Rais hapa Zanzibar, akifika Dodoma anawekwa kule wanapewa mtu mwengine.

Pili uchaguzi, Tanganyika inahakikisha kuwa uchaguzi Zanzibar unafanyika kwa mtutu, kuhakikisha Rais wake anachukua nchi hata kwa kugharimu maisha ya watu.

Kufuta uchaguzi au kugeuza matokeo.

Nchi ya ajabu hii Zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili kulinda cha kwao, raisi wa Zn lazima awe na itikad sawa na Tz. hii ni kusema kuwa ukitaka kuona salakasi za muungano wazi raisi wa Zn atoke act afu wa Tz atoke ccm. We Moto, unakumbuka kisanga kilichowatokea wa Zn, pale Mzee uwalaza akawavalisha jw uniform za Askari police yani kata funua yake haikuwa ya nchi hii kumantain the president status, wacha, ndo mana late kalume aliwai kusema Muunganiko ni kama koti likikubana unalivua so ili wasilivue lazima tulibane kwa pini na vibanio vyote hata kama litawaumiza na kuwabana matumbo si unajua wameshakua hawa wanajua jema na baya ila waache waendelee kuvaa lile koti la utotoni hata kama limekuwa kama kizibao kwa sasa,
 
Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya JMT, hivyo mtu yoyote ili kutangazwa kuwa rais wa Zanzibar, ni lazima awe ni mtu atakaye ulinda muungano.

Ndio maana kuna mtu kila siku anashinda kwenye sanduku la kura, lakini hapewi, kwa sababu determinant wanajua Muungano wetu adhimu utakuwa mashakani.
P
 
zanzibar ni nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes Zanzibar ni nchi nje ya Muungano na ndani ya mipaka tuu ya Tanzania, lakini ndani ya Muungano, Tanzania ni nchi moja tuu ya Jamhuri ya Muungano wa union, Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya JMT. Nje ya mipaka ya nchi ya Tanzania, hakuna nchi yoyote duniani inayoitwa Zanzibar, ila kuna eneo linaloitwa Zanzibar ambalo ni sehemu ya JMT, nchi hi moja tuu, JMT.

Kwa vile nje ya Muungano Zanzibar ni nchi, then rais wa Zanzibar atachaguliwa na Wazanzibari wenyewe, lakini kwa vile ana wajibu wa kuulinda Muungano, then ni jukumu la JMT kuhakikisha, atakayekuwa rais wa Zanzibar ni lazima awe mtu atakaye ulinda na kuudumisha muungano.

Hivyo hata Wazanzibari mkichagua kipenzi cha Zanzibar, kama JMT ina mashaka na Uzalendo wake kwa Muungano, then atakaye tangazwa ni yule mdumisha Muungano wetu adhimu na kuyaenzi yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
P
 
ni lazima awe ni mtu atakaye ulinda muungano.

Hakuna ukweli zaidi ya huo.

Mtu anaweza akaandika kutumia maneno mengi, na hata kitabu kizima; lakini maneno mhimu katika kitabu hicho yatakuwa ni haya maneno saba (7) yaliyowekwa hapo juu.

Hapa hatuzungumzii uhalali au la, wa huo Muungano; lakini wakati Muungano huo ukiwepo, hayo maneno ndio "Imprimatur."

Kutokana na sababu hiyo, ndio maana waZanzibar wanadhani ni wao peke yao wanaoonewa. La hasha!

'As long as' Muungano huu utaendelea kuwepo, Tanzania Bara ndio watakaokuwa wanaonewa zaidi ya waZanzibar. Kwa sababu "CCM itaendelea kutawala milele". ili kuulinda Muungano. Huu ndio ukweli wenyewe.
 
Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya JMT, hivyo mtu yoyote ili kutangazwa kuwa rais wa Zanzibar, ni lazima awe ni mtu atakaye ulinda muungano.

Ndio maana kuna mtu kila siku anashinda kwenye sanduku la kura, lakini hapewi, kwa sababu determinant wanajua Muungano wetu adhimu utakuwa mashakani.
P
Kwa nilivyo fahamu mie hii comments yako kwahio hata bara ccm haito ondoka madarakani. Kutokana hakuna chama chenye nguvu ya kisiasa kushinda bara na zanzibar. Zaidi ya ccm kutumia nguvu ya dola na ulahai juu ya uchaguzi nchini.
Suali langu kwanini tunatumia billion kwenye uchaguzi wakati ccm haipo tayari kuondoka madarakani?
 
