simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,409
- 9,183
Majina mengine utata leo fekon kesho fekoff 125 cc.
kuna bepari moja hivi!
lilinipa masharti ya nichague JF u yeye!
sasa si nikajifanya naweza kuwatosa ehehhehehheh mbona nimechemsha!
naona ndo sababu na adabu zimekuwa nyingi!
niitie King'asti anilandue kidogo bana!najihisi sio mimi kabisaaa
ila bora umekuja akili zinaweza nikaa sawa kidogo!
jamani huu sio uwanja wenu wa kutambuana na kufahamiana ni uwanja wa kutafuta kitu ati! mbona mnakuwa hivyo bestito nifahyieni mpango nahitaji kweli pikipiki siko chitchat hapa jamani waungwana?
yapo mengine ya chini chini bana!
yapo mengine ya chini chini bana!
ehehehheh we sijui uko wapi!
chukulia simpo tu, kama kuna mtu ana pikipiki nae atajitokeza. Hizi salam haziwezi kumziwia.jamani huu sio uwanja wenu wa kutambuana na kufahamiana ni uwanja wa kutafuta kitu ati! mbona mnakuwa hivyo bestito nifahyieni mpango nahitaji kweli pikipiki siko chitchat hapa jamani waungwana?
chukulia simpo tu, kama kuna mtu ana pikipiki nae atajitokeza. Hizi salam haziwezi kumziwia.
He he he, hivyo ni vijibepaLE
(hiyo LE ni makusudi kuonesha vinajifunza)
we try to keep your thread on the first page ili isomeke na watu wengi zaidi.oky acha nichukulie simpo kwani naona slamu zimezidi hitaji lake hapa haya mwaya
we try to keep your thread on the first page ili isomeke na watu wengi zaidi.
ladyfurahia mimi nina makabila mengi sana, nakumbuka nilipokuwa mtoto kila mwanaume nilikuwa natambulishwa kuwa huyu ndio baba yako, hadi wahindi
kuna bepari moja hivi!
lilinipa masharti ya nichague JF u yeye!
sasa si nikajifanya naweza kuwatosa ehehhehehheh mbona nimechemsha!
naona ndo sababu na adabu zimekuwa nyingi!
niitie King'asti anilandue kidogo bana!najihisi sio mimi kabisaaa
ila bora umekuja akili zinaweza nikaa sawa kidogo!
Alikununulia gauni kama yale tuliyohongwa na Boflo? Manake na wewe dili zako fafa ile mbaya. Mtu hajawekeza hela, change tu unaanza kutetemeka!
ehehehhehhhe mi siku hizi unafikir nakuelewa!
ahahahahhahahhaa wee kitu kilikuwa na plate number zenye jina kabisa!kwanza aliniambia eti ana akaunti uswisi sa si ndo nikaingia boya!ehehehheeh kilichonikuta!uuuuwih bora ningebaki na lile gari sare sare tulilohongwa na Boflo!
ila boflo mwenyewe siku hizi hata simwelewi!ah!
we acha tu!