Najua leo Taifa Stars inafuzu AFCON, ila ingefungwa na kutofuzu ningekuwa ni mwenye furaha kubwa

Kwangu mimi Taifa Stars isiyo na Wachezaji wangu ninaowakubali akina Kapombe, Tshabalala, Feitoto, Kipa Kinda Ali Salim na yenye Wachezaji wabovu akina Mkude, Boko (Mfalme wa Miba Tanzania ) Mzize na Himid Mao Mkami ni batili.

Hongereni Taifa Stars kwa kufuzu tena AFCON, ila binafsi kama GENTAMYCINE sijafurahi kufuzu kwenu ila sina jinsi.
Pendaga vya kwenu muzeye.
 
Back
Top Bottom