Huo utakuwa uzwazwa,na ikitokea upinzani umeshika madaraka tanganyika je?yote kwa yote nasikia jiwe amesaini sheria ya vyama vingi kwa kuhofia 2020 hali ni tete tanganyika,mimi namshauri jiwe bora arejeshe tu mfumo wa chama kimoja kuliko kuja kupigana risasi ifikapo uchaguzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes Zanzibar ni nchi nje ya Muungano, ndani ya Tanzania, lakini ndani ya Muungano, Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya JMT. Nchi ni moja tuu, JMT.

Kwa vile nje ya Muungano Zanzibar ni nchi, then rais wa Zanzibar atachaguliwa na Wazanzibari wenyewe, lakini kwa vile ana wajibu wa kuulinda Muungano, then ni jukumu la JMT kuhakikisha, atakayekuwa rais wa Zanzibar ni lazima awe mtu atakaye ulinda na kuudumisha muungano.

Hivyo hata Wazanzibari mkichagua kipenzi cha Zanzibar, kama JMT ina mashaka na Uzalendo wake kwa Muungano, then atakaye tangazwa ni yule mdumusha Muungano wetu adhimu na kuyaenzi yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
P
Kuna miungano ililindwa kwa vifaru na mtutu wa bunduki lakini mwisho wa siku watu waligawana mbao,hii kuchagua mtu kutoka tanganyika kuja kuitawala zanzibar kwa mtutu wa bunduki haitozaa matunda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna ukweli zaidi ya huo.

Mtu anaweza akaandika kutumia maneno mengi, na hata kitabu kizima; lakini maneno mhimu katika kitabu hicho yatakuwa ni haya maneno saba (7) yaliyowekwa hapo juu.

Hapa hatuzungumzii uhalali au la, wa huo Muungano; lakini wakati Muungano huo ukiwepo, hayo maneno ndio "Imprimatur."

Kutokana na sababu hiyo, ndio maana waZanzibar wanadhani ni wao peke yao wanaoonewa. La hasha!

'As long as' Muungano huu utaendelea kuwepo, Tanzania Bara ndio watakaokuwa wanaonewa zaidi ya waZanzibar. Kwa sababu "CCM itaendelea kutawala milele". ili kuulinda Muungano. Huu ndio ukweli wenyewe.
Muungano wa ussr ulivyunjika uje kuwa huu wa kimagumashi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya JMT, hivyo mtu yoyote ili kutangazwa kuwa rais wa Zanzibar, ni lazima awe ni mtu atakaye ulinda muungano.

Ndio maana kuna mtu kila siku anashinda kwenye sanduku la kura, lakini hapewi, kwa sababu determinant wanajua Muungano wetu adhimu utakuwa mashakani.
P
Zanzibar ni nchi iliyovamiwa na Tanganyika na kufanywa koloni au ngawira
 
zanzibar ni nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa hata, simba wa kufuga bado ni simba ingawa anatafutiwa nyama na kuwekwa kwenye tundu kama ndege. Naamini siku wakiamua kumtoa au akivunja tundu anauwezo wa kwenda kuwinda na kubeba majukumu yake kama simba na kuacha hila za binadamu kumpeleka sabasaba akachezewe na watoto kama sungura
 
Kwa nilivyo fahamu mie hii comments yako kwahio hata bara ccm haito ondoka madarakani. Kutokana hakuna chama chenye nguvu ya kisiasa kushinda bara na zanzibar. Zaidi ya ccm kutumia nguvu ya dola na ulahai juu ya uchaguzi nchini.
Suali langu kwanini tunatumia billion kwenye uchaguzi wakati ccm haipo tayari kuondoka madarakani?
Yaap, that is, ndio maana kafu inaning'inia sasa. Ili chama ki rule out ssm lazima kiwe balanced bara na visiwani kwa maslai mapana. ssm wanafigisufigusu bara, visiwani wanatumia nguvu kiasi kushika dola yote.
 
Back
Top Bottom