Naitaji pikipiki aina ya fekon

JF kuna bepari moja tu la kihaya

cc Bishanga

kuna bepari moja hivi!
lilinipa masharti ya nichague JF u yeye!
sasa si nikajifanya naweza kuwatosa ehehhehehheh mbona nimechemsha!
naona ndo sababu na adabu zimekuwa nyingi!
niitie King'asti anilandue kidogo bana!najihisi sio mimi kabisaaa
ila bora umekuja akili zinaweza nikaa sawa kidogo!
 
Last edited by a moderator:
Best inabidi utulipe, ujue hapa tunafanya advataizing ya hii sred?
KAdiri wanavyoiona wengi ndio chances za wewe kupata saplaya inakuwa kubwa.

Ngoja nim cc KINGA'sti, naye huwa anauza spea parts.

jamani huu sio uwanja wenu wa kutambuana na kufahamiana ni uwanja wa kutafuta kitu ati! mbona mnakuwa hivyo bestito nifahyieni mpango nahitaji kweli pikipiki siko chitchat hapa jamani waungwana?
 
Last edited by a moderator:
jamani huu sio uwanja wenu wa kutambuana na kufahamiana ni uwanja wa kutafuta kitu ati! mbona mnakuwa hivyo bestito nifahyieni mpango nahitaji kweli pikipiki siko chitchat hapa jamani waungwana?
chukulia simpo tu, kama kuna mtu ana pikipiki nae atajitokeza. Hizi salam haziwezi kumziwia.
 
snowhite na EMT, tender hiyo, mteja yuko serious.

Pesa anayo lakini? Hatukopeshi hapa.

Neither do we accept cheque in case iki-bounce or will have to hire Asprin to do some credit checks on her.

Barter trade only in exceptional cases, but we're afraid this one does not fall within those cases.

We would have been happy to trade our motorcycle for a new fence and some Sh. 6,000,000.

But the motorcycle is not taking up that much space in the garage and we're riding it!

Would have been nicer to have a new fence but we can compensate it with our classic truck anyway.
 
Alikununulia gauni kama yale tuliyohongwa na Boflo? Manake na wewe dili zako fafa ile mbaya. Mtu hajawekeza hela, change tu unaanza kutetemeka!
kuna bepari moja hivi!
lilinipa masharti ya nichague JF u yeye!
sasa si nikajifanya naweza kuwatosa ehehhehehheh mbona nimechemsha!
naona ndo sababu na adabu zimekuwa nyingi!
niitie King'asti anilandue kidogo bana!najihisi sio mimi kabisaaa
ila bora umekuja akili zinaweza nikaa sawa kidogo!
 
Last edited by a moderator:
Alikununulia gauni kama yale tuliyohongwa na Boflo? Manake na wewe dili zako fafa ile mbaya. Mtu hajawekeza hela, change tu unaanza kutetemeka!

ahahahahhahahhaa wee kitu kilikuwa na plate number zenye jina kabisa!kwanza aliniambia eti ana akaunti uswisi sa si ndo nikaingia boya!ehehehheeh kilichonikuta!uuuuwih bora ningebaki na lile gari sare sare tulilohongwa na Boflo!
ila boflo mwenyewe siku hizi hata simwelewi!ah!
we acha tu!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha. Weeh unatafuta kumuelewa Boflo kwani umemzaa wewe. Umuwache baba wa watu marA laki 1, weeh kula bataz hadi kuku waone wivu
ahahahahhahahhaa wee kitu kilikuwa na plate number zenye jina kabisa!kwanza aliniambia eti ana akaunti uswisi sa si ndo nikaingia boya!ehehehheeh kilichonikuta!uuuuwih bora ningebaki na lile gari sare sare tulilohongwa na Boflo!
ila boflo mwenyewe siku hizi hata simwelewi!ah!
we acha tu!
 
Last edited by a moderator:
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom