Najisaidia kinyesi kingi cha kijani

Najisaidia kinyesi kingi cha kijani

Ndg yetu si uende hospitali ukapimwe maana hayo ......ya kijani hatuwezi kuelewa bila vipimo.pole sana
 
Last edited by a moderator:
Utakuwa na kinyeo cha kijani kwa hiyo ukinya kinyesi kinachubua rangi ya kijani
 
hatari sana hiyo, mavi ya kijani si mchezo hata dawa za mitishamba zitadunda hapo.
 
Mkuu ni kawaida sana hiyo! utakuwa upo kwenye hatua ya ukuaji kama kipepeo. Yai- buu -FUNZA-Kipepeo. So wewe upo kwenye stage ya funza make kawaida yao hunya mavi ya kijani!
Muulize funzadume
 
Last edited by a moderator:
hiyo hatari unawawashia watu taa ya kijani
 
insane he mume wangu, niliona haya. Maana uliniambia mke mdogo unayetaka kumuoa Ana hili tatizo, loooool

Nakupenda sana cacico wangu. Wallah ntaenda kusomea sheria kwa ajili yako.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom