Naisubiri hii siku kwa hamu!!

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,457
1,108
1. siku ya MS kuchukua kadi CDM
2. Siku ya MS kawa Mkristo
3. Siku ya Makamba na Lema kubadilishana vyama
4. siku ya Kongosho kupost kwenye jukwaa la siasa
5. siku ya waberoya/kiranga/mwita25 kuanzisha thread kwenye udaku!!
6..............................

wewe unaisubiri siku ipi kwa hamu hapa JF?
 
Ha ha ha ha
Lizzy bana, una mkwara wewe.
Itakuwa mtu aliiba password yangu bana
Siasa inaamsha maruhani kichwani kama Lawino.
 
6.Naisubiri siku Chit-Chat inataka roho ngumu sana!!
7.Naisubiri siku Hivi tayari umeme ushapanda bei kwa wanaotumia zaidi ya 50 units?
8.Naisubiri siku RIP Regia and Sumari, our beloved friend MPs!
9.Naisubiri siku Hivi leo ndiyo kuna maandamano ya kupinga kufukuzwa wanafunzi wa Ndanda Sec?
 
Siku namba 4 ilishakuja, ikafika na ikapita.

Kwahiyo sasa unasherehekea au inakuwaje?

aiseee... ngoja nikaione hiyo post..... na niasubiri siku Lizzy atakapohitimisha mwezi mzima bila kukanyaga JF (si kwa ban)
 
6.Naisubiri siku Chit-Chat inataka roho ngumu sana!!
7.Naisubiri siku Hivi tayari umeme ushapanda bei kwa wanaotumia zaidi ya 50 units?
8.Naisubiri siku RIP Regia and Sumari, our beloved friend MPs!
9.Naisubiri siku Hivi leo ndiyo kuna maandamano ya kupinga kufukuzwa wanafunzi wa Ndanda Sec?

10. naisubiri siku ya kutupa update live kutoka ndanda!!
 
Siku hiyo ntahamia siasa na Technical

6.Naisubiri siku Chit-Chat inataka roho ngumu sana!!
7.Naisubiri siku Hivi tayari umeme ushapanda bei kwa wanaotumia zaidi ya 50 units?
8.Naisubiri siku RIP Regia and Sumari, our beloved friend MPs!
9.Naisubiri siku Hivi leo ndiyo kuna maandamano ya kupinga kufukuzwa wanafunzi wa Ndanda Sec?
 
Kuvamia kivije? Kuiba? Manake king' sio mwizi na akiokota simu ya mchina anaenda km 10 kupeleka kituo cha polisi.
Ila AshaDii anavyonipenda, sijui nini kitamfanya anichenjie, nathubutu kujisifia,lol
Naisubiri siku King'asti atakapovamia kwa my wi wake ADI!!!
 
Back
Top Bottom