Najisaidia kinyesi kingi cha kijani

Najisaidia kinyesi kingi cha kijani

hilo tatizo linatokana na kushabikia cham cha mafisadi wa Escrow tena wasio na huruma na NJI hii, kuwa mzalendo epukana na virusi hao wa lumumba then kinyesi chako kitarudi katika hali ya kawaida
 
wakuu je huu niugonjwa au....nashindwa kuelewa
ni ya kijani kabisa

Haaa haaa haaaahhh....

obama-laughing-2a.jpg


Si bure unamatatizo makubwa..haaahh haaahh haaahhh..
 
Unamaanisha kijani kama hii hapa chini??

CCM.gif
 
Umenyweshwa maji ya bendera ya CCM. Huo ugonjwa ni zaidi ya EBOLA.
 
Back
Top Bottom