Hhahaha!!! Nguli banaaTetetete Boss kubwa, majukumu mzee siunajua nimehamia jiji lingine? Nimebanwa kinoma. Nitakuvutia waya tuongee zaidi nikushauri naona pepo wa majaribu anakusumbua sitaki uwowe used. Unajua kuna gari used japan,hogkhon then na ngara TZ,ukinunua hio gari jiandae kuwa fundi mechanics bila certificate,nakusababishia watu foleni gari yako itakuwa inakwama na kuzima kwenye mataa
Thank wote kwa opinions zenu ila its not that napenda ngono bali nafurahi n I always practuce safe sex n am not shy wen it comes to (me+u+bed) lol lol, the thing is hivi kuna watu wanaishi kama mimi na wanaona wako sawa au? kama nlivosema sjielewei kama natafta ndoa or im livin my life first b4 becomin someone' wife? i just wish for raisin a family someday but kama mdau wa kwanza alivosema maybe ndo changes zenyewe.
Tetetete Boss kubwa, majukumu mzee siunajua nimehamia jiji lingine? Nimebanwa kinoma. Nitakuvutia waya tuongee zaidi nikushauri naona pepo wa majaribu anakusumbua sitaki uwowe used. Unajua kuna gari used japan,hogkhon then na ngara TZ,ukinunua hio gari jiandae kuwa fundi mechanics bila certificate,nakusababishia watu foleni gari yako itakuwa inakwama na kuzima kwenye mataa
Uporoto,Nemo tayari ana prince wake wa daima na milele,au nakosea Nemo? usinishushue mbele ya Uporoto tafadhali,just say yes ninaye!
Thank wote kwa opinions zenu ila its not that napenda ngono bali nafurahi n I always practuce safe sex n am not shy wen it comes to (me+u+bed) lol lol, the thing is hivi kuna watu wanaishi kama mimi na wanaona wako sawa au? kama nlivosema sjielewei kama natafta ndoa or im livin my life first b4 becomin someone' wife? i just wish for raisin a family someday but kama mdau wa kwanza alivosema maybe ndo changes zenyewe.
Mkuu hizi lugha nyingine dah :biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::dance::dance::dance::dance::dance:Aaagh! pole kwa ugonjwa wa kupenda sana ngono (inavyoonekana), utabadilika tu muda ukifika, ila kwa wakati huu jitahidi uwe unawakumbusha jamaa wanaokupiga mpingo wawe wanavaa kondomu manake bongo si salama tena, inawekana kabla hujabadilika mdudu kashachumpa halafu hata mabadiliko hayatakuwa na umuhimu tena!
unakula raha sana, but as long as u prayed God is so faithfull and he will change ur life style, ila jitaidi pia kubadili maisha ikiwa bado ni mapema maana siku ukizinduka usingizini itakuwa too late tho wanasema its never too late.