Naitafuta Location ya Chit-Chat Restaurant and Pub

Naitafuta Location ya Chit-Chat Restaurant and Pub

Don Mangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,199
Reaction score
855
wadau mnisaidie ilipo location nataka na mie nipate walau ndyofu moja. . .na pia namtafuta mmiliki wake Erickb52
Cc😡Filipo & Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni kama treasure island ya kwenye The Pirates of Carribean...haionekani hivi hivi...
 
Am sorry kwa kusema ukweli!
Ni kuwa kama ukitaka kuwa member wa chit chat restaurant and pub unalipia either gold membership ambayo ni laki 5 kwa mwaka,gold membership ni 1mill kwa mwaka ,tanzanite membership ambapo ni mill 5 kwa mwaka,na vip membership ambapo ni millioni 30 kwa mwaka.kwa kutaka kujiunga ulizia accountant,maana mkurugenzi hajihusishi na mambo hayo kwa maelezo zaidi wasiliana na marketing manager wake
 
Mie, sina kwaiyo hunikopeshi?

manoah Erickb52 Arushaone hivi huyu lundenga alishapona? Ni almost 3 weeks sasa ama?washindi wetu washapewa tuzo ama kuna ufisadi umeshafanyika?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom