vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 421
Ndio lol nitafurahije kama wew ndo yule mtuuu
Hadi siti unawekewa kwenye shuttle ?duh! Natangaza kustafu kwa hiyari
Ndio lol nitafurahije kama wew ndo yule mtuuu
Hahahaaaa uwiiiii Manga ML ukujege uone vituko vya baby wako jamani huko maca hurudigi tuu?
Hahahaaa mkuu kazi ngumu zinazeesha.
Mimi nikifel tu nakimbilia kuolewaaa.
Viol nampa kila kitu anachotaka hahahaaa anachagua tuh mwenyew nimpe kwa stail gani. Alafu pia hela zake tamu na ndo tare za mshahara nangoja tuu apokee anigawie pasu kwa pasuWe mwanamke wewe unataka kunivunjia ndoa jamani muache mume wangu ahiji kwa raha zake, maana ndoa yako na Viol iko icu mtoto wa watu full stress sahivi, anajutaje hana tu jinsi maana ashajuja, ila we noma sikuwezi hata robo
Ndoa zinazeesha pia
Hadi siti unawekewa kwenye shuttle ?duh! Natangaza kustafu kwa hiyari
Viol nampa kila kitu anachotaka hahahaaa anachagua tuh mwenyew nimpe kwa stail gani. Alafu pia hela zake tamu na ndo tare za mshahara nangoja tuu apokee anigawie pasu kwa pasu
Kwa nini una stafu? Acha ubahili umri bado unaruhusu[/QUOTE
Yaaan kwa jinsi.ilivyojieleza kuwa nilikuwa nakupa nusu ya bumu nimesikitika sana bring back my money plz
Sie tunaweza kuwa watamu ila sidhani km tunafikia utamu wa pesa zenu.
Kwa nini una stafu? Acha ubahili umri bado unaruhusu[/QUOTE
Yaaan kwa jinsi.ilivyojieleza kuwa nilikuwa nakupa nusu ya bumu nimesikitika sana bring back my money plz
We "mwanaume" huwa hadai pesa, hizo ulitoa tu kama sadaka
Wanasema utamu wa pipi n mate yako mwemyewe. Sawa na hili, wewe unaona pesa yangu tamu, inawezekana upo sahihii, na mimi nakuona wewe mtamu, kwa sababu kwa hizo pesa zangu utanifanyia chochote, popote, na kwa muda wowote bila longo longo.
We "mwanaume" huwa hadai pesa, hizo ulitoa tu kama sadaka
Pesa inadaiwa bibie
Unamdanganya nani? We si ulisema free p yule au umesahau??? Mpaka ukaniomba nifanye maombi maana una mkosi nao!!
vevenononombo hamna hela inayorudii cha zaidi tukubaliane tuu tuendelee na mahusiano
Kweli wewe kiboko haaaaaaa japo buku tu!
Hahahaaa mkuu kazi ngumu zinazeesha.
Mimi nikifel tu nakimbilia kuolewaaa.
Umesahau na wale wasichana wa bongo muvi.
Alafu mkuu una jina lefu kama treni za japan bhan yaa umenipa kazi sana kuliandika
Longolongo itoke wapi wakati napewa nitakacho bila longolongo pia.