Akhu, nani anishike? ina hu!
Lazima niwabambe wana chit chat, maana niko gado
Machale yameni-play hii aina ya kuandika inasadifu wewe ni memba mzoefu...
Njoo kwenye white Party utapata dhawadi yako
Tupo pamoja dada, nimekuja kuwashika vidume wa humu CC
Huna sasa hivi?
Mie sio member mzoefu bali ni guest mzoefu, nimekuwa nikifuatilia sana hili jukwaa, lakini kutokana na majukumu nikaona nivute subira na sasa mwaka huu wa 2013 niko mjengoni. Au hampendi wageni?
Hujatulia weye
Uko single au occupied...
umeona eenh...naona rada hazisomi kabisa
Tupo pamoja dada, nimekuja kuwashika vidume wa humu CC
Bi dada nimo kwenye white Party, nimeshwasilisha mchango wangu tayari