Najivunia kuzaliwa wa kike

Najivunia kuzaliwa wa kike

Unafikiri kuna waoaji siku hizi Cute b?

Wapo mkuu ata asipokuoa aishi na wew nyumbani kwake lakini atakujengea nyumba kila kitu utapewa yaan ila uwe unampa tuu p.
 
Raha tupu

Sisi ndo raha sana.
kwanza hatuendi anga za mbali, hatubebi mimba, hatuzai kwa uchungu, hatupindwi style za ajabu ajabu, tunadunda tu, kufika kileleni ni maamuzi yetu tu, tunatongoza tunayemtaka, wewe ndo unafata jina langu, nauwezo wa kukubadili ukoo, ukifa utazikwa kwetu na sio kwenu, etc
 
Hahahaaa umenichekesha mkuu...
Anga za mbali kwenda ni kawaida sawa na kuumwa mafua ...mbona nyie usiku mkilalaga mnajichafua?
Sisi tunabeba mimba na kuzaa na ndo kazi tuliyopewa na Mungu lakini nyie mmepewa kazi ya kutafuta pesa. Kwa nini mnaumia sasa?
Kupindwa stail za mahaba ni moja kati ya starehe zetu maana tusipopidwa dushe haligusi sehemu muafaka so ni raha tuuu tena kama mimi singoji kupindwa najipinda mwenyew. Kufika kileleni kwetu haina shida kiviiile.
Ata na sisi tunatongozwa na wengi alafu tunachagua mmoja wa kumkubali hahahaaaaaa
Sema kingine mkuu
 
Hapo tu ndio mnapotumaliza. ningekuwa nimerekodi gharama zote nilizotumia kwa wanawake hadi sasa kwn ndoa ningefanya maamuzi magumu ya kujikata dushe

Hahahaaaa!! Wee uikate hiyo basic need alafu sie tuishije? Hebu tulia uendelee kutoa huduma maana hamna namna nyingine.
 
Sisi ndo raha sana.
kwanza hatuendi anga za mbali, hatubebi mimba, hatuzai kwa uchungu, hatupindwi style za ajabu ajabu, tunadunda tu, kufika kileleni ni maamuzi yetu tu, tunatongoza tunayemtaka, wewe ndo unafata jina langu, nauwezo wa kukubadili ukoo, ukifa utazikwa kwetu na sio kwenu, etc

Huko ni kujifariji tu ila cha moto mnakiona, na kati ya watu wanaoongoza kwa vidonda vya tumbo na prusure ni wanaume, mnakufa mnooo ndio maana wachache.
 
Huko ni kujifariji tu ila cha moto mnakiona, na kati ya watu wanaoongoza kwa vidonda vya tumbo na prusure ni wanaume, mnakufa mnooo ndio maana wachache.

Unaoneka umekunywa viroba kama spika makinda..kwa taarifa yako sensus iliyofanywa mara ya mwisho Tanzania inaonyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume
 
Unaoneka umekunywa viroba kama spika makinda..kwa taarifa yako sensus iliyofanywa mara ya mwisho Tanzania inaonyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume

Duuuuh!! Mbona umepanik ndugu!!, wapi nimesema wanaume ni wengi? Hapo sasa nani katumia viroba?
 
sasa mbona mara nyingi huwa mnalalamika sana kuwa mko kwn disadvantage? muwe mnjiamini ili tuwasifie siyo kulalamika tu. sisi wanaume tunahangaika kuwahonga, kuwalipia hoteli, kuwanunulia vitz kama nansi, nk alafu kwenye 6×6 nyie mnaenjoy kwa >80%! I wonder if God is a woman kama alivyosema Shaggy kwn wimbo wa STRENGTH OF A WOMAN

Kulalamika ni kawaida mnooo kwa mwanamke, kwahiyo walaaa kusikuwazishe sn, na pale mnapotaka kutu undermine ndipo inapobidi tulalamike, nyie wenyewe mmeona kuwa wa kike raha ndio maana mnajibadili hadi jinsia ili tu muwe wa kike, wengine wanaolewa kabisaaaaa!!!
 
wanaume .. wanatumwagia wanasepa kitu kinaota tumboni tu kinakutesa balaa halafu unazaa kwa uchungu unachanwa halafu ukija kitaa wanatuita makopo ... wapigwe jua nasema tena jua liwachome na hela zao tutazila tu bila huruma

Tena sanaaaaaaa!!! Ni kula tu kwakwenda mbele.
 
Unaoneka umekunywa viroba kama spika makinda..kwa taarifa yako sensus iliyofanywa mara ya mwisho Tanzania inaonyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume

Wanawake ndo tupo wengi lakini unakuta mwanaume ana wanawake watano na anawahonga wote hahhaaa
 
Wengi wenu mnadhani huwa tunawapenda sana lkn ktk tafiti nyingi zinaonyesha men love once,zingine ni kupiga tu,namnapigwa kweli kweli maana hakuna namna mtaacha kupigwa

Eti men only love once!!!!! Tunapigwa au tunapigana? Nenda jukwaa la mmu uone wanaolia lia zaidi kule ni akina nani? Ila hela zenu tunazifaidiiiiiii, na raha juuu maana kwenye tukio sisi ndio tunafaidi zaidi.
 
cute b kwakweli ni raha sana kuwa mwanamke, raha mnoooo.

Kweli yaani raha sana mamy tunalabua hela za wanaume tunavyotaka.
Umeona mapovu yanavyowadondoka eee.
Inauma ila hamna namnaaa
 
Last edited by a moderator:
Pia ujue kuna wanaume wengi tu hapa mjini wanajengewa majumba na ku - drive ndinga kali kali wanazopewa na wanawake wenzio!

Kwa kutumia pesa walizohongwa na wanaume wenzao, hapo mwanaume katumika mara mbili.
 
Back
Top Bottom