Najivunia kuzaliwa wa kike

Najivunia kuzaliwa wa kike

Very true.... Hii si Tanzania tu most of the countries wanawake ndio wengi kuliko wanaume..

Hivi kwani nani alisema wanaume ndio wengi?? Mlielewa kweli nilichoandika au ndio viroba kama alivyosema?
 
I was quoting that guy.... i didnt even read what you wrote.... This post made me go back there and read again

Ur my young sis and i respect that... I hope u will do the same... adios
 
Ooooh gat you, i thot unasaport alichonikot, very sory for that.
 
Baada ya kupitia posts zako na nilivyoku-quote wengi huwa wanakuja ktk defensive mode ya matusi!!
Big up, uko poa! Kama ulivyosema yawezekana mtu akawa hayupo hivyo, natumai nawe hauko hivyo!
Cheerz!!

Pamoja mkuu
 
proud to born a man...

hata nikiishi maisha magumu vipi poa tu, , maisha ni kitafuta
 
Kwani huo umalaya hujifanya wenyewe. Si na wanaume pia hu participate kukamlisha tendo.

Wewe Diva@beyonce the queen bee akili zenu zimetawaliwa kuolewaolewa..na mbaya kabisa kama hamjapata wa kuwaoa huwa mnaishia kuchumishwa michicha na kupewa jero
 
Last edited by a moderator:

Wala tu hatutawaliwi na kuolewa ni kitu cha baadae sana lazma kula maisha kwanza na good time za kutosha life is too short.
Money first wala mchicha sichumishwi kizembe.
 
Diva@beyonce unazuga wewe.....nawajua nyie mkiingiziwa gia ya kuolewa huwa mnawehuka sana...mnakuwa wapoooleeee weeeeeeeeee
Mnafunuliwa weeee na kuchezewaaa weeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Wewe Diva@beyonce the queen bee akili zenu zimetawaliwa kuolewaolewa..na mbaya kabisa kama hamjapata wa kuwaoa huwa mnaishia kuchumishwa michicha na kupewa jero

Hahahaaa ujana huu tunautumia vizuri tunawachuna tunafungua mitaji na nyumba tunajenga maisha yanaanzaje kwenda kombo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom