Najua nchi pekee duniani ambayo huchaguliwa Rais wa nchi na nchi nyengine ni Zanzibar

Muungano wetu adhimu ni very unique, uko very very special na haufanani na muungano mwingine wowote duniani.

Miungano yote ya nchi ni

JMT ndio nchi, ndio dola. Zanzibar ni sehemu ya JMT, lakini JMT sio sehemu ya Zanzibar. Lugha ya Kiswahili ina upungufu wa vocabulary, Zanzibar is part of URT, but URT is not part of Zanzibar, but Zanzibar is inside URT.

Kila Mzazibari ni Mtanzania kwanza kisha ni Mzazibari, lakini sio kila Mtanzania ni Mzazibari. Uraia wa JMT ni jambo la Muungano, lakini uraia wa Zanzibar ni kwa Wazanzibari pekee

Uraia ni moja ya manufaa makubwa kabisa ya Muungano kwa Wazanzibari, kwa sababu Wazanzibari wote ni Watanzania kwanza, kisha ndio Wazanzibari, wanahaki zote za Watanzania, kumiliki ardhi popote, kuajiriwa popote, kufanya biashara popote ndani ya JMT, including Zanzibar, lakini kwa upande wa Zanzibar, sio kila Mtanzania anaweza kufanya chochote Zanzibar, kuna vitu ili uweze kuvifanya Zanzibar, ni lazima uwe Mzazibari.
P
Haha very unique kwa sababu umejaa hila na ubabaishaji.. Huu ni ukoloni, muungano upo UK na bara la ulaya
 
JMT ni nani au ni nini...je JMT ni sehem ya znz.?

Kweli Pascal huoni aibu kueleza huu ukweli hadharani kwamba Wazanzibar wanazo haki zote ndani ya JMT lakini watanganyika hawana baadhi ya haki ndani ya Zanzibar!!😫😫, what a nasty union!!!,.umesema muungano wetu ni "very unique" wala hujakosea kwani ni sawa uwe na mtu mwenye miguu 4 na macho 2 halafu mtu asifie hiyo "abnomality" kwa kuiita "very unique" --- huu Muungano kwa muundo huu wa sasa wa nchi moja kunyima haki za wengine na kuwapa wengine haki hizohizo ni "a shameful" wala hakuna mtu mwenye busara anayeweza kuutetea hadharani muungano namna hii.

Swali la cheo cha Zanzibar katika JMT bado ni gumu sana, kama zanzibar siyo nchi basi hadhi yake ni ipi katika JMT??, ukisema ni sehemu ya JMT hata Kigoma ni sehemu ya JMT na hadhi yake ni mkoa.

Pascal ukipata ukuu wa mkoa au wilaya nitafunga safari tuje tujadiliane kwenye vyombo vya habari LIVE mimi na wewe juu ya huu muungano wa hovyo unaovunja haki za binadamu na unatia utumwani watu na kuwaneemesha viongozi wa CCM.
 
Mkuu Mokaze,

  1. kwenye kuusema ukweli, wengine wetu, hatukubahatika kupata mgao wa aibu ya kuusema ukweli. Kwenye ukweli, tutausema bila kujali ukweli huo utamfurahisha nani au utamuudhi nani.
  2. Hadhi ya Zanzibar ndani ya Muungano ni equal status na hadhi ya Tanzania Bara ndani ya Muungano. JMT ina hadhi kubwa zaidi ya Zanzibar kwa sababu ni two in one, Serikali ya JMT ni Serikali ya Muungano na Tanzania Bara kwa mambo ambayo sio ya Muungano
  3. P
 
Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya JMT, hivyo mtu yoyote ili kutangazwa kuwa rais wa Zanzibar, ni lazima awe ni mtu atakaye ulinda muungano.

Ndio maana kuna mtu kila siku anashinda kwenye sanduku la kura, lakini hapewi, kwa sababu determinant wanajua Muungano wetu adhimu utakuwa mashakani.
P
Si ni bora Rais awe mmoja tu?
 
Katiba ya JMT inasema binadamu wote ni sawa na hakutakua na sheria za kibaguzi, ndani ya Tanzania, kwanini mtanganyika hana haki ya kugombea urais znz?
Mkuu Mokaze,

  1. kwenye kuusema ukweli, wengine wetu, hatukubahatika kupata mgao wa aibu ya kuusema ukweli. Kwenye ukweli, tutausema bila kujali ukweli huo utamfurahisha nani au utamuudhi nani.
  2. Hadhi ya Zanzibar ndani ya Muungano ni equal status na hadhi ya Tanzania Bara ndani ya Muungano. JMT ina hadhi kubwa zaidi ya Zanzibar kwa sababu ni two in one, Serikali ya JMT ni Serikali ya Muungano na Tanzania Bara kwa mambo ambayo sio ya Muungano
  3. P
 
kwenye kuusema ukweli, wengine wetu, hatukubahatika kupata mgao wa aibu ya kuusema ukweli. Kwenye ukweli, tutausema bila kujali ukweli huo utamfurahisha nani au utamuudhi nani.

