Uchungu huo kwio. Ulichangia TSH ngap? Punguza ujuaji mwingi kwenye Mali za wanaume
Kusema ukweli bila kufuata sera na kuzisimamia, tutasababisha umasikini kutamalaki Kila wakatiView attachment 2841395
Leo nipo safarini kuelekea Dar es salaam kupitia route ya Msata-Bagamoyo. Nimepita hotel ya kitalii ya KIROMO VIEW RESORT ambayo ilizinduliwa na Kikwete mwaka 2009.
Hivi sasa yamebaki maghofu chakavu tu. Sifahamu ni sababu zipi zilimfanya muwekezaji ashindwe kuendeleza uwekezaji ule, ila naamini kabisa sera za uwekezaji ni changamoto Tanzania.
Uwekezaji Tanzania unategemea ni nani yupo madarakani. Hatuongozwi na sera wala sheria bali mihemko ya atakaeingia madarakani.
NB: KIROMO inawakilisha biashara nyingi zilizokufa kutokana na kukosekana kwa sera thabiti za uwekezaji.
Mungu iponye Tanzania.
Basi moderators walipaswa kuweka picha za hotel before and after becoming ramshackle.Yaah hiyo picha ni ya muda. Imewekwa na moderator lakini sio mimi.
wageni wangapi wenye nguvu ya mfuko wanaofika hapo kijijini? aliangalia uwezo wa wanaomzunguka au alitegemea watu watoke dar na bagamoyo waje kulala msataView attachment 2841395
Leo nipo safarini kuelekea Dar es salaam kupitia route ya Msata-Bagamoyo. Nimepita hotel ya kitalii ya KIROMO VIEW RESORT ambayo ilizinduliwa na Kikwete mwaka 2009.
Hivi sasa yamebaki maghofu chakavu tu. Sifahamu ni sababu zipi zilimfanya muwekezaji ashindwe kuendeleza uwekezaji ule, ila naamini kabisa sera za uwekezaji ni changamoto Tanzania.
Uwekezaji Tanzania unategemea ni nani yupo madarakani. Hatuongozwi na sera wala sheria bali mihemko ya atakaeingia madarakani.
NB: KIROMO inawakilisha biashara nyingi zilizokufa kutokana na kukosekana kwa sera thabiti za uwekezaji.
Mungu iponye Tanzania.
Hiyo hoteli kwa picha moja tu inaonekana imekaa ki local local na iko chini ya viwango kabisa.Haramu kibaya,
Niliwahi kulala hapo Hoteli aikuwa na standard, huduma ziilikua mbovu mbaya zaidi Location aliojenga aikuwa sahihi
Ilipaswa kuwa Gest house na sio hotel
Hiyo hoteli kwa picha moja tu inaonekana imekaa ki local local na iko chini ya viwango kabisa.
Uchungu wa nini ulimsaidia kujenga? Acha unafki kafanye mambo yako acha kufuatilia mambo ya watuView attachment 2841395
Leo nipo safarini kuelekea Dar es salaam kupitia route ya Msata-Bagamoyo. Nimepita hotel ya kitalii ya KIROMO VIEW RESORT ambayo ilizinduliwa na Kikwete mwaka 2009.
Hivi sasa yamebaki maghofu chakavu tu. Sifahamu ni sababu zipi zilimfanya muwekezaji ashindwe kuendeleza uwekezaji ule, ila naamini kabisa sera za uwekezaji ni changamoto Tanzania.
Uwekezaji Tanzania unategemea ni nani yupo madarakani. Hatuongozwi na sera wala sheria bali mihemko ya atakaeingia madarakani.
NB: KIROMO inawakilisha biashara nyingi zilizokufa kutokana na kukosekana kwa sera thabiti za uwekezaji.
Mungu iponye Tanzania.
Na kumbuka hiyo picha ni ya zamani sana. The hotel is seriously a moribund one.Hiyo hoteli kwa picha moja tu inaonekana imekaa ki local local na iko chini ya viwango kabisa.
