Najivunia kuzaliwa wa kike

Najivunia kuzaliwa wa kike

Huko ni kujifariji tu ila cha moto mnakiona, na kati ya watu wanaoongoza kwa vidonda vya tumbo na prusure ni wanaume, mnakufa mnooo ndio maana wachache.

Hahahhahaaaa.
Kuna mwanaume aliwahi kunitoa luch nikaagiza mikuku na mipombe migumu ya pesa ndefu lol ghafla mtu anatokwa na mishipa ya kichwa machoo mekunduuu maninaaa nikasem kimoyo moyo alizqni ningeagizq kiepe yai na soda eeeee... tulivyotoka hapo ndukii aliyotoka daaah
 
Hahahaaaa ila izo ni mbinu zetu tuu kwenu. Ila usipokuwa na ka mvuto huyo mwanaume utamtolea wapi adi akuzoee ajue wew ni mcheshi au mkarimu.
Hahahaaa

Ucheshi haujifichi hata siku moja. Yani ukiwa kwenye kundi la watu utakuwa kimya sekunde kadhaa tu lakini baada ya hapo utaonekana tu.
 
Huu ni mtazamo finyu wa maisha. Kufanya kazi si mateso/shida, na kuolewa
si pepo/maisha ya raha.
Tusibishane sana, huo ndo mtazamo wangu cute b.

Umeongea ukweli tupu; 1000likes; ndo maana wanawake wengine mzigo kwa mtizamo wa mtoa mada
 
Last edited by a moderator:
Kweli yaani raha sana mamy tunalabua hela za wanaume tunavyotaka.
Umeona mapovu yanavyowadondoka eee.
Inauma ila hamna namnaaa

Hata haiumi, unakula tu, hela ya mwanaume hainaga kazi hivyo wasione taabu, watupe tu.
 
Nishakuja mwaya, naona tu unavyojishebedua kuwa wa kike, raha sanaaaa, yaani silali njaa, siishiwi, duuuuh raha sana.

Hahahaaaaaa unamchuna mtu mpaka ata siku ukimpa p anaishangaa tuu anakuwa kamaaminiii.
 
baada ya hapo,wanakimbilia kuokoka....

Kwani zari kaokoka? Na ana watoto wangapi vile? Na mwingine on the way, ila waapi!!!
Kuwazaa lazima tuwazae maana hamna jinsi Sir God ndio alishasema, ila sasa na nyie jasho lazima liwatoke, na linawatoka sio mchezo.
 
Eti men only love once!!!!! Tunapigwa au tunapigana? Nenda jukwaa la mmu uone wanaolia lia zaidi kule ni akina nani? Ila hela zenu tunazifaidiiiiiii, na raha juuu maana kwenye tukio sisi ndio tunafaidi zaidi.

Hao wote wanaolalama wanahonga dia wew waone tuu.
Sasa apo wanaumia lakini ndo hivyo hawawezi kuacha kuhonga
 
Ucheshi haujifichi hata siku moja. Yani ukiwa kwenye kundi la watu utakuwa kimya sekunde kadhaa tu lakini baada ya hapo utaonekana tu.

Sawa mkuu ila hela zenu tamu sana.
 
Hahahhahaaaa.
Kuna mwanaume aliwahi kunitoa luch nikaagiza mikuku na mipombe migumu ya pesa ndefu lol ghafla mtu anatokwa na mishipa ya kichwa machoo mekunduuu maninaaa nikasem kimoyo moyo alizqni ningeagizq kiepe yai na soda eeeee... tulivyotoka hapo ndukii aliyotoka daaah

Ndio dawa yao, mie kuna siku nilizungushwa karibia niimaliza dsm hizo gharama sio mchezo, kajichetua kuchukua rum ya gharama inayokaribia laki akijifariji mzigo anakula, kumbe nishapanga yangu ghafla napigiwa simu nahitajika home fastaaa, eti bado akazama mfukoni kinicash ili niwahi home,(akijipa moyo maybe kesho yake angekata kiu), hapo ndio niliamini kweli hela ya mwanaume haina kazi zaidi ya kutugharamikia.
 
Hahahaaaaaa unajua adi hurumaa duuu....
Kipindi nasoma chuo nilikuwa na bum 100% na huyo mkaka alikuwa na asilimia sijui 50 sasa bum likiingia tuu ananikatia hela ndefu adi namwonea huruma. Tukienda canteen ni yeye analipa nikimwambia naumwa yeye anani gharamia.... maskini anaenda adi kufanya kazi badala ya kusoma mweeee sema tulivyomaliza tukapotezana nammis kinoma sijui nitapata wapi namba yake
 
Hahahaaaaa!! Mtoto mbaya wewe, ili uendelee kumchuna?
Yaani mambo ya chuo usinikumbushe kabisaaaa, wanaturahisishia sana maisha hawa watu.
 
Wahonge tuu maana hamna namna.
Wakakoroge na zege wakawe vibega nani anajal cha muhimu pesa ijeee

Kabisaaaa, pesa muhimu na kileleni lazima anifikishe na hata nisipofika hamna shida maana pesa si ipo? Nitanunua hata dildo.
 
Sie tunaweza kuwa watamu ila sidhani km tunafikia utamu wa pesa zenu.

Hahahaaaa uwiiiii Manga ML ukujege uone vituko vya baby wako jamani huko maca hurudigi tuu?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa unajua adi hurumaa duuu....
Kipindi nasoma chuo nilikuwa na bum 100% na huyo mkaka alikuwa na asilimia sijui 50 sasa bum likiingia tuu ananikatia hela ndefu adi namwonea huruma. Tukienda canteen ni yeye analipa nikimwambia naumwa yeye anani gharamia.... maskini anaenda adi kufanya kazi badala ya kusoma mweeee sema tulivyomaliza tukapotezana nammis kinoma sijui nitapata wapi namba yake

Haaaaa kumbe ni wewe ?
 
Back
Top Bottom