Najitambulisha....

Najitambulisha....

Vodka

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
906
Reaction score
96
Mie sileweshi ila niko imara kwa hali yoyote ya baridi hata joto yaani nahitaji tu mtambue uwepo wangu.
 
Vodka unajiwahi tu bana lazima unalewesha if applied too much. Hata hivo kinywaji once in a while sio mbaya....

Karibu saan JF.
 
Karibu sana, Vodka kila kitu inatakiwa kwa kiasi
 
Mie sileweshi ila niko imara kwa hali yoyote ya baridi hata joto yaani nahitaji tu mtambue uwepo wangu.

Karibu sana, msubiri Sigma akuletee vodka upoze koo!
 
Asanteni sana,natangaza kuanza kazi rasmi.
 
logo.jpg
 
Back
Top Bottom