Naitwa Lusile!!!

Naitwa Lusile!!!

tedo mambo vipi
Masela wa kitaa mambo zao vipi?
Na kule mjengoni napo mambo vipi?
Na Mabinti wa chit chat mambo vipiiiii?

Haya nipeni yanayojiri hapa kabla sijaharibu, maana naamini hili jukwaa VIGEZO NA MASHARTI vinazingatiwa!

Mwageni ma policy ya chit chat kabla sijachafua hali ya hewa humu

Usipochafuka utajifunzaje!???
 
Last edited by a moderator:
tedo mambo vipi
Masela wa kitaa mambo zao vipi?
Na kule mjengoni napo mambo vipi?
Na Mabinti wa chit chat mambo vipiiiii?

Haya nipeni yanayojiri hapa kabla sijaharibu, maana naamini hili jukwaa VIGEZO NA MASHARTI vinazingatiwa!

Mwageni ma policy ya chit chat kabla sijachafua hali ya hewa humu

Mbona una mkwara khaaa..
 
Last edited by a moderator:
Machale yameni-play hii aina ya kuandika inasadifu wewe ni memba mzoefu...


Mie sio member mzoefu bali ni guest mzoefu, nimekuwa nikifuatilia sana hili jukwaa, lakini kutokana na majukumu nikaona nivute subira na sasa mwaka huu wa 2013 niko mjengoni. Au hampendi wageni?
 
Mie ni KE Jina linahusika lakini hata picha huoni?

hizi ni picha tu hata kwenye kalenda zipo...jinalo ni la Kibantu hivyo ni ngumu kujua...haya jiandae kwa ukaguzi kama wewe ni kimobitel basi babu Asprin atakuja ku du ze nidful, ila kama wewe Mungu kakujaalia rehema zake basi kazi hiyo nitaifanya mwenyewe kwa hisani ya ODM...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom