Naitazama Hoteli ya Kiromo View Resort kwa Uchungu

Kalamu Nzito

JF-Expert Member
Aug 13, 2015
318
662
kiromo-view-resort-hotel.jpg


Leo nipo safarini kuelekea Dar es salaam kupitia route ya Msata-Bagamoyo. Nimepita hotel ya kitalii ya KIROMO VIEW RESORT ambayo ilizinduliwa na Kikwete mwaka 2009.

Hivi sasa yamebaki maghofu chakavu tu. Sifahamu ni sababu zipi zilimfanya muwekezaji ashindwe kuendeleza uwekezaji ule, ila naamini kabisa sera za uwekezaji ni changamoto Tanzania.

Uwekezaji Tanzania unategemea ni nani yupo madarakani. Hatuongozwi na sera wala sheria bali mihemko ya atakaeingia madarakani.

NB: KIROMO inawakilisha biashara nyingi zilizokufa kutokana na kukosekana kwa sera thabiti za uwekezaji.

Mungu iponye Tanzania.
 
Kwenye maisha ya kiroho ni fundisho pia
Juzi ulikuwa mtoto husafiri mwenyewe hadi usindikizwe (Mtoto)
Leo wasafiri mwenyewee (Ushakuwa Kijana wajimudu)
Kesho utasindikizwa (mzee / no nguvu ya kutosha) etc

Lesson: Maishani usimamapo usidharau yeyote, fanya yako kwa hekima/maarifa, hakuna aijuaye kesho yake
 
Hapo utakuta ni hivi:

Anadaiwa na banki mikopo mikubwa zaidi ya uwezo wake kulipa

Anadaiwa na TRA tax liability kubwa

Biashara za Hoteli zote zilikufa baada ya Magufuli kuingia

Hakuna mnunuzi,benki zidhani kama inaweza uza ikarudisha pesa yake,etc

Huenda mmilikia alikufa na korona waliobaki wameshindwa iendesha hata mnunuzi hawana

Au kuna ugomvi wa mambo ya mirathi,hakuna anaeitaka hata kununua,etc

Hizo zote ni speculations tu
 
Haramu kibaya,

Niliwahi kulala hapo Hoteli aikuwa na standard, huduma ziilikua mbovu mbaya zaidi Location aliojenga aikuwa sahihi

Ilipaswa kuwa Gest house na sio hotel
1. Nimelala hapo 2009 na mke wa mtu nilimtoa mkoani (Singida). Sasa nikaona huko tutakua salama maana Mjini wambea wengi.

2. Basi weekend palikua na live band Pori (ilikua haina jina). Tumekula bia, tukacheza myziki Hadi saa 5 usiku, tukarudi kwenye moja ya hivyo vijumba, nikaanza kumpeleka Moto Hadi saa 9 alfajiri ndo nakojoa bao la kwanza, tukaenda kuoga nimekuja kuanza kutafuta bao la pili saa 11 mpaka saa 2 tukalala tumekuja kustuka saa 8 mchana, simu toka mapokezi zinaita mfululizo kuuliza wanadai waligonga mlango Kwa ajili ya usafi lakini hatukujibu.

3. Mmiliki, Alitegemea zaidi corporate clients (semina na makongamano uchwara). Huduma pia zilikua mbovu. Wewe unamuajiri mtu wa jikon -kuchoma nyama na wahudumu wakwere?
 
Kwanza hiyo picha uliyoweka ni ya zamani sana kipindi hotel bado iko vizuri kimuonekano maana kwa sasa imechakaa hasa. Kama sikosei mwaka 2010 na 2011 ndiyo hotel iliyokuwa mwenyeji wa mabinti waliokuwa wakishindana kwenye shindano la Miss Utalii ngazi ya taifa.
 
Ilikua kituo Cha uzinzi Cha watu wa makampuni na Taasisi zilizopo Dar es salaam
ndoa za watu zimevunjiwa pale

Haha hiyo ya Mkwere hhaaa
Nimelala hapo 2009 weekend palikua na live band. Alitegemea zaidi corporate clients (semina na makongamano uchwara). Huduma pia zilikua mbovu. Wewe unamuajiri mtu WA jikon na wahudum mkwere?
 
Kwanza hiyo picha uliyoweka ni ya zamani sana kipindi hotel bado iko vizuri kimuonekano maana kwa sasa imechakaa hasa. Kama sikosei mwaka 2010 na 2011 ndiyo hotel iliyokuwa mwenyeji wa mabinti waliokuwa wakishindana kwenye shindano la Miss Utalii ngazi ya taifa.

Yaah hiyo picha ni ya muda. Imewekwa na moderator lakini sio mimi.
 
Back
Top Bottom