Najisaidia kinyesi kingi cha kijani

Najisaidia kinyesi kingi cha kijani

wakuu je huu niugonjwa au....nashindwa kuelewa
ni ya kijani kabisa

Ina Maana Wewe Ni Mwanachama wa Nguvu Wa Gongo Wazi ( Yanga ), Umebakiza K.U.T.U.N.Y.E.A tu Rangi Mbili Zilizobaki Nazo Ni Kinyesi Cha Njano na Cheusi!
 
hiyo heading duh..inakupeleka direct kwenye picha ya tatizo
 
JF bana badala ya kumsaidia mwenzenu nyie mnamponda hatari utakuwa unakula sana mboga za majani kama huli mboga za majani basi hilo ni tatizo jingine mwone Doctor
 
mkuu utakuwa sio binadamu utakuwa panzi dume
 
Ni utabiri tosha wa ushindi wa CCM 2015
 
Jamani acheni utani,mwenzenu anatatizo la green fever,nyongo ipo ubnormal inazalisha HCL si ya kawaida,namshauri uende kwa doctor ukichelewa italeta madhara katika ini yako na pia katika mfumo wa mmeng'enyo.PLEASE TAKE ACTION.
 
Back
Top Bottom