Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,556
- 12,676
Tanganyika imekufa machoni pa wanaCCM na sio kwa wananchi wote!Tanganyika iliishakufa zamani, tukazika. Serikali ya JMT inashughulikia mambo yote ya Muungano na yasiyo ya Muungano.
Jamuhuri ni JMT, Zanzibar ilikuwa Jamuhuri ya Watu wa Zanzibar nayo pia ilikufa wakati mmoja na Tanganyika ndio maana Zanzibar sio nchi, nchi ni JMT.
Haya ninayoyasema kuhusu Zanzibar ni ukweli mtupu na nausema wazi wazi bila kumung'unya maneno
Mfano
Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe?
Wanabodi, Hiki ni kisa cha kufikirika tuu lakini ni kisa cha kweli na ni cha ajabu kweli, ila ndio ukweli wenyewe kwa kitakachotokea kwenye ndoa ya wawili hawa!. Kwa hapa Tanzania, kwa kawaida tuna aina mbili kuu za ndoa, yaani type ya ndoa, ni tuna ndoa ya mke mmoja, na ndoa za wake wengi...www.jamiiforums.com
Je, Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?
Wanabodi, Wakati tukijiandaa rasmi kuingia kwenye serikali 3, tutake tusitake, lazima tutarudi nyuma kuungazia muungano wetu, na kabla hatujaingia katika serikali tatu, lazima kwanza tuwe na Mkataba rasmi wa Muungano, ndipo zifuate hizo serikali 3. Hiki kilichopo, kinachoitwa Mkataba wa...www.jamiiforums.com
Dkt. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
Wanabodi, Baada ya kupitishwa kwa katiba mpya tuipendayo ya serikali mbili, watu wote wenye hoja za serikali tatu, ni watu wa hatari sana kwa mustakabali wa taifa hili. Mmoja wa watu hawa ni Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, huyu ni mtu hatari sana kwa mustakabali na majaaliwa ya kupitishwa kwa...www.jamiiforums.com
P.