Naishukuru MMU, imenipatia mke........

Naishukuru MMU, imenipatia mke........

Hivi siriazi jamani watu mnapatga wachumba humu mitandaoni...ili na mi kama vipi nijikoki
 
Hivi siriazi jamani watu mnapatga wachumba humu mitandaoni...ili na mi kama vipi nijikoki

Mie nakaribia kuita watu kwa ajili ya mpunga!! Mke mtarajiwa anatoka jf..serious wala sio utani!!
 
Marry me badiebey, and we have twins in the coming two yrs
 
Salaam,

wana JF, miezi kama miwili hivi nilipost MMU tatizo la kukimbiwa na wapenzi kipindi cha kutambuana (dating) ilhali nikiwa sijaonja au kuonjeshwa penzi; baada ya kujipambanua kuwa sijawahi ku-du,nilimpata mwana JF mwenzangu ambae tumeonjeshana vitu vitamu na sasa tuko bize na mipango ya ndoa, Harusi itakuwa tarehe 08/10/2011;

Nawashukuru wooooote na naomba niwaalike kwa namna ya pekee katika hafla hiyo, Mungu awabariki sana!
Mrejesho tafadhali!
 
Back
Top Bottom