Naitwa Lusile!!!

Naitwa Lusile!!!

Hahaha...utamfanya akimbie faster, hivi hajui kuwa jina lake limeandikwa kwa chaki kwenye server za JF

Na nampa maagizo ya kuni PM maelezo yake binafsi ili kukamilisha usajili wake uwe wa kudumu
Lusile nitumie jina lako kamili,namba ya simu,bia uipendayo,lodge uipendayo na sababu kumi za msingi kwanini unajiunga na JF....una weekend hii kukamilisha zoezi hili vinginevyo j3 unaondolewa usajili wako wa muda...kopi kwa watu8 Baba V na stevoh....
 
Last edited by a moderator:
????????????

Nimegonga Ikulu..........!!!!!!!
Wer......Weraaaaaaaaaaaaaaaaa....................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ila Siri yetu shosti.
Mana yake Mijanaume ya humu ilivokutolea macho, utadhani umekatiza mbele yao bila upande wa nguo.
IGWEEEEEEEEEEEEEEEE......................
 
Nimegonga Ikulu..........!!!!!!!
Wer......Weraaaaaaaaaaaaaaaaa....................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ila Siri yetu shosti.
Mana yake Mijanaume ya humu ilivokutolea macho, utadhani umekatiza mbele yao bila upande wa nguo.
IGWEEEEEEEEEEEEEEEE......................


Hata sijakusoma kabisaa
 
Nafsi yako inajua ukweli. Weekend inasemaje? Juma mosi njema.
Mweh, Basi kama imekuwa nongwa siji!
Yaani humu watu kujifanya wabashiri sijui mtakua lini.
Mie naijua JF kitambo tu na nimekuwa nikisoma sana mada za humu kama guest, lakini mwaka huu nikapanga nijiunge rasmi na leo ndo nimejiunga, lakini mnataka kunitoboa vidole vya macho.

Basi sitakuja viroho viwatue.
 
Hata weye huniamini?

Humu kuna genius brains
Lusile na huo mwandiko wako walishausoma!


Na ukiendelea kubisha haifiki saa 8 mchana huu nakuweka hadharani!

Endelea kujifurahisha kwanza!
 
Last edited by a moderator:
Humu kuna genius brains
Lusile na huo mwandiko wako walishausoma!


Na ukiendelea kubisha haifiki saa 8 mchana huu nakuweka hadharani!

Endelea kujifurahisha kwanza!
Welcome kama una uhakika na unacho-kinena
 
hizi ni picha tu hata kwenye kalenda zipo...jinalo ni la Kibantu hivyo ni ngumu kujua...haya jiandae kwa ukaguzi kama wewe ni kimobitel basi babu Asprin atakuja ku du ze nidful, ila kama wewe Mungu kakujaalia rehema zake basi kazi hiyo nitaifanya mwenyewe kwa hisani ya ODM...
Ewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!! Kijana sasa kumbe umeshakuwa. Mwambie atende kama ulivyonena.......:mwaaah:
 
We njoo tu, walikuja wengi tena kwa.mikwara zaidi yako leo wamelowaaaa, kwanza subiri ukaguliwe kidijitali na babu ODM Asprin
Ewaaaaaaaaaaaaaa! Hebu mwambie Lusile a caome this way tafazali.....

Ila ushamuuliza ID yake nyingine ni ipi lakini? Stukaaaaaaa! Stuka Baba V

CC: watu8 , kwa angalizo na tahadhari.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom