Naisubiri hii siku kwa hamu!!

Nasubiri siku King'astI utakaponipa bunduki
Nasubiri siku king'asti utakapouza shamba lako la majani kule Aru Meru
 
Kuvamia kivije? Kuiba? Manake king' sio mwizi na akiokota simu ya mchina anaenda km 10 kupeleka kituo cha polisi.
Ila AshaDii anavyonipenda, sijui nini kitamfanya anichenjie, nathubutu kujisifia,lol

hahahah nadhani ukinyoosha tu iyo bunduki yako yeye ndo kwanza anakuhug!! Lol....kama nawaona vile na sare zenu za mgambo!!!
 
Shamba la Arumeru marehemu alinidhulumu unajua tena wameru wanavyopenda ardhi utasema atazikwa na kasri!
Ila bunduki utadoda mwanawani, huu ni urithi wa bibi!
Nasubiri siku King'astI utakaponipa bunduki
Nasubiri siku king'asti utakapouza shamba lako la majani kule Aru Meru
 
Taratibu, mie sio mgambo. Ni mwanamwali wa Gaddafi ujue! Sasa nasaka kazi, kama unahitaji watchwoman nistue. I don't steal husbands.
hahahah nadhani ukinyoosha tu iyo bunduki yako yeye ndo kwanza anakuhug!! Lol....kama nawaona vile na sare zenu za mgambo!!!
 
1. siku ya MS kuchukua kadi CDM
2. Siku ya MS kawa Mkristo
3. Siku ya Makamba na Lema kubadilishana vyama
4. siku ya Kongosho kupost kwenye jukwaa la siasa
5. siku ya waberoya/kiranga/mwita25 kuanzisha thread kwenye udaku!!

6..............................

wewe unaisubiri siku ipi kwa hamu hapa JF?

siku mwita ...atapoongea kiingereza humu!!!
 
Back
Top Bottom