Mtu kukosa aibu ni kasoro miongoni mwa kasoro kubwa, na ndiyo maana tunapata fundisho katika dini kwamba kuona aibu ni sehemu ya imani.

Sasa ninanukuu kauli yako kuhusu jambo moja la muungano uliposema; "--------lakini kwa upande wa Zanzibar sio kila Mtanzania anaweza kufanya chochote Zanzibar, kuna vitu ili uweze kuvifanya Zanzibar ni LAZIMA uwe Mzanzibar ".

👆🏻Angalia huo uozo, halafu unakuja kifua mbele unasema eti, Zanzibar na Tanganyika ni nchi moja na muungano wetu ni kitu adhimu.
 
Katiba ya JMT inasema binadamu wote ni sawa na hakutakua na sheria za kibaguzi, ndani ya Tanzania, kwanini mtanganyika hana haki ya kugombea urais znz?

Ni Kwa kuwa itawafunua macho direct vipofu waone kuwa huu ni uvamizi
 
hakuna muungano usio na maelewano
tukae tuelewane

Huu si muungano ni uvamizi uliopewa jina la muungano. Laanatullahi Nyerere aliivamia Zanzlbar na kumkamata Waziri Mkuu wake Muhammed Shamte aliyechaguliwa na wananchi na kumfunga katika jela za Tanganyika pamoja na Mawaziri wake bila kufikishwa mahakamani kabla hata huo uitwao Muungano haujafikiriwa.Walikaa jela zaidi ya miaka 10
 
Mtu kukosa aibu ni kasoro miongoni mwa kasoro kubwa, na ndiyo maana tunapata fundisho katika dini kwamba kuona aibu ni sehemu ya imani.

Sasa ninanukuu kauli yako kuhusu jambo moja la muungano uliposema; "--------lakini kwa upande wa Zanzibar sio kila Mtanzania anaweza kufanya chochote Zanzibar, kuna vitu ili uweze kuvifanya Zanzibar ni LAZIMA uwe Mzanzibar ".

👆🏻Angalia huo uozo, halafu unakuja kifua mbele unasema eti, Zanzibar na Tanganyika ni nchi moja na muungano wetu ni kitu adhimu.
Mkuu Mokaze, kwanza nakubali mtu kukosa aibu katika kuusema ukweli ni tatizo, na ukiwa mkweli too much, ukweli huo una very high cost to pay ikiwemo kuonekana kama an enemy of the people, kwa watu waliozoea uongo au kudanganywa, ukiwaambia ukweli, utachukiwa, hivyo ndivyo mimi nilivyo humu jf, kwenye ukweli, unasemwa no matter what, lakini pia katika kuusema ukweli humu, siusemi kwa mtindo wa upayukaji au uropokaji, bali unatanguliza maslahi kwa taifa, ukiona ukweli huu ukijulikana hauna maslahi kwa taifa, then ukweli huo unauhifadhi, kuna some truths they are better kept as secrets than let them known na hiki ndicho nilichokifanya kwenye mabandiko kama haya

Hoja ya kwanini kila Mzazibari ni Mtanzania na anahaki zote za kiraia za Mtanzania ikiwemo ajira, kumiliki mali, kufanya biashara popote, kumiliki ardhi etc, wakati sio kila Mtanzania ana haki hizo Zanzibar, kuna vitu ili uweze kuvifanya Zanzibar ni lazima uwe Mzazibari, hili ni jambo dogo tuu la elimu ya uraia kutokana na geopolitical na nature of Zanzibar size inakuwa treated as a minority, tungeacha kila kitu free, vile visiwa tungevizamisha kwa kuvimeza.

Hakuna tena kitu kinachoitwa Tanganyika, Tanganyika ilikufa baada ya Muungano wetu adhimu, so does Jamuhuri ya Watu wa Zanzibar.

Kilichopo sasa ni nchi moja tuu JMT yenye sehemu mbili zinazounda JMT ambazo ni Tanzania Bara, (iliyokuwa Tanganyika) na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar,(, iliyokuwa Jamuhuri ya Watu wa Zanzibar).
Ndani ya Muungano, Tanzania Bara na Tanzania Visiwani zina equal status.
JMT ndio supreme wao.

Watanzania wote ni sawa na Tanzania ni moja.

Hata wewe ndani ya utawala wa nucleus government yako ya familia kama mume na mke wote mko na status sawa kisheria, lakini unajua kabisa kuna vitu wewe kama Baba ni kichwa cha nyumba, na kuna vitu lazima uvifanye as baba, na mama pia ana duties and responsibilities zake hapaswi kuingiliwa au kupangiwa. Hivyo ndivyo ulivyo Muungano wetu adhimu, kuna vitu ni vya Muungano ni vya wote na kuna vitu ni vya Zanzibar, havihusu Tanzania kwa jinsi ile ile, mume mwenye busara hahitaji kujua contents za kwenye handbag ya mkewe or contents za kijaluba cha mkewe chumbani.

