Hapana sisemi amina..Mimi sitaki uzeeke vibaya kama huyo babu yako ODM..Wewe hufananii kabisa hiyo kazi inamfaa Nicas Mtei .Rudisha mikoba yake aliyokurithisha.
Ngija mie nipite, Heri ya mwaka mpya wajamani.....
Haya wote mliochangia huu uzi muanze kutuma michango yenu ya WHITE PARTY haraka iwezekanavyo, kama uko mkoa basi tuma hata buku kumi kuchangia wenzenu wa DAR maana wengi ni TIA MAJI TIA MAJI
Mi nawashangaa hawa jamaa zangu