Najisaidia kinyesi kingi cha kijani

Najisaidia kinyesi kingi cha kijani

Ivi watu wengne mnakosaga cha kuandika...pointless
 
Tumia lugha nyepesi kidogo. Utaeleweka tu. Kwani ukiandika "haja kubwa" kuna ubaya gani?
 
Unamaanisha kijani kama hii hapa chini??

CCM.gif

hii kijani imekoza sana yenyewe kijani kama imepauka
 
inawezekana unaugonjwa wa ini wahi hosptal
 
Back
Top Bottom