Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 4,726
- 5,442
Jamani naiulizia lotion ya Jambo ambayo ilikuwa maarufu miaka ya 2000. Niliitumia na niliikubali kwa kiasi kikubwa. Lakini bahati mbaya sijaitia machoni siku nyingi. Je, bado ipo na inapatikana wapi?