Naiulizia lotion ya Jambo ambayo ilikuwa maarufu miaka ya 2000

Tony Laurent

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
4,712
5,370
Jamani naiulizia lotion ya Jambo ambayo ilikuwa maarufu miaka ya 2000. Niliitumia na niliikubali kwa kiasi kikubwa. Lakini bahati mbaya sijaitia machoni siku nyingi. Je, bado ipo na inapatikana wapi?
 
Jamani naiulizia lotion ya Jambo ambayo ilikuwa maarufu miaka ya 2000. Niliitumia na niliikubali kwa kiasi kikubwa. Lakini bahati mbaya sijaitia machoni siku nyingi. Je, bado ipo na inapatikana wapi?

Sijui kwanini compuni ilishindwa kumaintain strong hold
 
Kampuni zetu huwa hazivuki miaka 50 ukifananisha na wenzetu ambapo kampuni inazalisha bidhaa hata kama muanzilishi kafa ila wanaendeleza wengine
 
Kampuni zetu huwa hazivuki miaka 50 ukifananisha na wenzetu ambapo kampuni inazalisha bidhaa hata kama muanzilishi kafa ila wanaendeleza wengine
Screenshot_20210610-231312.png

Actually bado ipo mbona naitumia mm
 
Jambo zilikuwa kwenye kopo kama la blue hivi ,hizo za kijani sijawai kuziona.

Sweat heart lotion nazo za kitambo.

Mafuta ya Rays!
We jamaa wewe jambo ilikua bluu toka lini? Una uhakika???

Tena walichobadilisha ni yule jambo mdogo tu ndo kawa binti jambo ila kubwa na katikati pia wapi😂😂

Natumia toka zamani sana 2000 kurudi nyuma ni za kijani

Sweet heart kweli aisee sijaiona muda. Mshua wangu alinipiga fiksi toka enzi zile kuwa sweetheart ni neno baya mpaka leo hazijanivutiaga😂😂
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom