![]()
Nimekuja kuwashika wana Chit Chat, Hebu pigeni makofi tafadhali
Karibu, unaweza ukashikwa pia
Lazima niwabambe wana chit chat, maana niko gado
![]()
Nimekuja kuwashika wana Chit Chat, Hebu pigeni makofi tafadhali
tedo mambo vipi
tutabambana...kwanza we ni ME au KE?
Akhu, nani anishike? ina hu!