Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
Kweli mkuu, sikuwahi kufikiria hili, ni vita hasa
kwa hiyo silaha mkononi tayari kwa kumtungua adui...vita mkuu!
Kweli mkuu, sikuwahi kufikiria hili, ni vita hasa
kipipi....!
nasikitika kukwambia tu huu ndo ukweli..!ndoa ni "vita isiyoisha"...!
nasikitika zaidi kwamba ni "ukweli mchungu"
Duu na mi nitangazee nn...! mmmh bado niponipo kwanza.
hongera sana-mlete naye hapa apate pongezi zake
hongera sana mkuu.tamu isiishe utamu ndo maombi yangu kwenu!
Nitakulipia nauli kutoka Kahama
Aksante Rubuye, huyu mtoto acha tu,sijui wanawake wote ni watamu dizaini hii, lakini yote kwa yote hili ni chaguo langu sahihi...............