Naishukuru MMU, imenipatia mke........

Taarifa rasmi nilizozipata zinasema Klorokwin kaoa huko Igunga ushahidi huu hapa chini

mail

hizo habari za tbc zimechakachuliwa.
 
Aksanteni sana,Mr. Rocky,tHE finest,kadada,yeggella,ashadii,blackwoman na wote kwa ujumla wenu,ki ukweli mwenzenu nimepagawishwa!
 
mnakutana mtandaoni miezi miwili iliyopita, mnaonjeshana vitu vitamu na kisha mwezi mmoja baadae mtafunga ndoa. nafunga ndoa na vitamu,ama na mtu? mkifika kwenye shubiri mrudi basi,tuanzie hapo!
 
Hahahaaaa,ulijuaje BPM??? Ilinibidi nichukue ruhusa ya wiki nzima Kazini, ama kweli nimeamini ukubwa raha.

kweli mkuu ulikuwa na ukakasi maana kupewa tu unaona ni vitu adimu unatangaza ndoa ... sasa ukipewa zaidi si utaacha kwenda hadi kazini hahahahahah
 
Aksanteni sana,Mr. Rocky,tHE finest,kadada,yeggella,ashadii,blackwoman na wote kwa ujumla wenu,ki ukweli mwenzenu nimepagawishwa!

Ila mtangulize Mungu katika kila jambo unalokusudia kulifanya na kila uamkapo mshukuru Mungu kwa kila jambo na jambo la muhimu ni kujifunza uvumilivu maana maisha unayotarajia kuyaingia ni mazito sana
 
KIng'asti, wote tulikuwa na hamu ya kupata wenza,na si unajua kukutana popote?? binti wa Kihehe amenimaliza kabisa,naombeni dua zenu ili tudumu ktk raha na upendo huu.

mnakutana mtandaoni miezi miwili iliyopita, mnaonjeshana vitu vitamu na kisha mwezi mmoja baadae mtafunga ndoa. nafunga ndoa na vitamu,ama na mtu? mkifika kwenye shubiri mrudi basi,tuanzie hapo!
 
Salaam,

wana JF, miezi kama miwili hivi nilipost MMU tatizo la kukimbiwa na wapenzi kipindi cha kutambuana (dating) ilhali nikiwa sijaonja au kuonjeshwa penzi; baada ya kujipambanua kuwa sijawahi ku-du,nilimpata mwana JF mwenzangu ambae tumeonjeshana vitu vitamu na sasa tuko bize na mipango ya ndoa, Harusi itakuwa tarehe 08/10/2011;

Nawashukuru wooooote na naomba niwaalike kwa namna ya pekee katika hafla hiyo, Mungu awabariki sana!

Du! Mkuu kama ni kweli nahisi unajiingiza kwenye kamtego katamu sana,miezi miwili tayari mipango ya ndoa?au kwa sababu umeonjeshwa,tulia mkuu msome mwenzio kwa kipindi kisichopungua miezi 6,unaharakisha ndoa matokeo sio mazuri
 
Salaam,

wana JF, miezi kama miwili hivi nilipost MMU tatizo la kukimbiwa na wapenzi kipindi cha kutambuana (dating) ilhali nikiwa sijaonja au kuonjeshwa penzi; baada ya kujipambanua kuwa sijawahi ku-du,nilimpata mwana JF mwenzangu ambae tumeonjeshana vitu vitamu na sasa tuko bize na mipango ya ndoa, Harusi itakuwa tarehe 08/10/2011;

Nawashukuru wooooote na naomba niwaalike kwa namna ya pekee katika hafla hiyo, Mungu awabariki sana!

duh,ndani ya miezi miwili tu mmekutana,...mmeelewana vyema,....na hatimae mmetangaza ndoa mwezi
ujao?
nyie wakali sana aisee,all the best
 
Back
Top Bottom