- Thread starter
- #261
Siwajui,ingia Instagram tafuta madalali wa nyumba na viwanja utawapata tu mdogo wanguMkuu ningeomba kama utakuwa unafahamiana na wamiliki,
Niunganishe nao mkuu...nakuja PM
Siwajui,ingia Instagram tafuta madalali wa nyumba na viwanja utawapata tu mdogo wanguMkuu ningeomba kama utakuwa unafahamiana na wamiliki,
Niunganishe nao mkuu...nakuja PM
sawa mkuuSiwajui,ingia Instagram tafuta madalali wa nyumba na viwanja utawapata tu mdogo wangu
Imefanyaje?
Problem ni kutoa hio mindset kwanza kila mwanaume yupo kukuchuna tu
sio kweli,
ukiwa free in your mind utaanza kuona wanaume kama wanaume walivyo sio kwa label ya wachunaji...
kuwa careful though,lol
kuna wanaume kweli wachunaji...
NaonaWe huioni inavyo tetemeka Kama earthquake
Naona
Me nachuna tuVipi na wewe unachunika???
Mkuu na wewe umeshawai kuchunwa??
Mnhh mkuu
Me nachuna tu
Naeza zote mpk ya kukuMimi nazungumzia ngozi lakini unaweza kuchuna ngozi
Mama Ponera, Mimi nilishapoteza contact zake Ila natumai ukipita pale chuoni huwezi kosa mawasiliano yakeAnaitwa nani niulizie wadau,manake nami nimepita ardhi University
we si uksema mwaka mzma umepita
Ohooo nampata,wakati naingia chuo nadhani alikuwa anamalizia,ntampata.Thanks mdau mwana ARU mwenzangu.Mama Ponera, Mimi nilishapoteza contact zake Ila natumai ukipita pale chuoni huwezi kosa mawasiliano yake
Sitaki kuombwa hela na jitu lenye pumbu zake zinaning'inia period,am allergic to marioosHalafu atakwambia hapendi mwanaume muongo ilihali yeye ndio muongo namba moja
Sijajibiwa bro..Labda niende pmVipi ulijibiwa hili swali?
Pm mi nachat na ww tu..Sitishi najua mabaharia hamchelewi
Kwema bro..Mtoa mada anakutafutaTehteh... fiti bro.