Naitafuta Location ya Chit-Chat Restaurant and Pub

Naitafuta Location ya Chit-Chat Restaurant and Pub

Am sorry kwa kusema ukweli!
Ni kuwa kama ukitaka kuwa member wa chit chat restaurant and pub unalipia either gold membership ambayo ni laki 5 kwa mwaka,gold membership ni 1mill kwa mwaka ,tanzanite membership ambapo ni mill 5 kwa mwaka,na vip membership ambapo ni millioni 30 kwa mwaka.kwa kutaka kujiunga ulizia accountant,maana mkurugenzi hajihusishi na mambo hayo kwa maelezo zaidi wasiliana na marketing manager wake
Hahahahaa atakayeshindwa aombe msaada kwa Bishanga
 
Last edited by a moderator:
nakunywa imported bia tuu,... erickb 52 nataka mhudumu unayemjua ni mzuri kuliko wote ndio awe anahudumia meza yangu,..sawa?mataputabu kama ndovu nimeacha yanajaza tumbo atiii
 
Last edited by a moderator:
nakunywa imported bia tuu,... erickb 52 nataka mhudumu unayemjua ni mzuri kuliko wote ndio awe anahudumia meza yangu,..sawa? mataputabu kama ndovu nimeacha yanajaza tumbo atiii

haya ndio matatizo ya kunywa Tembo ukidhani nayo ni Ndovu!
 
Last edited by a moderator:
nakunywa imported bia tuu,... erickb 52 nataka mhudumu unayemjua ni mzuri kuliko wote ndio awe anahudumia meza yangu,..sawa?mataputabu kama ndovu nimeacha yanajaza tumbo atiii
Hahahahaaa saasa muhudumu atakusaidia nini?
 
Last edited by a moderator:
shukrani kwa walioshiriki kunisaidia nimepata bodaboda moja hapa imenileta kaituma Arushaone hapa, thenx Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Kama upo hapo nakuja........niwekee tumbavu twa mbuzi jikoni nilifika viwe tayari........

Heheee Princess Preta huishi vituko? Najua umeyamiss sana hayo makitu...hivi leo tarehe ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Ok.......wacha mi nijinafasi.......na ninapata nafasi kweli kweli.......ukimuona PakaJimmy mwambie anipigie..........
Nipe Lokesio na Namberr ya matelefone nifanye comunicasio na wewe!
Aisee niake niaje, hata ku'dipu mshikaji?....tafahali nidipu tu au la weka picha!
 
Back
Top Bottom