Najivunia kuzaliwa wa kike

Najivunia kuzaliwa wa kike

Wala tu hatutawaliwi na kuolewa ni kitu cha baadae sana lazma kula maisha kwanza na good time za kutosha life is too short.
Money first wala mchicha sichumishwi kizembe.

Hahahaaa umenifurahisha.
Wanaume wanazani sisi ni mazezeitaa kwamba tunachuna na kula vyuku tuu hawajui na sisi tuna plan za mbali
 
Ka unapokea hela we ni malaya tu, hamna namna nyingine na kuremba.

It doesnt matter wote Malaya tu me na ke sema ke ndo anapata fedwaa. Business is bussiness whether legal or illegal what matters most ni mambo ya fezwaaaa.
 
Wala tu hatutawaliwi na kuolewa ni kitu cha baadae sana lazma kula maisha kwanza na good time za kutosha life is too short.
Money first wala mchicha sichumishwi kizembe.

Wabahiri na wasionazo za kutoa maana hata wao wanaunga unga tu utawajua, kujihami kwingiiiii, wenye nazo wanatoa tuuuuuu walaaa hawatafuti excuse, hebu watupe tu kwakweli ndio njia pekee iliyo sahihi.
 
Diva@beyonce unazuga wewe.....nawajua nyie mkiingiziwa gia ya kuolewa huwa mnawehuka sana...mnakuwa wapoooleeee weeeeeeeeee
Mnafunuliwa weeee na kuchezewaaa weeeeeee

Wala sizugi kuolewa ni extra sana Mpaka tupate tulichokua tuna kitaka kwanza kwenye life sio kurukia tu maisha ya ndoa. Mpaka mtupatie tukitacho bila HVO cheating kwa sana tu. Sio kwamba tunafumuliwa we want something.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa mkuu bhana maneno yako yamenifurahishq

kwa mwanaume no way out ni kupambana tu maisha.
Kutumia kitu ulichokitolea jasho unakuwa na uhuru wa kuamua...ila kutegemea vya watu mmmh hata under wear budget unapangiwa
 
Wabahiri na wasionazo za kutoa maana hata wao wanaunga unga tu utawajua, kujihami kwingiiiii, wenye nazo wanatoa tuuuuuu walaaa hawatafuti excuse, hebu watupe tu kwakweli ndio njia pekee iliyo sahihi.

Wengi wanao lalamika ni mabahili tu hawa wanaji defence ili wasitoe hela.
Wenzao wanatoa tu bila shida. Watoe hayo mahera kwa sana.
 
Wala sizugi kuolewa ni extra sana Mpaka tupate tulichokua tuna kitaka kwanza kwenye life sio kurukia tu maisha ya ndoa. Mpaka mtupatie tukitacho bila HVO cheating kwa sana tu. Sio kwamba tunafumuliwa we want something.
Diva Beyonce mpaka sasa ushatembea na vijeba vingapi?
 
Last edited by a moderator:
Aiii ndio unasema hivyo ili tusipokeee, hujui tusipopokea jasho lenu tutakuwa tunatenda dhambi!! Kwahiyo acha tu tupokee na nyie endeleeni kutupa tu maana hamna namna.

Uwiiiii wewe mwanamke nimekushindwaa
 
Wengi wanao lalamika ni mabahili tu hawa wanaji defence ili wasitoe hela.
Wenzao wanatoa tu bila shida. Watoe hayo mahera kwa sana.

Na wanajua kujihami haoooo!! Mie kuna mmoja siku moja ofisini alikuwa anaponda hiyo isue nikamwambia, we una haki useme hivyo maana hata hizo za kuhonga zenyewe huna, acha animind!!
 
kwa mwanaume no way out ni kupambana tu maisha.
Kutumia kitu ulichokitolea jasho unakuwa na uhuru wa kuamua...ila kutegemea vya watu mmmh hata under wear budget unapangiwa

Lol adi hurumaaaa
 
Na wanajua kujihami haoooo!! Mie kuna mmoja siku moja ofisini alikuwa anaponda hiyo isue nikamwambia, we una haki useme hivyo maana hata hizo za kuhonga zenyewe huna, acha animind!!

Hahahaaaaa wanao honga kweli hawaongei hawa wanaoongea hapa wanahonga za vocha tuu
 
Uwiiiii wewe mwanamke nimekushindwaa

Aaah wanajitetea hapa ili tusipokee sijui kujiuza sijui umalaya, weee hela ya mwanaume unaachaje kuipokea kwamfano!! Kwanza wanaozitoa hata hawalalamiki wasio na za kutoa sasa wanaongea nusu mbingu ishuke.
 
Na wanajua kujihami haoooo!! Mie kuna mmoja siku moja ofisini alikuwa anaponda hiyo isue nikamwambia, we una haki useme hivyo maana hata hizo za kuhonga zenyewe huna, acha animind!!

Hao wanao mind hawana cha kutoa wawqache wanaoweza kutoa watoe. Wao wang'ae tu sharubu.
 
Back
Top Bottom