Mambo ya ndani ya Zanzibar, waachiwe Wazanzibari wenyewe.
P
 
Najua nchi pekee duniani ambayo huchaguliwa Rais wa nchi na nchi nyengine ni Zanzibar

Yaani kwanza tuje kwenye chama, CCM huteua mgombea wao wa Rais hapa Zanzibar, akifika Dodoma anawekwa kule wanapewa mtu mwengine.

Pili uchaguzi, Tanganyika inahakikisha kuwa uchaguzi Zanzibar unafanyika kwa mtutu, kuhakikisha Rais wake anachukua nchi hata kwa kugharimu maisha ya watu.

Kufuta uchaguzi au kugeuza matokeo.

Nchi ya ajabu hii Zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie si waoga.
 
Mkuu Mokaze, kwanza nakubali mtu kukosa aibu katika kuusema ukweli ni tatizo, na ukiwa mkweli too much, ukweli huo una very high cost to pay ikiwemo kuonekana kama an enemy of the people, kwa watu waliozoea uongo au kudanganywa, ukiwaambia ukweli, utachukiwa, hivyo ndivyo mimi nilivyo humu jf, kwenye ukweli, unasemwa no matter what, lakini pia katika kuusema ukweli humu, siusemi kwa mtindo wa upayukaji au uropokaji, bali unatanguliza maslahi kwa taifa, ukiona ukweli huu ukijulikana hauna maslahi kwa taifa, then ukweli huo unauhifadhi, kuna some truths they are better kept as secrets than let them known na hiki ndicho nilichokifanya kwenye mabandiko kama haya

Hoja ya kwanini kila Mzazibari ni Mtanzania na anahaki zote za kiraia za Mtanzania ikiwemo ajira, kumiliki mali, kufanya biashara popote, kumiliki ardhi etc, wakati sio kila Mtanzania ana haki hizo Zanzibar, kuna vitu ili uweze kuvifanya Zanzibar ni lazima uwe Mzazibari, hili ni jambo dogo tuu la elimu ya uraia kutokana na geopolitical na nature of Zanzibar size inakuwa treated as a minority, tungeacha kila kitu free, vile visiwa tungevizamisha kwa kuvimeza.

Hakuna tena kitu kinachoitwa Tanganyika, Tanganyika ilikufa baada ya Muungano wetu adhimu, so does Jamuhuri ya Watu wa Zanzibar.

Kilichopo sasa ni nchi moja tuu JMT yenye sehemu mbili zinazounda JMT ambazo ni Tanzania Bara, (iliyokuwa Tanganyika) na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar,(, iliyokuwa Jamuhuri ya Watu wa Zanzibar).
Ndani ya Muungano, Tanzania Bara na Tanzania Visiwani zina equal status.
JMT ndio supreme wao.

Watanzania wote ni sawa na Tanzania ni moja.

Hata wewe ndani ya utawala wa nucleus government yako ya familia kama mume na mke wote mko na status sawa kisheria, lakini unajua kabisa kuna vitu wewe kama Baba ni kichwa cha nyumba, na kuna vitu lazima uvifanye as baba, na mama pia ana duties and responsibilities zake hapaswi kuingiliwa au kupangiwa. Hivyo ndivyo ulivyo Muungano wetu adhimu, kuna vitu ni vya Muungano ni vya wote na kuna vitu ni vya Zanzibar, havihusu Tanzania kwa jinsi ile ile, mume mwenye busara hahitaji kujua contents za kwenye handbag ya mkewe or contents za kijaluba cha mkewe chumbani.

Mambo ya ndani ya Zanzibar, waachiwe Wazanzibari wenyewe.
P

(1) Tanzania bara na Tanzania visiwani have Equal status??, mbona Tanza

Mkuu Mayalla, mambo uliyoyazungumza ni absurd sana,

Huwezi sema kwamba bara na visiwani tunayo status sawa, visiwani wanaye Rais, wawakilishi nk, Bara hatuna raisi, wao jamhuri ya watu wa zanzibar, sisi bara hatuna jamhuri.

Unasema Wabar wakienda Zanzibar watazamisha visiwa!!, je kwa sababu wabara wanakula sana??!!

Unasema tuiache zanzibar na mambo yake ya ndani!!, tusiwaingilie na tukifanya hivyo ni sawa na kupeleleza hand bag ya mke nyumbani😁😁!!,, nikuulize, je unaweza kusema kauli hii mbele ya mzanzibar??.
 
Tanganyika iliishakufa zamani, tukazika. Serikali ya JMT inashughulikia mambo yote ya Muungano na yasiyo ya Muungano.

Jamuhuri ni JMT, Zanzibar ilikuwa Jamuhuri ya Watu wa Zanzibar nayo pia ilikufa wakati mmoja na Tanganyika ndio maana Zanzibar sio nchi, nchi ni JMT.

Haya ninayoyasema kuhusu Zanzibar ni ukweli mtupu na nausema wazi wazi bila kumung'unya maneno

Mfano

P.
 
43 Reactions
Reply
Back
Top Bottom