Wanataka mkuu...hahahaa wanazuga tuu vijiweni ila wanawaoa tuu
Mwanamke pole,mimba wewe,kugegedwa wewe,kupigwa mingumi wewe,kulea watoto wewe,kuvumilia mipombe yetu wewe,kwenda mwezini wewe duh,kibuti wewe! Duh! Polen sana aisee
Hahahaaa mkuu maboya ndo wanaochakaaa. Mimi haitakaa itokee nakwambia.
Nachuna kama sina akili nzuri yaan adi mwanaume anaishiwa anarudi kunikopa hela ya kula lol mnatia huruma jaman
Usipotoshe wenzio, wewe utakuwa wa kishua na mtazamo wako wa kishua shua!! Waulize madada poa na wahudumu wa mabaa, wadada wasaidizi wa kazi majumbani na wengineo kama wanainjoi kufeli mtihani!
Hapa ni kama unataka wenzako wajiweke ktk dependant mode na utayari wa kuwa vikaragosi!!
Hahahaaa mkuu kazi ngumu zinazeesha.
Mimi nikifel tu nakimbilia kuolewaaa.
....so stop demanding equality ....
Ebu ona mateso yote hayo alafu tuonee pesa zenu huruma? Hakunagaa
najivunia sana kuwa wa kiume asee,,kuwa mwanaume raha sana
Haaaa kumbe umeona mate so?sasa tulia bibie women are second human being
Fresh tuu anaye honga yoyote ni kwa sababu kazidiwa ujanja lol.
Ila yenu ni hatareee mimi apa nasimamisha mjengo bado tuu kupaka rangi na anaye nihonga anaishi cotaz chezeiyaaaaaa
Unakimbilia kuolewa??
Karata ya wewe kuolewa haunayo wewe, wewe hauna maamuzi ya kusema sasa nikaolewe!!
Sawa. Ila huyo anayekuoa kafanikiwa kwa kufanya kazi ngumu kwelikweli!Hahahaaa mkuu kazi ngumu zinazeesha.
Mimi nikifel tu nakimbilia kuolewaaa.
Uwiiiii sio kwa cute b....
Mimi mtu asipo anza kwa kuni hong ata sikubali kudate nae sitaki tabu
Umri wako ni kati ya miaka 32 na 40 pole sana
wapo mkuu wengi sana.
Wanahonga kama hawana akili nzurii
Hapana ata sijafika 25.
Ila nina akili kinoma
wanaume .. wanatumwagia wanasepa kitu kinaota tumboni tu kinakutesa balaa halafu unazaa kwa uchungu unachanwa halafu ukija kitaa wanatuita makopo ... wapigwe jua nasema tena jua liwachome na hela zao tutazila tu bila huruma
Aah machozi yananilenga lenga yaani hamna huruma kiasi hicho? Yaani tunabeba zege mpaka ghorofa ya 9 afu malipo kiduchu bado tukija kwenu kutaka faraja ya dk 10 na nusu bado mnaona haitoshi mkuu eti lituchome lituchome