Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,493
- 176,574
Ananilipaga mwisho wa mwezi hahahaaaa
Teh teh teh, alafu unamuhonga peterchoka! Kweli hela ya mwanaume kazi yake ni kuitoa tu.
Last edited by a moderator:
Ananilipaga mwisho wa mwezi hahahaaaa
Nguvu na pesa ni nuksi.
Teh teh teh, alafu unamuhonga peterchoka! Kweli hela ya mwanaume kazi yake ni kuitoa tu.
Isikusumbue kwa lolote hii topic,kwasababu hata chizi jalalani anakuonea huruma mtu uliye mzima wa akili,yeye kula jalalani anaona kama anafaiiidi,of course katika dunia hii hata ukiweka mkate na kinyesi,wapo watakao chagua kinyesi kama chaguo lao.Never will my daughter decide to get married as a way for a better life, so help me God . It should be like a cherry on a cake, something to complete her happiness but never determine her ssuccess inshaAllah
Hapana ata sijafika 25.
Ila nina akili kinoma
Utasubiri sana halafu ndoa yako ndo uianglie vizuri nashangaa unafuatilia sana yetuWe mwanamke wewe unataka kunivunjia ndoa jamani muache mume wangu ahiji kwa raha zake, maana ndoa yako na Viol iko icu mtoto wa watu full stress sahivi, anajutaje hana tu jinsi maana ashajuja, ila we noma sikuwezi hata robo
Sasa kwanini nisikuhonge wakati unanipa kila kitu nachotaka,Halafu ulivyo mtamu ndo balaa!Viol nampa kila kitu anachotaka hahahaaa anachagua tuh mwenyew nimpe kwa stail gani. Alafu pia hela zake tamu na ndo tare za mshahara nangoja tuu apokee anigawie pasu kwa pasu
Kutokana na uzi na comments zako, wee ni "digital dada poa", ndoa na maisha ya furaha ya ndoa kama unavyoyaota UTAYASIKIA ktk bomba!
Utasubiri sana halafu ndoa yako ndo uianglie vizuri nashangaa unafuatilia sana yetu
Sasa kwanini nisikuhonge wakati unanipa kila kitu nachotaka,Halafu ulivyo mtamu ndo balaa!
Apo sawa nakupa stail zote kwa nini usinihonge.
Lol ila pesa zako tamuu
Hahahaaaa jf ni for fun unaweza ukakuta sipo ivyo. But kivyovyote mkuu ni sawa
Never will my daughter decide to get married as a way for a better life, so help me God . It should be like a cherry on a cake, something to complete her happiness but never determine her ssuccess inshaAllah
Raha tupu
Utasubiri sana halafu ndoa yako ndo uianglie vizuri nashangaa unafuatilia sana yetu
Apo sawa nakupa stail zote kwa nini usinihonge.
Lol ila pesa zako tamuu
Hahahaaaa jf ni for fun unaweza ukakuta sipo ivyo. But kivyovyote mkuu ni sawa
Asante!
Yaonekana una busara kidogo, nilitegemea mafuriko ya matusi!
Hahahaaaa mimi situkanagi mkuu.
Kwani vipi ulikuwa umekusudia mimi kukutukana?
Unaoneka umekunywa viroba kama spika makinda..kwa taarifa yako sensus iliyofanywa mara ya mwisho Tanzania inaonyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume