stevoh
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 2,921
- 1,107
Maana nashangaa, Mgeni gani umechangamka hivo Khaaaaaa...........
Mi nina wasi wasi na ishu moja hivi, ila ngoja kwanza niichunguze.
Ila jana ulufika salama home?
hajawah kutokea mgeni kama huyu!! Anashambulia si mchezoo.