We kafanye mambo yako acha kujifanya mjuaji wakati hujui loloteHuyu mmiliki naye kashindwa kabisa kujiongeza pale angewapa zoom zoom college ama Eagle College angeweza kupata chochote. Ebu tusubiri kutoka kwa mwenezi wa CCM.
[emoji23][emoji23][emoji23] eti mwenezi wa CCMHuyu mmiliki naye kashindwa kabisa kujiongeza pale angewapa zoom zoom college ama Eagle College angeweza kupata chochote. Ebu tusubiri kutoka kwa mwenezi wa CCM.
Kaangalie Tena ipo restaurant matata hapo PUMA. Nasimama mara kadhaa hapo kupata kahawa nikiwa Safarini Dar-Dodoma huku Discovery ikinguruma njeBongo watu uwekeza kwa upepo na sio utafiti wa kina
Pale kabla ujafika Chalinze Nako Kuna kalodge ka makuti kilijengwa Enzi za Da gama kishajifia
Biashara zinazoongoza kufa Tanzania ni Hoteli, Bar, Kumbi
Location mbovu, Management mazoea, Poor standard
Uchungu wa nini ulimsaidia kujenga? Acha unafki kafanye mambo acha kufuatilia mambo ya watu
SahihiAzigeuze nyumba za kuoanga watu wajipangie hapo
Hoteli nyingi bagamoyo na Morogoro na Arusha zilikuwa mali ya vigogo serikalini na ndugu zao na proxies wao walikuwa Wana lobby semina na makongamano ya wafanyakazi wa Serikali yafanyike hoteli zaoNimelala hapo 2009 weekend palikua na live band. Alitegemea zaidi corporate clients (semina na makongamano uchwara). Huduma pia zilikua mbovu. Wewe unamuajiri mtu WA jikon na wahudum mkwere?
Haha sawa mwekezajiKaangalie Tena ipo restaurant matata hapo PUMA
Sasa hivi waheshimiwa wanawekeza kwenye mabasi tuSahihi
Hoteli nyingi bagamoyo na Morogoro na Arusha zilikuwa mali ya vigogo serikalini na ndugu zao na proxies wao walikuwa lobby semina na makongamano ya wafanyakazi wa Serikali yafanyike hoteli zao
Sasa hivi wengi hawako kwenye maamuzi Tena ndio hizo zinakufa kuanzia bagamoyo, Morogoro na Arusha sababu tegemeo kuu lilikuwa semina makongamano ya wafanyakazi wa Serikali,bunge na Mahakama wakichaji pesa ndefu
Hawakujenga soko la watu wote waliona hao tu wanatosha
Unachosema ni kweli. Kuna moja iko bagamoyo kipindi cha jk ilikuwa inapata sana tenda za nssf seminaSahihi
Hoteli nyingi bagamoyo na Morogoro na Arusha zilikuwa mali ya vigogo serikalini na ndugu zao na proxies wao walikuwa lobby semina na makongamano ya wafanyakazi wa Serikali yafanyike hoteli zao
Sasa hivi wengi hawako kwenye maamuzi Tena ndio hizo zinakufa kuanzia bagamoyo, Morogoro na Arusha sababu tegemeo kuu lilikuwa semina makongamano ya wafanyakazi wa Serikali,bunge na Mahakama wakichaji pesa ndefu
Hawakujenga soko la watu wote waliona hao tu wanatosha
Niliwahi kupiga mashine usiku kucha kwenye moja ya cottage hapo. ndan palikua pazuri sanaUnachosema ni kweli. Kuna moja iko bagamoyo kipindi cha jk ilikuwa inapata sana tenda za nssf semina
Inatakiwa kuwe na mashindano ya hoteli iliyokongoroka kuliko zote Tanzania.Na kumbuka hiyo picha ni ya zamani sana. The hotel is seriously a moribund one.